Rais Magufuli, unakumbuka Ulimwengu alizungumza nini na leo yanatokea?

Mlete mada, naomba nikuulize tu swali la kawaida, je ukiangalia katika hiyo barua kuna sehemu yoyote wizara iliapproove hizo changes? Maana hiyo ilikuwa ni application ambayo ilihitaji approval ili iweze kuwa effected kwenye soko.
Maboso...!!!??
si ndio yale yanakuaga kwenye vitindi ukiwa unagema ulanzi ukiweka mbeta yanakaa pale juu?
halafu ni matamu kweli kuyaramba maana nimeramba sana ile mambo.
 
the move is too fast ukianzia tangazo la waziri, leo kanisani kule Bukoba na hivi sasa hili tangazo.
 
Maboso...!!!??
si ndio yale yanakuaga kwenye vitindi ukiwa unagema ulanzi ukiweka mbeta yanakaa pale juu?
halafu ni matamu kweli kuyaramba maana nimeramba sana ile mambo.
Kwako la muhimu umeona ni kujadili neno Maboso
 
Hayo ni mazingaombwe ya kutafuta kick kwa wanyonge ili wapigiwe makofi angalau za kujifariji na ugumu wa maisha walionao.
 
Mlete mada, naomba nikuulize tu swali la kawaida, je ukiangalia katika hiyo barua kuna sehemu yoyote wizara iliapproove hizo changes? Maana hiyo ilikuwa ni application ambayo ilihitaji approval ili iweze kuwa effected kwenye soko.
Na kwa hiyo kama nyaraka hii haina approval ndo inakupa wasaa wa kuconclude kabisa kabisa ya kwamba tanesco+ board yake na ewura waliforce mabadiliko ya bei ya umeme bila concern ya wizara wala ikulu?!!
Huu ni ujinga, kuingiza siasa kwenye technical&professional issues!
 
"Akiwa katika mahojiano na kituo cha radio cha DW jana 31.12.2016 Jenerali Ulimwengu ameeleza ni kwa jinsi gani utawala huu ulivyo wa milipuko, kwamba inatokea matamko yanatolewa asubuhi kisha jioni yanabadilishwa".

Note.

Leo Januari Mosi 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amezungumzia kuhusu upandishaji wa bei za umeme na kusema anamshukuru sana Waziri wa Nishati na madini kwa kutengua upandishaji wa bei ya umeme.

Note 2.

Nakala ya kuomba bei mpya ya umeme si ilienda wizarani?How come wizara haikushirikishwa kupanga bei au ndo tunachezeana hide and seek game?

View attachment 453003

Nini maoni yako.
KULINGANA NA TAFITI ZILIZO PITA UMEME UNAGHARAMA KUBWA SANA KULIKO NCHI ZOTE AFRIKA MASHARIKI HAPA TANZANIA.MIMI SIONI KOSA LA WIZARA KUTOA UAMUZI KUTETEA WANYONGE .KAMA HAMNA CHA KUSEMA MUNYAMAZE TU MNATIA GIZA !
 
Nyie vip? Badala ya kumpungeza mkuu mnaanza tu kuukosoa uamuzi wake.
Nadhani wengi wenu mlikuwa mnafaidi kupitia mgongo wa hili jipu lililotumbuliwa.
Hamna vyeti nini?
kaka umeona jipu hapo kama wajumbe wa wizara wako kwenye bodi ya Tanesco mnaelewa maana ya jipu au mnataka tufurahishane kwa maujinga yanayoendelea
 
na bodi imetumbuliwa? maana nadhani tanesco yenyeww haiwezi kukusidia kupandisha umeme bila baraka za bodi. happy new year Tz
 
Nyie vip? Badala ya kumpungeza mkuu mnaanza tu kuukosoa uamuzi wake
Tupongeze hata kama hakuna sababu mbona tuko hivyo waruhusu wanaona mambo tafauti ndio maana tumafanyiwa maigizo na situnakenua meno jifunze kuhoja hata kwa jambo dogo ndio maana tubinadamu
 
Pamoja na yote sasa nimeanza kukubali kuwa Magufuli ni rais sahihi aliyeingia madarakani kipindi sahihi. Nasubiri tu kuona kama yale matokeo tarajiwa nayoyasubiri kwa miaka mingi yatajiri. Tatizo kubwa la Tanzania haliko kwa viongozi bali kwa Watanzania wenyewe; katika mitazamo na hulka zao zilizopinda. Nina matumaini makubwa kwamba Magufuli kwa mwendo huu wa kusomesha namba kiaina atanyoosha na kusawazisha mitizamo irejee kwenye mantiki.
 
Back
Top Bottom