Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, ukishindwa uchaguzi uko tayari kukabidhi Ikulu?

Rais Magufuli kama mgombea wa Chama tawala, anatakiwa kutoa tamko la kukubali matokeo kwa namna yoyote yatakavyokuwa. Itakuwa jambo la hekima kujitokeza hadharani na kuonesha msimamo wake.

Mpinzani wake mkuu, Lissu, ameshasema kuwa akishinda au kushindwa kwa haki, yupo tayari kukubali matokeo.

Wote hawa wanaamini watashinda, lakini je Magufuli ukishindwa utakubali?

TUNAOMBA MSIMAMO WAKO KWA HILI
Swali la kipuuzi,mgombea wa chama chetu hawezi kupata kura laki 2
 
Rais Magufuli kama mgombea wa Chama tawala, anatakiwa kutoa tamko la kukubali matokeo kwa namna yoyote yatakavyokuwa. Itakuwa jambo la hekima kujitokeza hadharani na kuonesha msimamo wake.

Mpinzani wake mkuu, Lissu, ameshasema kuwa akishinda au kushindwa kwa haki, yupo tayari kukubali matokeo.

Wote hawa wanaamini watashinda, lakini je Magufuli ukishindwa utakubali?

TUNAOMBA MSIMAMO WAKO KWA HILI
Nadhani ungemuuliza twitter maana humu jf sijaona jina lake kama member
 
Waliamasisha bila kujua kilichokuwa ndani ya nyoyo za watu hao,

Watu wenyewe ni pamoja na hawa wa kanda ya ziwa ambao wameisha mgeuka na wengine kumzomea na kumsusa hata kulazimika kutumia vitoto vya shule na kusaidiwa na akina diamond.

Mwaka huu hasara tupu kwa jpm
Mara zote huwa napenda kuwakumbusha wakati wa uboreshaji wa taarifa kwenye daftari la kudumu la mpiga kura.

CCM ilihamasisha sana watu wake tofauti na nyie mlikuwa mnawaambia wagomee, tena wengine walikuwa wanapost picha mitandaoni kwa furaha kabisa kwamba vituoni hakuna watu na hilo ndio litawagharimu, msitegemee kupata ushindi eti kutoka kwa wana CCM wanaomchukia JPM
 
Rais Magufuli kama mgombea wa Chama tawala, anatakiwa kutoa tamko la kukubali matokeo kwa namna yoyote yatakavyokuwa. Itakuwa jambo la hekima kujitokeza hadharani na kuonesha msimamo wake.

Mpinzani wake mkuu, Lissu, ameshasema kuwa akishinda au kushindwa kwa haki, yupo tayari kukubali matokeo.

Wote hawa wanaamini watashinda, lakini je Magufuli ukishindwa utakubali?

TUNAOMBA MSIMAMO WAKO KWA HILI
Ni Mtanzania 'Mpuuzi' tu na mwenye Roho Mbaya na Chuki za Kiasili ndiyo anaamini kuwa Dk. Magufuli hawezi shinda wakati ameshashinda tayari.
 
Rais Magufuli kama mgombea wa Chama tawala, anatakiwa kutoa tamko la kukubali matokeo kwa namna yoyote yatakavyokuwa. Itakuwa jambo la hekima kujitokeza hadharani na kuonesha msimamo wake.

Mpinzani wake mkuu, Lissu, ameshasema kuwa akishinda au kushindwa kwa haki, yupo tayari kukubali matokeo.

Wote hawa wanaamini watashinda, lakini je Magufuli ukishindwa utakubali?

TUNAOMBA MSIMAMO WAKO KWA HILI
IKULUYASHANGAZIYAKOOO
 
Wenzetu wapi comrade mbona huwataji? Kama unafikiri tarehe 28 hatutampigia kura Magufuli na wagombea wa ccm nikupe pole sana.
Mimi sijasema hutampigia kura wala sijasema kwamba hatapata kura nyingi ila ukweli Ni kwamba hatashinda kwa sanduku la kura that's all what I try to tell
 
Magufuli hata akishindwa uchaguzi na figisu zake zote ni king'ang'anizi hivyo ni ngumu sana kuwa tayari kuachia madaraka.

Kwa kipindi chake tu hiki cha kwanza cha miaka 5 ameonyesha kila dalili za kutaka kuwa Rais asiye na ukomo wa madaraka.

Watanzania tuamke Magufuli anaharibu nchi.
Kura yangu simpi ng'oo
 
Hilo la picha kushangilia vituo tupu vya kujiandikisha nalikumbuka sana.
Lakini baadae muda uliongezwa na watu wakatishwa Hadi maofisini watu wakamiminika kuhakiki.maana wengi Wana vitambulisho.
Unajua kitambulisho Cha mpiga kura kinakubalika hata kupatia huduma mbalimbali.
 
Kinachowadanganya ni;

Mafuriko mnayoyaona ambayo hayawezi kufikia ya Lowasa 2015

Mataifa ya nje kufuatilia kwa karibu uchaguzi huu
Yaani unakosea sana unapoongelea habari za Lowasa 2020 huyo Lowasa alikua wa 2015 sasa tupo mwaka 2020 wengi wa wapiga kura wa Lowasa hawapo tena hata wengi waliompigia Magufuli hawapo tena kwasasa tuna wapiga kura wa October 28 na hao watakaojitokeza kupiga kura ndio watakaoamua mshindi wa 2020!!!
 
Kawekwa Kati kulia nguvu ya umma, kushoto, Robert Amsterdam anafile kesi direct the Hague, Kaskazini USA, Ulaya, China na jumuia za kimataifa zinataka ngoma ipigwe sawa ili kuleta haki.Huku Askari tegemeo awaaminiki awajaongezewa mishahara 5 yrs wanaweza wasitii maagizo, Huku wakiweka uchaguzi huru hofu ya kutoboa ni ngumu,
Wana mtihani mzito sana
 
Ile Picha ilikua kwenye kujiandikisha kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ambayo tayari chadema walikua wameisusia Ndo maana uliona Picha za kucheka vituo kua wazi ila kwenye uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura watu walijitokeza tena kulikua na foleni kubwa tu especially kwa mazingira ninayoishi mimi
Wewe jamaa umenikumbusha kitu Cha kweli kabisa.halafu una kumbukumbu Kali Sana,Kisha una akili.
Mpaka hapo CCM kwisha habari yake.
 
Kawekwa Kati kulia nguvu ya umma, kushoto, Robert Amsterdam anafile kesi direct the Hague, kaskazini usa, ulaya, china na jumuia za kimataifa zinataka ngoma ipigwe sawa ili kuleta haki.Huku Askari tegemeo awaaminiki awajaongezewa mishahara 5 yrs wanaweza wasitii maagizo, Huku wakiweka uchaguzi huru hofu ya kutoboa ni ngumu,
Wana mtihani mzito sana
Comrade una mawazo mfu sana, Lissu awezi kushinda kamwe wala uyo mtetezi wa wasenge Amsterdam hana madhara yeyote kwetu.
 
Back
Top Bottom