Rais Magufuli utafanikiwa kutumbua wafanyakazi hewa kwa 5% bila kufanya yafuatayo

NYACHA

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
273
65
Kwanza kabisa nakupongeza kwa juhudi ya utumbuaji majipu ikiwa ni pamoja na kushughulika na wafanyakazi hewa!

Mimi ni mfanyakazi wa serikali yako, nimekaguliwa vyeti na kuhakikiwa Mara mbili. Ila mchakato nilivyouona ni ngum sana kuwabaini wafanyakazi hewa. Wanaobainika ni wale ambao in waoga! Lakini kama mtu ni jasiri anakaguliwa na kuendelea kula mshahara ambao hastahili kama kawaida.

Wahakiki wanakagua vyeti na cheque number tu, lakini hawana ujuzi wa kutambua vyeti feki na original.

Wapo wafanyakazi wengi ktk serikali yako hasa walimu, manesi na madaktari, maafisa kilimo na watendaji wa kijiji/kata hana vyeti vyao halisi vya masomo, bali wanatumia vyeti na majina ya watu wengine.
Fanya yafuatayo utabaini wengi sana!

i) Waagize wakuu wa wilaya wapite kila kijiji na kufanya sensa ya watumishi waumma wazawa wa kijiji husika na kuwaomba wanakijiji wapige kura/ wataje mzawa ambaye wanahisi alifoji vyeti na sasa ni mtumishi wa umma. Zoezi hili liwe la kutaja kwa siri ili kulinda usalama wa wanakijiji/mtaa husika.
Njia hii ni nzuri, wanakijiji tunaoishi nao wanajua mengi sana kuhusu sisi wafanyakazi wako na mahali tunapofanyia kazi ili hali hatustahiri. Wanakijiji wanakaa kimya ili kulinda uhai wao maana kumwaga ugali wa mtu hadharani yahitaji ujasiri wa hali ya juu.

ii) Halmashauri zote nchini zitoe zawadi kwa watu watakofanikisha kuwabaini wafanyajazi hewa, na zoezi hili lifanyike kwa siri, aliyepewa zawadi asitajwe hadharani, iwe siri.

iii)Tengeneza timu kila wilaya inayoshughulika na zoezi hilo la kubaini wafanyakazi hewa na wale wasio stahili kuwa wafanyakazi. Timu hii isiwe na wazawa au wenyeji wa halmashauri husika ili kukataa kulindana na kufichiana siri. Namba za simu za timu hii zitolewe kwa wananchi.

Hii itasaidia sana, wananchi watawapeni taarifa za watumishi hewa na sehemu wanazofanyia kazi halafu mtafanya uchunguzi dhidi ya watuhumiwa.
Waliofoji vyeti wengi wao asilimia kubwa sana wanafanyakazi nje ya mikoa na wilaya wazozaliwa ili kukataa kuumbuliwa na watu wa kalibu yao wanao waita wanoko.

Ni hayo tu!

Nakaribisha wengine mje hapa kuongezea bila kusahau hawa NECTA waliotegeneza vyeti feki ili hali MTU hakufanya mtihani.
 
Duuuh!Vyeti feki hapo ndipo patamu.Hapo ndipo tutaelewana,kuna watu walitaga kabisa lakini unashangaa mtu alipata ajira wakati wee ndiyo unahaso chuo/advanced
 
Sorry, umechanganya mada, watumishi hewa na watumishi wanaotumia vyeti feki, likiisha zoezi la kuwaondoa watumishi hewa kwenye payroll lifuate zoezi la kuwafukuza watumishi wasio na sifa, nashauri waanze na majeshi yetu na TRA
 
Hawa nao wenye vyeti feki nao ni hewa mkuu! ni mojawapo ya majipu yanayouma kimyakimya!
Hawastahili kabisa kula mishahara kama watumishi wa umma! Wanatumia majina hewa ya watu waliokufa au ambao hawapo kabisa.
 
Kumaliza wafanyakazi hewa had serikali ianze kutumia mfumo wa kompyuta hii itasaidia sana...!
 
Back
Top Bottom