Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Uchaguzi 2020 utakuwa huru na wa haki

Eksipiriensi yangu ni kwa uchaguzi wa Tanzania tuu. Hapa tunazungumzia uchaguzi wa Tanzania na demokrasia ya ki Tanzania ambayo ni sehemu ya African democracy.
P
Demokrasia ya Africa unazungumzia hii ya Kick the ace kwa Opposition? Yaani hii iliyofanyika kwenye serikali za Mitaa? Nikuulize swala moja, kwa Mungu hakuna linalowezeka, hivi ikaja ikatokea wapinzani wakatwaa Madaraka na wakaendeleza haya yanayofanya na Serikali ya CCM, hivi utaridhika? Nataka useme kwa ukweli wa nafsi yako utaiita ni demokrasia?
 
2020 act-wazalendo twende na Bernard membe, tumkimbize jiwe amezidi kujimwambafy na kuwa borer!!
 
Kwa nini asianze na uchaguzi uliopita ambapo wagombea wa CCM walipita bila kupingwa kwa hila???
 
Mkuu Ngambo Ngali, hizi ni trends, baada ya kushuhudia kilichotokea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, na kimekubalika, then hicho ndio kiwango chetu cha uchaguzi huru na wa haki na hiki ndicho kitakacho tokea kwenye uchaguzi Mkuu.

Trends za uchaguzi Mkuu wa mwaka huu niliziweka hapa mwaka jana baada ya matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa

P
,Mkuu Pascal Mayalla hebu tujikumbushe kidogo hapa kabla hujajiunga nao kweli ulikuwa moto sana!!.
 
Attachments

  • Mayalla akiuliza swali kwa Rais J Magufuli leo ( 360 X 320 ).mp4
    14.2 MB
P hawezi kuteuliwa asilani! Kwa kosa la kumuuliza JPM maswali ya kuudhi. P kaanza kuimba mapambio ya kusifu akiwa tayari kamtibua JPM.
Lakimi pia Pascal Mayalla anajua kuzichanga karata zake vizuri,Maana ameona waandishi wenzake wanavyopotea na kutiwa ndani hivyo imebidi tu aitumie kalamu yake kwa kujiunga na Praise & Worship Team ili tu apate mkate wake wa kila siku,Hata hivyo mimi bado naamini wanaweza kumfikilia katika awamu hii ya ,miaka mitano hata tu Ubalozi unatosha maana kiukweli anapambana sana humu.
 
Demokrasia ya Africa unazungumzia hii ya Kick the ace kwa Opposition? Yaani hii iliyofanyika kwenye serikali za Mitaa? Nikuulize swala moja, kwa Mungu hakuna linalowezeka, hivi ikaja ikatokea wapinzani wakatwaa Madaraka na wakaendeleza haya yanayofanya na Serikali ya CCM, hivi utaridhika? Nataka useme kwa ukweli wa nafsi yako utaiita ni demokrasia?
Mkuu Mtambwe, demokrasia halisi inapaswa kuwa ni ...
Serikali ya Watu
Inayochaguliwa na Watu
Ili Kuwatumikia Watu walioichagua yaani
Of The People, By The People and for The People.
The African Democracy ni serikali ya Mtu inayejiweka Mwenyewe, na kuteua Watu wa Kumtumikia Mtu!,

Kwenye hili la Mungu naomba nikurekebishe, sio hakuna linalowezekana, bali kwa Mungu hakuna lisilowezekana.

Ukitokea muujiza wa Mungu, wapinzani wakatwa madaraka kimiujiza, then huo ndio utakuwa mwisho mbaya wa CCM, swali linabaki ni wapinzani gani hao hata wakutwaa madaraka kimiujiza?. Hili nimewahi kulizungumza humu.
Poa soma hapa kuhusu waota ndoto

Kwenye hili la kuishi kwa kutumainia muujiza, pia nimekuzunguza humu kuwa tuna watu wa aina mbili, wishful thinkers na realists, wishful thinkers wanaishi kwenye utopia, na day dreaming, ma realists wanaishi kwenye ukweli, hivyo kama unaamua kuishi kwenye ndoto ukisubiria muujiza wa wapinzani kutwaa madaraka, it's your right, lakini mimi ni realist ninayekuambia ukweli mtupu wa kitu kilichopo Tanzania ni CCM kutawala milele.

Ndugu yangu Mayalla, wewe unafikiri upinzani wa kweli utatokea wapi? Upinzani wa kweli utatokea CCM. Wewe unasema unauzoefu wa Uchaguzi tokea 1995. Mimi nimeanza kupiga kura tokee 1985 na wakati huo CCM ikipata 100%. Inakuaje Leo ikipigwa kura wanapata 60% tena za udanganyifu? Kwani hao wote unaowaita wapinzani (makuadi wa Mabeberu) sio walikuwa CCM?
Wewe umesoma Theory ya Evolution, mfumo wowote Duniani hujiuwa wenyewe (self distruction) kwa Makosa yao wanayoyafanya. Na CCM itajuwa wenyewe amini usiamini. Kuongoza nchi za Kiafrika ni jambo rahisi sana, watu hawaki kwenda mwezini, watu hawataki wawe na Atomic Bombs, just wanataka wahakikishe kua mtu hafirii kesho atakula nini, atavaa nini, na ataishi wapi yeye na watoto wake, lakini kwa bahati mbaya hata hili linatushinda. Sasa anapotokea Mpinzani kupinga haya sio ni Wao CCM waliosababisha?
Na kuuwa upinzani ni Jambo rahisi pia na limo mikononi mwa CCM, ni kuhakikisha wananchi wanapata matakwa yao tu. Kila unapotumia nguvu ndio unapozidisha Upinzani. Sisi tuliosoma Engineering tunaelewa kuwa " Action and Reaction are Always equal but opposite in direction" kama hakuna equality ndio na movement kwenda direction moja (Velocity, accelaration, Energy).
 
Hahahahaaha nimekusoma nikakuelewa! Sarcasm

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi humu huwa wanashindwa kumuelewa Pascal. Na kwa muktadha huo, nachelea kusema JF ina vilaza wengi sana. Kama mtu anashindwa kung'amua 'sarcastic remarks' vipi aweze kuelewa big issues. Nimesoma comments naona wote wanamlaumu pasipo kumuelewa.

Mi siku hizi najionea sawa tu mamaye wacha watuadhibu CCM. Viongoz jinga na raia pia jinga kabisa.
 
Back
Top Bottom