Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 13,136
- 27,079
Wewe ni mwalimu ja unejiwazia wewe tu, angalau nyie miaka ya 2015 kushuka chini mlikuwa mnaajiriwa direct, ila lilikuwa suala la muda tu kabla hizo ajira hazijawa saturated (ni principle tu ya uchumi).
Vipi watu wa fani nyingine ambao toka miaka hiyo hakuna ajira za moja kwa moja toka serikalini?
Kwa muono wangu hii hali lazima tuipitie ili kuyafikia maendeleo, na tunapaswa kupigika zaidi ya hapa ili akili zikae sawa, by then kila mtu atachekecha akili jinsi ya kuishi.
Impact yake ni kwamba, ubunifu katika kazi biashara utaongezeka, wizi na utapeli utakua sana, umalaya na kujiuza pamoja na kurekodi mikanda ya ngono itakuwa kawaida, wengine watatoka na kwenda kujaribu maisha nje ya Tanzania.