Rais Magufuli unaijua timu yako vizuri?

Whitesmith

JF-Expert Member
Aug 12, 2017
386
517
Sina nia yakukufundisha kazi, ama kukuelekeza nini kifanyike. Niko hapa nakumbushia tu!

Watanzania hawajawahi kuhishiwa mbinu Sizonje ukijua kunawia mikono mbele wao watanawia nyuma. Vipi kuhusu EFD machine?

Karibu kwetu Kariakoo japo una uchovu kwa jukumu la kuimarisha kijani kwa kuua nyekundu.

IMG_20171224_003850.jpg
Hizi ndizo zile risiti za EFD machine? Na kwanini hizi machine haziishiwi na hitilafu? Najua wajuzi wa mambo watasema oooh uzandiki na uchochezi haya mambo ni ya kitaalamu.

Sizonje nisikuchoshe angalia timu vizuri
 
Mkuu unaonyesha una uchungu mchungu mno
Ntafanyaje sasa ukusanyaji sisikii tena TRA wakitangaza kwa hiari yao mpaka wasakamwe, kumbe nyuma ya pazia washatupa EFD machine tumerudi manual...
 
Watanzania wameshindikana tena hawasomekiiii kabisa umtazamavyo sivyo alivyo
Watz noma, bora ufanye kazi na mtz jeuri mwenye misimamo yake muwekeane mipaka, kuliko kufanya kazi na mtz anayekuimbia pambio za masifu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom