Rais Magufuli: Uhakiki mdogo umeshabaini watumishi hewa 1,680 Serikalini!

Tatizo hili ni rahisi sana kulidhibiti.ndani ya dakika Tano tu.

vitambulisho vya Taifa , na ninavyo jua walopewa kipau mbele ni wafanya kazi wa serikali na halmashauri...
tunaanzia Hazina na Manispaa wanako andaa list za wafanyakazi.
unakua na system na namba ya kitambuisho ndio inatumika kurikodi data za mfanya kazi...na ni locked haiwezi kuingia mara mbili..hapa tutazuia tatizo...
 
Hao ni wadogo wadogo... we need the big fish in that ufisadi Ocean. Wanajuana hao.
Papa kati ya hao ni E. Lowassa hapana mtu kama huyo nchi hii, wengine wanaiga tu kwa kile alichokifanya yeye.
 
kasema wa TRA
Ndugu shida ya nyumbu wanakalili tu ,umesikia ametaja TRA bado anataka aambiwe wapi huyo mtumishi yupo,si ajabu kazi yao hawa nyumbu ni kuzungusha mikono tu lakini mukichwa ni kama debe shinda,makelele mengi upepo ukipita lakini ndani jepesiiiii
 
Huu sasa usanii umezidi kwa hiyo alikuwa anamlalakia nani?hao waliokuwa wanalipa hiyo mishahara feki wamechukuliwa hatua gani?
 
Mishahara ya TRA ilivyo jamaa anavuta 17 Mishahara kwa mwezi,je kavuta kwa miaka mingapi? Nchi hii dah unaweza kunywa sumu kijinga tu
ha ha ha ha umenichekesha kweli, vumilia tutafika tu lakini inauma kwelikweli dah!
 
Usijifanye unajua sana mpaka kufikia hapo wameshajilizisha na ushaidi acha kukurupuka ww
Ndugu sio kila kitu kinachotamkwa na Magufuli basi kiwe kweli, kama umemsikiliza vizuri amezungumza vitu viwili vyote vikiwa na takwimu ya 17.
1. Amesema kuna mtumishi alikuwa anakula mishahara ya wafanyakazi hewa 17
2. Kuna mtumishi alikuwa anapokea mishahara 17 kwenye akaunti tofauti 17
Baada ya maneno hayo yakaongezeka maneno mengine mengi ambayo sikuyafuatilia sasa kwa kauli hizo mbili nyie mnamjadili yupi? kwa kushabikia kauli hiyo?
 
Huyo anatakiwa afilisiwe mpaka nyeti zake
Wewe nyeti yako imefilisiwa? mnaropoka tu sio kila habari ni kuishabikia mtaumbuka. mtu apokee mishahara 17 ni vema ukajiuliza hiyo yote ni ya umma au makampuni/mashirika binafsi?
 
magufuli ana vituko sasa mishahara 17 hata angeiba miaka 100 hazifiki hata robo za ya hela ya escrow mbona wao wajapelekwa mahakamani! kwanza huyo jamaa ni shujaa kwa kweli maana ametumia weakness ya wahusika vizuri.hapo aliyetakiwa kupelekwa mahakamani ni serikali ya ccm
uharo huwa unaachwa chooni ila kuna wengine wameamua kuuhifadhi kichwani for activities of daily living.
 
magufuli ana vituko sasa mishahara 17 hata angeiba miaka 100 hazifiki hata robo za ya hela ya escrow mbona wao wajapelekwa mahakamani! kwanza huyo jamaa ni shujaa kwa kweli maana ametumia weakness ya wahusika vizuri.hapo aliyetakiwa kupelekwa mahakamani ni serikali ya ccm
Bavicha bana sasa ulitaka serikali imuachie tu huyo jamaa kisa pesa aliyochukua hazifiki za Escrow?
 
Daaah watu wanaweza.

Hivi una tumbo gani la kula hela zote hizo? Natamani sana hawa watu wangewekwa hadharani hii tabia ya kikupe ikome.

Watu wengine ni walafi.

Watumishi waliohusika na watumishi hewa wachukuliwe hatua za kinhdhamu kwa kutia hasara serikali ili wengine wawe makini.
 
Back
Top Bottom