Rais Magufuli; "Umesema Ukienda Tutashida! Haya Nenda Misri'

Hayo ni maneno ya Rais Magufuli hadharani akimjibu Paul ya Makonda hadharani baada ya yeye kusimama hadharani na kusema wabunge wameenda kupoteza hamasa Ila yeye akienda atarudisha hamasa na ushindi utapatikana.

Spika Ndugai naye akajibu mapigo kuwa Kuna kijana kiongozi anaenda sana kumdanganya Rais.

Kila mtu alijua kijana huyo ni RC Makonda, je ni kweli kumbe anamdanganya Rais! Na kumdanganya Rais ni uhaini maana ile ni taasisi nyeti, labda tungesema amemdanganya mwenyekiti wa CCM hapo sawa.

Mheshimiwa Rais Magufuli utaendelea kudanganywa na Makonda hadi lini? Au unataka tuwaombe wabunge wetu wakupigie kura ya kutokuwa na imani nawe(katiba inasema hivyo) kwa kuaibisha taasisi ya urais kwa kudanganywa na kukubali kudanganywa huku ukijua unadanganywa?

Mimi sio mwanaccm lakini na wewe urais wako na CCM ni vitu viwili tofauti.

Hivyo kwa heshima nakuomba ulijibu hili kwa kusafisha uongo wa hawa viongozi vijana wanaokuchezEa.

Unasema maendeleo hayana chama, na Mimi nasema kukosoa hakuna chama.
hivi walikubalianaje kama isiposhinda ?
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom