Rais Magufuli umesahau kabisa uwekezaji kwenye kilimo cha kisasa

Na usikute waliokopa ni watumishi wa ngazi za juu serikalini kama ilivyokuwa Twiga Bank,ndio maana wanapata kigugumizi kuyafuatilia.Shame on us.Maana baada ya kusikia hili sakata, nimejiuliza,lakini kwa nini deni liwe kubwa kiasi hiki?Na kwa nini lisilipwe?
Tanzania tuna tatizo moja kubwa sana la ...FOLLOW UP au UFUATILIAJI......tunaweza kuanzisha jambo vizuri sana lakini kulifuatilia kujua linaendaje hilo ni tatizo kubwa sana hapa nchini.
 
Back
Top Bottom