‪Rais Magufuli: Viongozi wa dini mnivumilie kwakuwa fedha zitaendelea kupotea hata kanisani...‬

Yeye alisema pesa wameficha wafanya biashara wakubwa

Akatishia na kuzibadilisha

Akaja na kauli nyingine fanyeni kazi pesa mtaziona,tukasema sawaaa, tena Leo pesa zitapotea


Naanza kuhisi inawezekana mheshima nae hajui kama pesa IPO au haipo
umetisha mkuu.

asante kwa kutukumbusha.
 
9dcbf2cd30c754913826c15e07574a07.jpg
 
umetisha mkuu.

asante kwa kutukumbusha.
Mkuu huyu jamaa haeleweki kabisa .. Badae atakuja kutoa kauli ya kumuaibisha mkuu wa Wilaya na mkoa.. Kwamba anaachaje watu wanakufa kwakikosa chakula.. Wakati Leo kasema hakuna kupeleka chakula...
Tusubiri hapa hapa


Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
It's complicated. Wapiga dili walikuwa wakila na "wasafi": pesa za dili zilikuwa na mtiririko mrefu hadi kwa wanyonge! Sasa jamaa kaminya bila kujua hata hao wanyonge anaowapigania nao wanaisoma namba hiyohiyo. Anyway, kikubwa ni aharakishe mfumo endelevu wa uchumi utakaodhibiti mafisadi na hapohapo kutiririsha manufaa kwa wengi.

Tungekuwa mbali sana kama wote tungefikiri kwa kutumia vichwa, na sio mihemuko na siasa. Heshima kwako, Chief.
 
Futa ukabila rohoni mwako
Mkuu sina ukabila. Ila kwa yanayoendelea ni kama Faru John anaendesha nchi kwa kufuata ukabila. Mbinafsi, mwenye chuki, muonevu, na mengine yote unayoweza kuyasema kabla hajafa. Maana sie wabongo mtu akifa tunamsindikiza na sifa za bandia.
 
Back
Top Bottom