COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,600
- 3,651
Mh Rais Magufuli hapo uliposhika usilegeze endelea kukaza na kutunyoosha Watanzania ili tushike adabu ili kuondoa hulka ya ulalamishi, uvivu, uzembe upenda dezodezo na ufisadi.
Tukirejea Historia Watanzania hawana jema wala zuri ni watu wakulalamika tu na wavivu ndio maana nchii hii na Maskini si watu majasiri na wachapa kazi.
Hawahawa Watanzania wamemsema vibaya Baba wa Taifa na mpaka Tundu lissu ambaye leo ndio kiongozi wa kukupinga wewe alimkashifu Baba wa Taifa katika Bunge la Katiba na clip zipo lakini leo amegeuka na kumpamba Nyerere
Hawahawa Watanzania walimtukana sana Rais Mstaafu Mzee Mwinyi na kumkejeli vya kutosha eti hakuwa na elimu ya uchumi bali alikuwa mzee wa Ruksa tu lakini leo wamegeuka na kumuona ni shujaa
Hawahawa Watanzani walimlalamikia na kumfitini Mzee Mkapa lakini alipoingia Kikwete tu Madarakani wakamkumbuka eti ni Mkombozi wa Uchumi wa TZ
Hawahawa Watanzania walimzomea, walimlalamikia na kumfitini sana Mzee Kikwete eti ni Dhaifu, hajui uongozi wakampachika majina ya Vasco dagama etc Kipindi cha Kikwete Watanzania hawahawa walidiriki kuomba Siku moja Tanzania ipate Rais Dikteta wakuinyoosha lakini eti leo Watanzania pamoja na kumsema sana JK wanamuona shujaa wao na wamemkumbuka.
Ukiangalia historia hii unagundua ni kiasi gani Watanzania wanakiwango kikubwa cha unafiki ulalamishi, uvivu, uzembe etc na dawa yake sasa ni kuondoa hizi tabia.
Mh Rais Magufuli nakuomba utuondolee hizi Tabia za unafiki, ulalamishi na uvivu Tunyooshe kwelikweli, tufundishe kusema kweli, nyoosha wavivu kwelikweli iliwarudi shamba, wapayukaji wabane kwelikweli mwisho wa siku Watanzania watajitambua na kubadili tabia na hapo Nchi yetu itapiga hatua mbele na kuingia uchumi wa kati wa viwanda.
Hatuwezi kufikia uchumi wa Kati wa Viwanda tukiwa na Watanzania legelege, wanafiki na wazembe wapenda dezo
Mwisho pamoja na kelele nyingi kupigwa huku wakikusema na kukulalamikia Mh Rais Ziba Masikio kabisa endelea Kubana, endelea kukaba endelea kunyoosha kwelikweli Watu Majasiri kama sisi tuko pamoja na wewe kwani tumetoka kwenye kampeni pamoja na tupo pamoja mpaka leo hii.
Team Kunyoosha#Team Kubana#Team kukaba# Team Kutumbua na tutayafanya haya kweli kweli bila woga hata mseme vipi lazima mnyooshwe tu
Mh Magufuli wewe ni KAKA wa TAIFA Tunakutegemea sana kuturudisha kwenye mstari ili kutengeneza TANZANIA MPYA
********************************************************************
Na atakapo staafu Magu Hawahawa wataanza kusema bora magu!! Wachumia tumbo ndio shida yao hii!! Unafiki umewatawala kupita maekezo. Jambo la kushukuru Rais wetu anawafahamu Na ukisha wafahamu kamwe hawakusumbui. Hawezi sikiliza Maneno ya Waropokaji na wanafiki kamwe.
Magu twende tu.
*Wacha maneno Weka Muziki - Blah blah sitaki kusikia*