Rais Magufuli udhaifu huu ufanyie kazi

Upo sahihi ila ndo aina ya wanaume wa kiafrika, kuna kipindi nilikuwa nje tukawa tunapiga stori jioni na mabinti ambao tumetoka nao Afrika kwenye intake yetu. Nilikuwa na jamaa mkenya, aisee walituchana laivu kabisa kwamba wanaume wa kiafrika hatuko romantic na siyo waaminifu kwenye mahusiano, na wangependelea wawe na wazungu. Tulijaribu kujitetea pale lakini hatukuwa na hoja za maana kabisa za kuwashawishi....
 
Utani. Kama ukuzoea utani, na mkeo na shauri yako. Nadhani utani alianza tangu mwazo wa mpenzi yao. Mama kamzoea mmewe kwa utani. Na nikweli wasukuma wanapenda sana wanawake weupe. Tangu zamani wasichana mweupe walitolewa Mahari kubwa sana kisa ni weupe

Hakuna cha utani. Ni ukosefu wa heshima kwenye mahusiano.

Hivi leo kwenye Mkutano kuna mahali popote amemzungumzia mke wake ? Atleast kwa kumshukuru mbele ya watu basi kuwa

Ni maneno yasiyo na gharama yoyote lakini yanamletea heshima mwanamke mbele ya kadamnasi.... But did he do that ? ...he didn’t. It is a shame

Yaani mkutano kama ule hakuna Hata sehemu ya kumention your sweetheart ambaye anajua mpaka boxa uliyovaa wakati huo ..... you guys mnaosema ni utani I think hamjui hata maana ya mapenzi.

Yaani wabongo tunashida sana kwenye hili eneo na kwa kutambua hilo tumewafanya wadada kutuchuna sana. Maana hatuwafanyi wajione wanapendwa , unamtafuta ukiwa na Hamu tu . It is all about come for https://jamii.app/JFUserGuide na ndio maana Bar zinajaa sana week-end, badala ya kutulia home na wife wako unaenda kuutafuta.............

Wazazi wa kike fundisheni watoto zenu namna mwanamke anavyokuwa affected na namna ya kumjali. Little things make sense to them , kind words make them wet !

You guys need to Restructure and get your mind up na uelewe bila ya mwanamke you are not there

Women are gods on earth, know that .

Akiamua she will make your head spin forever, Be respectful guys and Romantic
 
Ila pia kina mama wa kitz ni wavumilivu sana na wana heshima ingekuwa nchi nyingine Rais kila hotuba lazima aongelee wanawake tena bila staha angeona moto wao. Mbona wangeandamana na hata kufanya vituko.
I salute Tanzanian ladies kwa kuwa wavumilivu

Nashangaa sana.

Halafu mama Janet anaonekana alikuwa kisu sana enzi hizo . Yaani ameshakula zaidi ya 45 but still anaita, je back in the days?

Napenda snaa Rangi yake na jinsi anavyotembea. She is so cute . Napenda sana nikimuona ana smile.
 
Mkuu,

Naona unataka kufananisha mahaba na mkeo kwa issue za kisiasa.

Kivipi?

Sisi ni wanaume wote na JPM ni mwanaume mwenzetu, Rais anayewakilisha wanaume wote Tanzania .

Kwahiyo lazima tuwekane sawa kidogo ili atoe image nzuri ya wanaume wa kitanzania
 
Wewee unataka kumfanya mwanamke Mungu? Wanaume tunakosea wapi?
Hili la magu mwachie Magu although you are entitled to have your own opinion.
 
It is no joke kuwa Rais Magufuli anakosa Fundamental Character Ethics za kuwa Gentleman. Sina hakika hili lina uhusiano wowote na Kabila la Wasukuma au ni Personal Character .

Lazima wanaume tuelezane ukweli, no one is perfect na honestly nampenda Rais Magufuli, Ila Niseme wazi kwamba katika wanawake wasiokuwa na furaha ya kuwa First Lady basi ni huyu Mama Jannet JPM. Wanawake wapo very sensitive na language, na small things really matter to them na ni watu walioumbwa emotionally.

Udhaifu Mkubwa wa Watanzania ni they are not ROMANTIC, they are so rough na hawajui kuwa gentleman, hawajui kujali. Karne ya 21 bado kuna watanzania still wanapiga wanawake, wanatukana, wanafokea. Aibu sana.

1. Wakati Rais Magufuli anafunga Bunge la 11, alimshukuru Mungu na kuwashukuru watu woteee na mkewe kumuweka mwisho, my wife was very surprised with that. President Magufuli he might be a very good president to remember; but among the areas that he needs to work on , ni hili la kuwa Romantic kwa his woman.

Kama hushukuru wazazi wako, basi baada ya Mungu ni Mke wako tena unampamba na kumsifia.

Bila yeye Mimi sio Rais Magufuli, amenifanya kuwa Rais bora etc etc.

Hata kama kuna vimichepuko, that is your dark side, it doesn’t matter, we all have secrets. but when you are with her you pay all attention to her, and listening her all the time.

2. Kuna kipindi Rais Magufuli alienda kumpokea Rais wa nchi Fulani, yule Rais alihakikisha mke wake yupo begani kwake tena he was holding her hand, and the woman held his; As for Rais Magufuli, mke wake alikuwa yupo yupo tu mara mbele mara nyuma , hayupo karibu na husband and the President is not giving a damn about her; nilisikitika kwa sababu I know what love is

3 Leo ndio nimekufa kabisa Mkutano wa Halmashauri Kuu;
anasema wazi mbele ya mke wake kuwa yeye akiwa na stress na akiona white lady ( Maji ya kunde kwa tafsiri sahihi) huwa hata stress zinaisha, what does that mean kwa mke wake ? Anamsifia Samia Suluhu ni mzuri na mweupe( Maji ya Kunde) na akimuona stress wakati mwingine zinapungua ,

Umemsifia Mama Samia hadi kaona aibu na kugeuza jicho lake lile huku anatafuna chewing Gum kwa mbaaaaaaaaali

Sijawahi ona hii kitu Kwenye mahusiano ya mapenzi. Ninavyomjua mke wangu, huo ugomvi usingeishaaaaa, na hata mimi naanzaje kutamka hayo maneno in front of my lady, over my dead body. My Black Queen.

Nilishawahi kuulizwa na mdada mmoja napenda mwanamke wa aina gani , nilitoa sifa za mwanamke wangu, awe black ,short with long natural hair , asivae upupu (wigi) . Hizi ni sifa za mwanamke wangu.

ninapokaa popote lazima awe pembeni yangu na sifa zote na utukufu wote ziende kwake.
Mwanamke anayekuzalia, na ku open her legs for you, unatakiwa kuwa na nidhamu kwake za wazi kabisa hasa unapokuwa mbele za watu you need to show that.

it is no joke Mr President you need to work on yourself and keep your head up Mr President; be conscious unapokuwa mbele za watu, please you are offending this woman for God sake man.

Yaani unaoa chocolate lady Halafu unasema unapenda white lady na anakutoa stress!

I am Dead
Hayo mambo huwa anachomekea tu, siyo kwamba kwa sababu Mke wake n mweusi basi hampendi, anampenda sana ndo maana anamedumu nae kwa muda mrefu sana .

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
I am almost dead !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli kashawahi kumbaashia Salma Kikwete live kwenye hotuba.

Hayo ni mapungufu yake binafsi, usihusishe hizi habari na Wasukuma.

Kwa Wasukuma kuna washua wanaheshimika na kujiheshimu sana.

Sawa Mkuu, Na mwanzo wa Post yangu nimesema kabisa, I am not sure kama tabia hizi zinahusiana na Kabila la Wasukuma au ni Personal Character.

Siamini kabisa katika tabia na kuzihusisha na ukabila au Dini.

Kwa mfano nilikuwa na Rafiki yangu wakati tupo Netherland alibahatika kupata Mwanamke wa ki Asia, huyo Rafiki yangu alikuwa Msukuma. Man , alikuwa ni very Romantic mpaka Yule msichana wake akawa ananilink na Rafiki yake wa kike niwe nae, akiamini Waafrica are so Romantic kushinda waarabu au wazungu.

So ni obviously haina uhusiano na Kabila.

But Hii issue ya our president to ignore the presence of Janeth kwa kweli needs to be clearly addressed.

Anawakilisha Tabia za wanaume wa TZ, he is our reflection. Mfano yule mjukuu wa Malkia Elizabeth aliyehamia Canada, he decided to depart from the Royal family to secure his relationship; imagine how Gentleman he is and so sweet.

Ndo maana wanaosema JPM is joking they are mad. There is no such a joke. Love is something else na pia kuna raha ya kuzeeka pamoja; you keep close to your partner as you grow old and older.

There is no neutral, it is either you love or you don’t ........ I do not know where JPM stands
 
Unajua utani ni nini? Magufuli analamisha kuwafanya watu wacheke wakati hana hicho kipaji na anajikuta anaongea mambo yanayodhalilisha wanawake. Huyu mzee anaishi maisha ya karne mbili zilizopita, siyo mstaarabu na ni mshamba kweli kweli. Kwani lazima kulazimisha humour kwa kuwadhalilisha wanawake wakati kipaji huna?

Asante sana. I was about to say this. Yaani nilitaka ku comment hili suala. Sio lazima kuchekesha na ni kweli hana hicho kipaji.
 
Kama alikuwa Romantic kwanini alimchoma moto;

Gentleman sio kunukia mapafume ya Givernch, Blue Channel, Emporio Armani, Strong With You , Creedy etc etc .

Gentlemen inaanzia kwenye roho ? Unakuwa na huruma na mpenzi wako, hata kama Akiwa na makosa there is a way to talk to her , na Kama kosa halivumiliki, for God sake man Unamuomba mke wako muachane aendelee na maisha yake kwa sababu you are no longer comfortable with her kwa makosa aliyofanya.

Atabaki kujilaumu mwenyewe. This is Gentleman things.

Kuua ni teso kubwa sanaaaaa kwa binaadamu, na ni JINAI , yaani ni ukatili wa level za juu kabisa, sidhani kama kuna ukatili zaidi ya huo.

Mimi hata kuku siwezi kuua( kwa maana iliyohalalishwa KUCHINJA), i cannot and I feel sorry for that natamani kusingekuwa na haya mambo ya kuua wanyama for foods:

sasa leo unaenda kumchoma mtu moto Halafu unasema he was Gentleman

Please choose your words carefully, pleaaaaaase

Shemeji akiona unachoandika huku hakika ni haki yake kutembea kifua mbele.
 
Kabisa. You can’t . Imagine Mama Janeth aanze kusema

wakati mwingine nikimuona Jk huwa sijiwezi. He is tall , handsomely with such small all the time , akisimama na yale matege yake he blows my mind wooow he is sooo cute , Oooh my God ! .......JK

Is he sure kwamba atafurahi kusikia haya maneno ? Na kama hatoumia basi ujue hana mapenzi nae. Yaani mke wangu amsifie mwanaume hivo mbele yangu sitolala home miezi 3.

Kabla ya kufanya kitu THINK, put your self in that position.

Nakuhakikishia pale Ikulu wale tausi wataenda lala nje ya uzio maana sio kwa kipigo hicho atakachopata Mama Magufuli...

Anaweza vunjwa kiuno na Mr. President
 
Majitu yenye kama hayo huwa yanaitwa ma-mbugwe. Ni mashamba ambayo ustaarabu umewapiga chenga na yanaishi kama yako karne mbili zilizopita. ''Vichekesho'' vya huyu mzee anavyojifanya kuchomeka wakati anahutubia vyote vinadhalilisha wanawake na havichekeshi. Hata wanaojifanya kucheka ni wanafiki tu.

Haipendezi Yaani nashindwa kuelewa. Kwanini ana act hivo
 
Kwani kinachovunja mahusiano siku hizi ni mambo ya romantic au ni uaminifu kutokuwepo, maneno matupu hayavunji mfupa, tatizo la kizazi Cha Sasa Ni kwamba Mambo ya chumbani mnataka kuweka sebuleni
 
Back
Top Bottom