Rais Magufuli: Ukikosa kwenye uchaguzi kuna nafasi nyingi za kuteua, cha msingi tushike dola nitawateua CCM

Kumbe issue si maendeleo ya nchi yetu tena bali kugawana vyeo due,je wajumbe wa nyumba kumi kumi na wale wanaccm wenzangu Mimi standard seven walipiga vigeregere kushangiria ahadi hiyo?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yuko sahihi Raisi kipindi cha chaguzi ni kipindi cha team zote ndani ya CCM kucheza kama timu moja kuhakikisha ushindi unapatikana kwa kishindo mtu akishindwa kura za maoni au uteuzi asijifanye yeye na makundi yake wanaleta fyoko kwenye chama tukose ushindi au CCM TUSHINDWE KWA SHIDA nooo ya 2015 YA WANA wana CCM KUPARURANA nyakati za chaguzi hayatakiwi kujirudia
 
Cha ajabu kipi hapo? Kawaambia wana CCM kuwa usipoteuliwa kugombea ubunge naweza kukuteua sehemu nyengine,muhimu ni kushika dola,au ulitaka aseme chadema wakishindwa ubunge nitawateua nafasi nyingine
Mimi ninasubiri uteuzi wa Diwani viti maalum
 
Cha ajabu kipi hapo? Kawaambia wana CCM kuwa usipoteuliwa kugombea ubunge naweza kukuteua sehemu nyengine,muhimu ni kushika dola,au ulitaka aseme chadema wakishindwa ubunge nitawateua nafasi nyingine
Angesema Mtanzania yeyote mwenye uwezo wa kushika nafasi fulani anaweza akamteua..
 
Bodaboda, wamachinga, wanafunzi na watumishi hampo kwenye mpango wowote wa Magufuli wa kugawiwa vyeo.
Shauri yenu na hizo nyimbo zenu eti ccm mbele kwa mbele!
 
Back
Top Bottom