Rais Magufuli usipokaa vizuri na wateule wako wananchi tutakuchoka asubuhi na mapema sana

bigmind

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
12,454
12,661
Sina nia mbaya ila napenda kuonya na kushauri jinsi ya uteuzi wa mh.rais hasa kwa mawaziri wenye dhamana zinazowagusa maisha ya kila siku ya wananchi.

Uteuzi wa waziri wa fedha ndugu Mpango unapwaya kitendo cha kushindwa kutafuta vyanzo halisi vya mapato ya fedha na kukimbilia kutoza VAT kwenye mihamala ya pesa pasipokuzingatia mzigo tuliojitwisha sisi wananchi ni udhaifukubwa.

Sisi wananchi tunapenda kulipa kodi ila si kwa namna hii fikiria mfanyakazi anakatwa kodi mshahara, anakatwa benki, anakatwa akinunua bidhaa dukani sasa hizi kodi tatu zote za nini? Bado km ana gari akatwe road License, akatwe bima, akatwe bima matibabu, hivi nini hiki?

Pia ujue tunataka majibu ya nini kinatokana na vitu vifuatavyo:-
Gesi
Madini
Utalii(uwindaji)
Misitu
Uvuvi
Bandari
Viwanja vya ndege
Treni.
Wananchi tutafurahi kuona mchangokubwa ukitoka kwenye rasilimali za nchi kuliko kutukaba mpaka tunashindwa kukohoa.

Simple minds produced by bigmind..
 
Akili ndogo kuongoza Akili kubwa..

Hii bajeti ni Mzigo kwa Mtanzania hasa cc ambao tunaishi chini ya DOLLAR moja.

#Bado cjamwona mtetez wa MASIKINI. Naona mizigo inazid tuu. Itafika wakati hata kodi ya chumba itakuwa na VAT 50%
Nadhani kinachotakiwa ni ubunifu zaidi kupunguza ukali wa maisha ya mwananchi wa kawaida.

Kinachofanyika na rais ni kizuri lakini akina athari za moja kwa moja kwa maisha ya mwananchi wa kawaida. Tunahitaji kuona maisha yanakuwa na unafuu siyo tambo nyingi za waziri wa fedha zisizo na athari chanya.
 
Sina nia mbaya ila napenda kuonya na kushauri jinsi ya uteuzi wa mh.rais hasa kwa mawaziri wenye dhamana zinazowagusa maisha ya kila siku ya wananchi.

Uteuzi wa waziri wa fedha ndugu Mpango unapwaya kitendo cha kushindwa kutafuta vyanzo halisi vya mapato ya fedha na kukimbilia kutoza VAT kwenye mihamala ya pesa pasipokuzingatia mzigo tuliojitwisha sisi wananchi ni udhaifukubwa.

Sisi wananchi tunapenda kulipa kodi ila si kwa namna hii fikiria mfanyakazi anakatwa kodi mshahara, anakatwa benki, anakatwa akinunua bidhaa dukani sasa hizi kodi tatu zote za nini? Bado km ana gari akatwe road License, akatwe bima, akatwe bima matibabu, hivi nini hiki?

Pia ujue tunataka majibu ya nini kinatokana na vitu vifuatavyo:-
Gesi
Madini
Utalii(uwindaji)
Misitu
Uvuvi
Bandari
Viwanja vya ndege
Treni.
Wananchi tutafurahi kuona mchangokubwa ukitoka kwenye rasilimali za nchi kuliko kutukaba mpaka tunashindwa kukohoa.

Simple minds produced by bigmind..
Majizi chadema mtalialia sana.

Mtakuja kupinga hadi mimba za wake zenu.
 
umesahau TTCL,TANESCO, hizi hela zake zinaendaga wapi,maana hatuoni kipato cha haya makampuni kuchangia pato la taifa,nani anakula hizi hela?
 
Umesema vyems mkuu kuna shida katika ubunifu wa vyanzi vya pesa.
 
Sina nia mbaya ila napenda kuonya na kushauri jinsi ya uteuzi wa mh.rais hasa kwa mawaziri wenye dhamana zinazowagusa maisha ya kila siku ya wananchi.

Uteuzi wa waziri wa fedha ndugu Mpango unapwaya kitendo cha kushindwa kutafuta vyanzo halisi vya mapato ya fedha na kukimbilia kutoza VAT kwenye mihamala ya pesa pasipokuzingatia mzigo tuliojitwisha sisi wananchi ni udhaifukubwa.

Sisi wananchi tunapenda kulipa kodi ila si kwa namna hii fikiria mfanyakazi anakatwa kodi mshahara, anakatwa benki, anakatwa akinunua bidhaa dukani sasa hizi kodi tatu zote za nini? Bado km ana gari akatwe road License, akatwe bima, akatwe bima matibabu, hivi nini hiki?

Pia ujue tunataka majibu ya nini kinatokana na vitu vifuatavyo:-
Gesi
Madini
Utalii(uwindaji)
Misitu
Uvuvi
Bandari
Viwanja vya ndege
Treni.
Wananchi tutafurahi kuona mchangokubwa ukitoka kwenye rasilimali za nchi kuliko kutukaba mpaka tunashindwa kukohoa.

Simple minds produced by bigmind..
Hapo kwenye bandari afadhali ungeiondoa maana ungepita kwanza ukajionee palipo peupeee
 
Serikali ililaumiwa sana kuhusu kuangalia kodi kwenye bia, soda na sigara tu. bigmind!!!
 
Sina nia mbaya ila napenda kuonya na kushauri jinsi ya uteuzi wa mh.rais hasa kwa mawaziri wenye dhamana zinazowagusa maisha ya kila siku ya wananchi.

Uteuzi wa waziri wa fedha ndugu Mpango unapwaya kitendo cha kushindwa kutafuta vyanzo halisi vya mapato ya fedha na kukimbilia kutoza VAT kwenye mihamala ya pesa pasipokuzingatia mzigo tuliojitwisha sisi wananchi ni udhaifukubwa.

Sisi wananchi tunapenda kulipa kodi ila si kwa namna hii fikiria mfanyakazi anakatwa kodi mshahara, anakatwa benki, anakatwa akinunua bidhaa dukani sasa hizi kodi tatu zote za nini? Bado km ana gari akatwe road License, akatwe bima, akatwe bima matibabu, hivi nini hiki?

Pia ujue tunataka majibu ya nini kinatokana na vitu vifuatavyo:-
Gesi
Madini
Utalii(uwindaji)
Misitu
Uvuvi
Bandari
Viwanja vya ndege
Treni.
Wananchi tutafurahi kuona mchangokubwa ukitoka kwenye rasilimali za nchi kuliko kutukaba mpaka tunashindwa kukohoa.

Simple minds produced by bigmind..
Utalii wameongeza tozo za kutosha na kupelekea watalii zaidi ya 7 alufu kubadilishia gia angani na kuelekea kwa kenyatta
 
Akili ndogo kuongoza Akili kubwa..

Hii bajeti ni Mzigo kwa Mtanzania hasa cc ambao tunaishi chini ya DOLLAR moja.

#Bado cjamwona mtetez wa MASIKINI. Naona mizigo inazid tuu. Itafika wakati hata kodi ya chumba itakuwa na VAT 50%
Mwakani tunakuja na kodi ya kichwa ndiyo mtaisoma vizuri namba kwa kirumi
 
Similar Discussions

19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom