Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,300
Naamini misingi iliyoasisiwa na mpendwa wetu Baba wa Taifa katika Azimio la Arusha hasa kwenye maadili ya viongozi wa Umma inao uwezo wa kusafisha na kukusaidia sana kati kazi ya kuongoza taifa letu.
Mfanyabiashara abaki kufanya biashara na Mtumishi wa Umma na Kiongozi wa Umma wabaki kuhudumu katika majukumu yao la kil la mmoja achague na kutuchanganyia habari
Mfanyabiashara abaki kufanya biashara na Mtumishi wa Umma na Kiongozi wa Umma wabaki kuhudumu katika majukumu yao la kil la mmoja achague na kutuchanganyia habari