Rais Magufuli Ushauri pokea mzee. Usigeuze shingo

Friday Malafyale

JF-Expert Member
Jan 18, 2017
1,808
2,911
Anaandika Mwana CCM Bollen Ngetti

RAIS wangu Magufuli, laiti kama ungekubali ushauri wangu kwako kupitia "pale" kwamba ukubali kurudisha na kustawisha utawala bora kama nilivyoeleza, fedheha na aibu hizi za kina Gavana Makonda & co zisingetokea.

Kitendo cha Gavana Makonda kumtuhumu Mbowe kushiriki biashara ya ngada, kumkamata, kumpekua na kumkuta na makaratasi na Kisha yeye (Mbowe) kuwafungulia kesi wateule Wako, nao kuamua kuingia mitini kukwepa Mahakama na sasa ndio wanaosakwa ni aibu, ni fedheha na pigo kwa utawala wa nchi. Kwamba inatokea simba anamfukuzia swala kwa ajili ya mlo na ghafla yule swala anageuka na kuanza kumfukuza simba! Ni maajabu ya dunia Tanzania.

Taarifa niliyonayo ni kwamba Mahakama imeapa kulinda heshima yake kwa gharama yoyote. Bunge linakuvutia pumzi mwezi Aprili. Rais wangu, mzaha mzaha hutungua usaa. Bunge linajipanga, linajisuka kuangusha Serikali yako. Namuonea huruma PM Majaliwa uliyemuambia, "hukuzaliwa Waziri Mkuu". Kwa nini nchi ikaye kwenye tension watu wasijue kesho yao?

Rais wangu mpendwa, binafsi ninakupenda kweli! Lakini nakuonea huruma kuwa umezungukwa na wanafiki wasiotaka kukuambia reality on the ground. Kwa sasa huna option zaidi ya kuruhusu utawala bora unaoheshimu Katiba na Sheria. Ni hapo nchi itapona.

Usichukie umma mpana kwa wapiga dili wasiozidi 20 kwa watu 50 milioni. Mungu akupe ujasiri kuupokea ushauri huu wa hekima. Wakigoma kukuambia mimi ninakutonya. Tendeaneni haki mnunue amani maana kinyume cha utawala bora ni machafuko!
[HASHTAG]#UzalendoKwanza[/HASHTAG]!
Na roho Mbaya haikuachi kamwe Badilika mzee
 
Leo kia mtu ataanzisha thread humu, kama vile hapa kazi tu itaisha.

Wananchi wajaaa malalamikoooo, kama ulimwambia pale, basi nenda huko huko kamwambie.
 
Kwani huwa anapokea ushauri huyo! toka lini!
Leo tayari mwanasheria mkuu alishaingia cha kike alipopigwa swali na tundu lissu kama ameenda mahakamani kama nani na huku walikataa kupokea summons ya mahakama!

Bahati yake wamemlindia heshima!!
 
Maisha ni kama Reli yenye Mwandisi mwema,Mwandisi asipochunga mashimo na kona ni nini kinatokea?magufuli aambiliki wala hasikii!huyu Baba kweli alizaliwa Tanzania yetu hii yenye maadili mema ?Napata wasiwasi sio mtanzania OG huyu.
 
Ili wapinzan wakaunde makarabrasha kama richmond& escrow ili wapate appeal nzur kwa wananch bila uhalisia wa kashfa.
Magufuli kaza uzi , endelea kubana zaid bcz wapinzan wataenjoy kuona ukifail ili 2020 wapate cha kusema.

Alikuwepo rais kikwete aliwapa uhuru wapinzan mkamfanya aonekane mdhaifu mbele ya wananch despite of mambo aliyofanya but nw kikwete huyo huyo mnampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Kaza uzi rais magufuli na usisikilize kilio cha upinzan bcz hata mungu ana mpinzan wake ambaye ni shetan.kilio cha upinzan usikiangalie.
Kaza uzi na uilinde serikali yako dhidi ya kashfa za uongo za serikali.
 
Anaandika Mwana CCM Bollen Ngetti

RAIS wangu Magufuli, laiti kama ungekubali ushauri wangu kwako kupitia "pale" kwamba ukubali kurudisha na kustawisha utawala bora kama nilivyoeleza, fedheha na aibu hizi za kina Gavana Makonda & co zisingetokea.

Kitendo cha Gavana Makonda kumtuhumu Mbowe kushiriki biashara ya ngada, kumkamata, kumpekua na kumkuta na makaratasi na Kisha yeye (Mbowe) kuwafungulia kesi wateule Wako, nao kuamua kuingia mitini kukwepa Mahakama na sasa ndio wanaosakwa ni aibu, ni fedheha na pigo kwa utawala wa nchi. Kwamba inatokea simba anamfukuzia swala kwa ajili ya mlo na ghafla yule swala anageuka na kuanza kumfukuza simba! Ni maajabu ya dunia Tanzania.

Taarifa niliyonayo ni kwamba Mahakama imeapa kulinda heshima yake kwa gharama yoyote. Bunge linakuvutia pumzi mwezi Aprili. Rais wangu, mzaha mzaha hutungua usaa. Bunge linajipanga, linajisuka kuangusha Serikali yako. Namuonea huruma PM Majaliwa uliyemuambia, "hukuzaliwa Waziri Mkuu". Kwa nini nchi ikaye kwenye tension watu wasijue kesho yao?

Rais wangu mpendwa, binafsi ninakupenda kweli! Lakini nakuonea huruma kuwa umezungukwa na wanafiki wasiotaka kukuambia reality on the ground. Kwa sasa huna option zaidi ya kuruhusu utawala bora unaoheshimu Katiba na Sheria. Ni hapo nchi itapona.

Usichukie umma mpana kwa wapiga dili wasiozidi 20 kwa watu 50 milioni. Mungu akupe ujasiri kuupokea ushauri huu wa hekima. Wakigoma kukuambia mimi ninakutonya. Tendeaneni haki mnunue amani maana kinyume cha utawala bora ni machafuko!
[HASHTAG]#UzalendoKwanza[/HASHTAG]!
Na roho Mbaya haikuachi kamwe Badilika mzee
Atasoma hii kweli?
 
Wabunge nao ni hovyo tu hata wakimtoa haiondoi ukweli kwamba nao ni mabazazi na wachumia tumbo, hii nchi ni hovyo mno na hayupo msafi.

Hivi wao kila mmoja anao udhibitisho wa mali wanazozimiliki huku mitaani?
 
dogo tulia usiwastue tuone tunaishia wapi kwenye hili. kuna mtu anaweza kujikuta kwenye vote ya kutokuwa na imani muda si mrefu. ataweka historia.
 
Huyu magufuli itakuwaa c mtanzania halalii kbs ..........ndio wazamiaji wenyewe hawa watu wamempa kura walaa hathamini wapiga kura wake
 
Ili wapinzan wakaunde makarabrasha kama richmond& escrow ili wapate appeal nzur kwa wananch bila uhalisia wa kashfa.
Magufuli kaza uzi , endelea kubana zaid bcz wapinzan wataenjoy kuona ukifail ili 2020 wapate cha kusema.

Alikuwepo rais kikwete aliwapa uhuru wapinzan mkamfanya aonekane mdhaifu mbele ya wananch despite of mambo aliyofanya but nw kikwete huyo huyo mnampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Kaza uzi rais magufuli na usisikilize kilio cha upinzan bcz hata mungu ana mpinzan wake ambaye ni shetan.kilio cha upinzan usikiangalie.
Kaza uzi na uilinde serikali yako dhidi ya kashfa za uongo za serikali.
Achaa kumfanyanisha mungu na kitu cha kijinga mkuu shauri zakoo
 
Endeleeni kujifurahisha hakuna hata mmoja wa kumuwajibisha Magufuli.
Mnapoteza muda wenu bure
 
Back
Top Bottom