Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Uchaguzi 2020 utakuwa huru na wa haki

Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ndugu J.J.P.Magufuli akiongea na mabalozi ikulu jijini Dar es salaam amewahakikishia mabalozi hao kuwa uchaguzi wa mwezi oktoba utakuwa wa amani, uhuru na haki. Hivyo amewataka wapinzani wasiwe na hofu juu ya uchaguzi huu.

Viva CCM, JPM for 2020-2025

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunakuaminia mkuu wetu. We piga kazi tu. Hao wapinzani watafanya mikutano mingapi huku weshaambiwa kuwa; Hata bunge likivunjwa hawapewi chao hadi baada ya uchaguzi?? Wadhani kugombea ni mchezo?? Hata hela ya kumnunulia banana mpiga kura huna! Wenzako wakifika wanamwaga maji ka takataka. Tutawapa walio tupa hayo maji kura zetu
 
Kwa hyo sasa wale watendaji kata hawatajificha kupokea fomu za wapinzani? Vipi mapolis hawatawatupa wagombea wa upinzani lupango? Vipi maDC?
 
Kwa hyo sasa wale watendaji kata hawatajificha kupokea fomu za wapinzani? Vipi mapolis hawatawatupa wagombea wa upinzani lupango? Vipi maDC?

Hayo yote yatafanyika, na hao mabalozi watakaohoji wataambiwa diplomasia sio kuingilia mambo yetu ya ndani. Bila tume huru ya uchaguzi hakuna kushiriki huo ushenzi. Tume huru idaiwe kwa nguvu kubwa ili hata hao mabalozi wakihoji iwe wako upande wa umma.
 
Halafu uchaguzi ni mchakato huyu aliyezima siasa na anataka atambe yeye tu anawezaje kuaminiwa kwa kauli hii?
 
Back
Top Bottom