Rais Magufuli tuokoe sisi benki riba kubwa huku wafanyakazi NSSF wanakopeshwa pesa zetu bila riba

shaurimbaya

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
1,915
2,326
Magufuli hii double standards sio nzuri why watumishi wa umma tuwe na double standards, sio fair mwalimu akakope NMB au Finca kwa riba kubwa huku mtumishi wa NSSF hata receptionist anakopeshwa hela hapo hapo NSSF bila riba. Hii sio fair.
 
Mimi mwenyewe nashangaa sana maana hela zinawekwa NSSF wanafanyia mambo mengi sana laini no interest ya kututosha
 
Back
Top Bottom