gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,670
- 2,165
muda si mrefu litapigwa marufuku kuliongelea kama ilivyopigwa marufuku kwa Faru John
Hahahaa, lakini dalili ya Mvua ni Mawingu mkuu. Unaona tunaambiwa hata huko Ulaya wamepewa masharti magumu ya Mkopo wa 2.1Trillion, ambapo itakuwa ukweli ni kutokana na kuona Nchi haendeshwi kwa Utawala bora.Subiri kijana , haraka ya nini ?
Tutahakikisha Tanzania inauza mitumba ulaya .
Unajua hawa viongozi wa Tanzania walikuwa wanadhani sumu inaonjwa , kwa nchi duni kama hii kuleta jeuri ya kukandamiza demokrasia na kupora ushindi wa Maalim Seif ni kujikaanga yenyewe , na hapa bado mbona mjomba.Hahahaa, lakini dalili ya Mvua ni Mawingu mkuu. Unaona tunaambiwa hata huko Ulaya wamepewa masharti magumu ya Mkopo wa 2.1Trillion, ambapo itakuwa ukweli ni kutokana na kuona Nchi haendeshwi kwa Utawala bora.
Kuna riwaya nzuri sana inaitwailikuwa ndoto. ameshaamka.
Unataka ndani ya mwaka mmoja wa utawala wake akopeshe nchi zingine?Salaam!
Ni moja ya Kauli alizotumia kwenye Kampeni zake kuwa Tanzania siyo ya Kulia lia na Misaada maaana ina pesa ya Kutosha. Lakini ajabu deni la Taifa linazidi kupaa na mpaka sasa Serikali inahangaika Kukopa tena takribani 2Trillion kwaajili ya Ku Finance Bajeti ya Nchi 2016/2017.
Je, Mh Rais Kunani tena, Kauli na imani hiyo imefia wapi?
Pili, Je, tuendelee kuziamini kauli zako nzito kama hizi?
Na tatu, Je, Kweli Nchi yetu kwenye Utawala wako wa awamu ya 5 unaamini Tanzania itakuja Kuwakopesha Nchi zingine kama Ulivyotuaminisha?
Kwani bao moja halitoshi kutengeneza mimba??..Ndio kwanza mwaka,haraka ya nini?
ilikuwa ndoto. ameshaamka.
Na hawawezi kuja maana wanajua hatuna kitu labda maliasili kama migodi, gesi nkKwani umesikia nchi imekuja kuomba msaada wakanyimwa