Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 40,593
- 52,286
Hata jirani yangu alilazwa pale kisa cha kidonda cha sukari mguuni. Daktari alianza kuosha kidonda bila ganzi, maumivu yakamzidi na akakara kauli kaishia kukatwa mguu walipoona hali mbaya wakakimbiza muhimbili mzee wa watu kajifia. RIP baba Mesha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app