Rais Magufuli, unateua kwa lengo la kupambana na wapinzani au kuleta maendeleo?

Mleta Thread umenena ila hakika Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, daima Magu hatofanikiwa kwa dhamira zake na kutumia au kutegemea technique ya Political sympathy, kujifanya anataka kuwakomboa Watz. masikini na yeye eti ni masikini na matajiri waishi kama mashetani,hakunaga ndani ya CCM kwani Mungu alisha laani chama hicho na Watz. pia kwa maswahiba yasiyo na kikomo zaidi ya kuyapalilia ili watu tawale muda mrefu.
 
Tunampongeza mkuu mpya wa mkoa wa Arusha cha msingi afanye kazi kwa weledi na sio kwa ajili ya kupambana na upinzani hafahamu mkoa wa Arusha kwasasa unachangamoto nyingi mojawapo ni hii ya shule za bweni kuungua moto tunataka majibu kwa mkuu mpya wa mkoa tatizo ni nini na wahusika wakamatwe na wafikishwe katika vyombo vya sheria.
 
Dr. Kimei, Uchumi unadorora.
Mafuru; Serikali inaua taasisi zake,
Mizigo bandalini imepungua,
Shilingi inazidi kushuka thamani.

Pamoja na hayo he doesn't care yuko busy kuteua watu wa kupambana na wapinzani, speechless.

Kwa dunia hii kamwe huwezi kupambana na upinzani ukashinda, ameukuta na atauacha.

Mkapa aliukuta akauacha ukishamiri. Kaja Kikwete kauacha tena wenye nguvu zaidi. Hata Magufuli ameukuta l'm sure atauacha umekomaa zaidi.
 
Kiwanda kikubwa kimefunguliwa Arusha ndio sababu.. Endelea kunywa mtori nyama zipo chini mkuu
 
Maendeleo sidhani na ndio maana kastopisha ajira sasa ni mwendo wa kupambana na Ukuta tu, hajui kama aliahidi tz ya viwanda kila siku vinaibuliwa vitu hewa tu na sitoshangaa hadi wananchi nao wakaja kuitwa wananchi hewa sasa
 
Dr. Kimei, Uchumi unadorora.
Mafuru; Serikali inaua taasisi zake,
Mizigo bandalini imepungua,
Shilingi inazidi kushuka thamani.

Pamoja na hayo he doesn't care yuko busy kuteua watu wa kupambana na wapinzani, speechless.

Kwa dunia hii kamwe huwezi kupambana na upinzani ukashinda, ameukuta na atauacha.

Mkapa aliukuta akauacha ukishamiri. Kaja Kikwete kauacha tena wenye nguvu zaidi. Hata Magufuli ameukuta l'm sure atauacha umekomaa zaidi.

Exactly, hii ndiyo point ya msingi!!

Huyu mfalme J ana chuki kweli kweli na wasiosifu na kumwita "Your Majesty!"

Atagonga UKUTA tu maana ataropoka ropoka huko na kurusha matamko yake, mwisho wa siku yanakuwa hayana nguvu ya kisheria na 2020 hiyooooo mlangoni pake!!
 
Mhe. Rais,una sera nzuri za kimaendeleo. Ilani yetu ya CCM,ahadi zako za papo kwa papo,kauli zako na matendo yako huakisi maendeleo ya Tanzania yetu. Kuwa Tanzania ya Viwanda. Lakini,teuzi zako hazibebi lengo lako hilo. Zinabeba dhima tofauti ya kupambana na kuwabana wapinzani hasa CHADEMA.

Natoa mifano mitatu. Wa kwanza ni uhusuo uteuzi/kupandishwa cheo kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda. Makonda alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni. Tangu akiwa UVCCM,Makonda hujichora kama mpambanaji wa wapinzani na kwake hawafurukuti. Kinondoni UKAWA 'wakamtandika' kwa kutwaa majimbo yote. Rais ukasema mahali kuwa Makonda ana wapinzani wengi wanamchukia. Ukaahidi kumpandisha cheo. Ikawa kweli. Ameshaapa kuubomoa UKUTA wa CHADEMA wa hapo Septemba mosi!

Mfano wa pili ni uteuzi wa maDED na maDAS. Humo wamesheheni walewale wenye hulka na michoro ya kupambana na wapinzani. Watoa matamko ya kuponda bila kupenda wapinzani ndiyo wameula kwenye teuzi hizo. Matamko yao humu JF,WatsApp,Facebook na Instagram kuwakandiakandia wapinzani yakawalipa.

Mfano wa tatu ni wa uteuzi wa leo wa Mrisho Gambo. Umetengua uteuzi wa kaka Ntibenda na kumpandisha cheo kwa kumteua Mrisho Gambo kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha. Mrisho Gambo alijaribu kugombea Ubunge Kinondoni. Akabwagwa na Idd Azzan ndani ya CCM yetu. Ni juzi tu amejigamba kuwa yeye ndiye kiboko ya Operesheni UKUTA ya CHADEMA kule Arusha. Gambo amejipambanua kuwa yuko Arusha kupambana na wapinzani wakiongozwa na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless J Lema.

Nia ya teuzi hizi ni ipi hasa? Maendeleo au 'kuwafunika' wapinzani?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Huyu VUTA-NKUVUTE si wa Lumumba huyu? ukina hivi ujue wameisoma namba!
 
Laiti angelijua kupambana na Upinzani ni kupoteza muda,asingetumia muda kupambana nao,kama afanyavyo sasa,Wapinzani wapo kikatiba na atamaliza muda wake na atauacha kama walivyouacha watangulizi wake,muhimu angeelekeza nguvu kupambana na Umaskini,na kuanza kuwafanyia kile ambacho aliwahidi Watanzania,maana mwaka ndiyo huu unakatika sioni jipya zaidi ya Watu kutimuliwa kila kukicha,na matamko yasiyo na tija na ya kibabe kutamkwa,na kuwapatia nafasi wafia Chama,hakika bado kazi ipo.
 
Kuteuliwa kwa kijana makini na machachari, mchapa kazi Mrisho Gambo kunatuma Ujumbe kwa Lema kuwa aache papara maana ataumia bure.
Ajirlekeze kufanya kazi tu kama rais alivyosema.
#KapaKaziTu.
 
Kuteuliwa kwa kijana makini na machachari, mchapa kazi Mrisho Gambo kunatuma Ujumbe kwa Lema kuwa aache papara maana ataumia bure.
Ajirlekeze kufanya kazi tu kama rais alivyosema.
#KapaKaziTu.[/QUOT

kwani kuna tatizo watu si wapo kazini au?
 
Kuteuliwa kwa kijana makini na machachari, mchapa kazi Mrisho Gambo kunatuma Ujumbe kwa Lema kuwa aache papara maana ataumia bure.
Ajirlekeze kufanya kazi tu kama rais alivyosema.
#KapaKaziTu.
Nasikia harufu ya damu!
 
Back
Top Bottom