Rais Magufuli tunyooshe tu,kama ndio hivi wapinzani wanavyo tufanyia sisi WANANCHI..

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
13,662
2,000
Rais magufuli wewe chapa kazi upinzani hewa huu unaenda Kufa wenyewe.. Wapinzani Hawa hawana msimamo AFU pia uzuri Kwa Sasa hawana nguvu wala pesa ya kuratibu maandamano Kwa hiyo kelele zao zinaisha mitandaoni tu
 
Kibstec

JF-Expert Member
May 21, 2016
1,205
2,000
Rais magufuli wewe chapa kazi upinzani hewa huu unaenda Kufa wenyewe.. Wapinzani Hawa hawana msimamo AFU pia uzuri Kwa Sasa hawana nguvu wala pesa ya kuratibu maandamano Kwa hiyo kelele zao zinaisha mitandaoni tu
PESA ni mpaka wakaongwe na WAZUNGU.........
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom