Rais Magufuli unakumbuka ahadi ya baiskeli uliyompa mlemavu Joseph wa wilaya ya Momba?

92mtl

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
461
308
Je, huyu jamaa kakubukwa au bado Rais yuko bize na uhakiki?

1477581634821.jpg
 
Naamini Itakuwa Bado Hajakumbukwa Ila Ahadi Ni Deni Na KwakuwA Mkulu Ni Member Atampatia Haraka Baada Ya Kuona Hii Thread
 
Back
Top Bottom