Rais Magufuli: Uwekezaji wa NSSF wa Dege Eco Village(Kigamboni) haufai

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,006
2,667
Asema bila kujali ulianzishwa na nani na kwa malengo gani ni uwekezaji usio na tija. Ungefanywa na kampuni binafsi ingeeleweka

Asisitiza, tena kwa sasa ndo haufai kabisa kufuatia Serikali kuhamia Dodoma.

Amewataka NSSF kujitafakari juu ya uwekezaji huu.

Amesema kama SSRA wangekuwa makini miradi kama hii isingekuwepo.

Soma pia:
Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Kigamboni ulioanzishwa na NSSF (Dege Eco Village) unapigwa mnada - JamiiForums

Ujenzi Mkubwa unaoendelea Kigamboni(Dege Eco Village), ni mradi wa nani? - JamiiForums
 
wakati unaanzishwa alikuwa serikalini mbona hakushauri hivyo?
ukiacha ushabiki wa kisiasa utaona umeandika kitu kisichofaa kuandikwa na msomi. kukaa kwake madarakani muda wote ndio iwe sababu ya kufikiri anayofanya sasa hayafai?

kuna kitu kinaitwa ' specialization' ambapo kila kiongozi kuanzia waziri kushuka chini wanatakiwa kujikita katika sehemu zao za kazi na hata anapotoa ushauri anatoa ushauri wa eneo lako. ulitaka Magufuli atoe ushauri kwa kila kitu kwani alikuwa waziri mkuu ama makamu wa rais?

je, kama aliwahi kutoa ushauri binafsi kwa rais ama hata kupendekeza kwa baraza la mwaziri, wewe ungejuaje kafanya hivyo kama yanayojadiliwa kwenye baraza hilo ni siri na wanaokuwemo humo wameapa kuilinda?
 
Nawapeni ushauri wa maana!
vike vijumba vyenu vya vyumba vitatu mkivotaka kuuza kwa Mil 85
ambavyo thamani yake ni 20M msihangaike kuviuza! Pangisheni, nasema PANGISHENI hata kwa laki 3 au 2 na nusu kwa mwezi! na mnaowapangisha kama ni watu binafsi walipe miezi sita sita au kama ni wa serikali basi akatwe kwa mshahara wakee kila mwezi!

Msilazimishe kuuza wapuuzi nyieeee! msirudie tena ujinga huoo wa kuuza!

kwanza kupangisha kutawaletea hela nyingi na kwa maisha yoteeee itakuwa ni mafaida tuuuu
 
Duh Dau alikuwa mwizi kweli kweli, na ofisi alijaza waislam tu mpaka kero
 
ukiacha ushabiki wa kisiasa utaona umeandika kitu kisichofaa kuandikwa na msomi. kukaa kwake madarakani muda wote ndio iwe sababu ya kufikiri anayofanya sasa hayafai?

kuna kitu kinaitwa ' specialization' ambapo kila kiongozi kuanzia waziri kushuka chini wanatakiwa kujikita katika sehemu zao za kazi na hata anapotoa ushauri anatoa ushauri wa eneo lako. ulitaka Magufuli atoe ushauri kwa kila kitu kwani alikuwa waziri mkuu ama makamu wa rais?

je, kama aliwahi kutoa ushauri binafsi kwa rais ama hata kupendekeza kwa baraza la mwaziri, wewe ungejuaje kafanya hivyo kama yanayojadiliwa kwenye baraza hilo ni siri na wanaokuwemo humo wameapa kuilinda?
Kwa mwanasiasa wa kweli ukitoa ushauri ukakataliwa unaachia ngazi, angalia yanayotokea USA
 
Matusi yote ya nini huyo magufuli ana elephant project ya airport chato, midege haina business plan mbn hajisemi acheni ujuha time will tell. Pamoja na madhaifu ya dege eco village lkn uchumi ungekuwa umatemgamaa watu wangenunua sema aliokuja uwa real estate ni magu na Sera zake utaona hata twin towers za pspf pale Tra posta hayana mpangaji yapo km kivuli tu
 
vyumba vitatu tena vya 2.5 x 3 utuuzie mil85 we pimbi nin
 
ukiacha ushabiki wa kisiasa utaona umeandika kitu kisichofaa kuandikwa na msomi. kukaa kwake madarakani muda wote ndio iwe sababu ya kufikiri anayofanya sasa hayafai?

kuna kitu kinaitwa ' specialization' ambapo kila kiongozi kuanzia waziri kushuka chini wanatakiwa kujikita katika sehemu zao za kazi na hata anapotoa ushauri anatoa ushauri wa eneo lako. ulitaka Magufuli atoe ushauri kwa kila kitu kwani alikuwa waziri mkuu ama makamu wa rais?

je, kama aliwahi kutoa ushauri binafsi kwa rais ama hata kupendekeza kwa baraza la mwaziri, wewe ungejuaje kafanya hivyo kama yanayojadiliwa kwenye baraza hilo ni siri na wanaokuwemo humo wameapa kuilinda?
Time will tell nakwambia, ni kama Mkapa anaeoneka kushauri kwa hisia Tz na Africa baada ya kustaafu wakati kipindi chake migodi ya makaa ya mawe iliuzwa kwa bei ya kiatu!
Huo uwekezaji wa NSSF sizani kama unatofauti na anaofanya yeye kwenye ununuzi wa madege! Yote yangewezafanywa na sekta binafsi.
 
Back
Top Bottom