Rais Magufuli vs JPM: yatosha sasa, ifike mahali Rais Magufuli awe mwungwana

Tang Zhou

JF-Expert Member
Mar 14, 2018
1,206
2,587
Hapo kabla, Rais Magufuli alipata kunukuliwa akidai nchi ilikuwa ikipoteza Bilioni 777 kulipa wafanyakazi hewa kila mwezi; takwimu hizo sasa zimebadilika na anasema ni Bilioni 138, siyo 777 tena...

Sasa mimi natoa wito kwa Rais Magufuli mambo ya siasa nyepesi nyepesi na uongo wa hapa na pale amwachie Humphrey Polepole na sasa yule msomi tuliyemheshimu sana hapo kabla...Dr.Bashiru; ni wakati sasa Rais ajifunze kuwa mkweli na awe na kumbukumbu na akisemacho leo kuwa kitakuwa rejea kesho...KILA MTU ANA UWEZO WA KUBADILI TABIA AKITAKA!

Na wala asimkasirikie Millard Ayo kwa kumnukuu kila akisemacho!
2018-09-05 06.46.50.jpg
 
Anorld Schwerzniger alisema "True Lies"haka kajamaa ni kaongo Africa nzima,Rais hotuba site ni za kutisha na kujifanya mataika kumbe chato ndo take away point.
Wewe kajamaa ndio kaongo kweli kweli walahi!
Acha uvivu na roho mbaya, hakika nakwambia utamwelewa AMIRI JESHI MKUU WETU JPM!
 
Rais wetu JPM NI MUUNGWANA SANA TENA SANA!
Ni nyie nyumbu mmekataa kumuelewa kabisa na ndio Maana mnapata taabu kubwa na nyingi sana walahi!
kibali kataa huyu jamaa ni muongo mnoo hana hata anayemkaribia..
Hapo kabla, Rais Magufuli alipata kunukuliwa akidai nchi ilikuwa ikipoteza Bilioni 777 kulipa wafanyakazi hewa kila mwezi; takwimu hizo sasa zimebadilika na anasema ni Bilioni 138, siyo 777 tena...

Sasa mimi natoa wito kwa Rais Magufuli mambo ya siasa nyepesi nyepesi na uongo wa hapa na pale amwachie Humphrey Polepole na sasa yule msomi tuliyemheshimu sana hapo kabla...Dr.Bashiru; ni wakati sasa Rais ajifunze kuwa mkweli na awe na kumbukumbu na akisemacho leo kuwa kitakuwa rejea kesho...KILA MTU ANA UWEZO WA KUBADILI TABIA AKITAKA!

Na wala asimkasirikie Millard Ayo kwa kumnukuu kila akisemacho!
View attachment 857347

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hizo 138 bado ni fedha nyingi nyingj kweli kweli zililkuwa zinasundwa na majizi.
Mmeishiwa mbinu ndo maaana nchi iko mkiani kwa uchumi duniani,sababu ya unafiki.hatuwezi kwenda mbele kwa kudanganya na kuficha ukweli kuwa vitabu havibalance,Benki ya Kikwete ya kilimo imegeuzwa benki ya ujanja,na imewekwa kilanda,haina urafiki na waxawa,hovi ccm kweli mko seriou kuanza udadli usawa huu?.
 
Taarifa ya Kwanza amenukuliwa akisema"serikali ilikuwa inatenga budget ya billion 777". Taarifa ya pili amenukuliwa akisema"serikali ilikuwa inapoteza billioni 138". Na kwenye taarifa ya mwanzo amesema baada ya kuwaondoa wafanyakazi hewa sasa wanatenga billioni 551. Labda tatizo lipo kwenye ku-balance hizo figer. Nadhani ni billioni 777 kutoa billioni 138.
 
Back
Top Bottom