Rais Magufuli tunusuru vijana wako tunapitia kipindi kigumu

Nyie ndyo mmesoma ila elimu imewaganya kuwa watumwa wa fikra. Unadhani ajira ni kuajiriwa na serikali tu???? Wewe endelea kubweteka apo
 
huyo huyo anaewapitisha kipindi kigumu kwa makusudi ndio mnaomba awanusuru?
 
Unaongea kama mbuzi aliyetoka shimoni.
Ukiwa na akili kidogo tu na exposure utaona na utajua duniani kote foreign policy ya nchi kubwa ni kukuza biashara hasa kwa kufungua milango ya private sector ziongeze mauzo (exports) ya bidhaa na huduma ili the more income inakuwa private sectors ajira zinazalishwa na tax base inaongezeka.

JF ni jukwaa limejengwa kwa msingi wa kuwa great thinkers.
Njoo na fikra mbadala jukwaani na sio kubeza pasi kutupa maono yako ni yapi.

Huu ni uungwana na ustaarabu kujibu hoja kwa hoja
 
Let's be honest, private sector duniani kote ndie muajiri mkubwa tofauti na public sector.

Hapa mheshimiwa afanye awezavyo atafute watu wenye brain ya kutengeneza ajira hasa manufacturing sector hasa agro processing ambayo ina cut down imports na kuongeza exports za finished goods, then in the course ya kukua huku kutaendana na serikali kukusanya zaidi kodi ili service sector kama elimu, afya na kilimo ambazo zimeajiri watu wengi nao wapata kazi.

Kuna mtu wakati mmoja alikiwa anatafuta audience ya Mkulu kuomba dhamana ya serikali; I know the guy, ili awekeze kwenye industry ambayo kwa mwaka nchi ina import goods worth 600 bil.

Dhamana ya serikali ilikuwa haizidi 15bil na ardhi ambapo zingezalishwa ajira zaidi ya 1,300;
Ilikuwa ngumu mpaka jamaa alikata tamaa maana sio rahisi ku-break red tapes.
TIB wana hela na kila mwaka zinabaki nao wanashangaa tu baada ya kuombwa either mkopo based on investment project proposals au dhamana ya mkopo ili wao wawe administrator wa investment funds.

JPM kama anaweza kuwa na back door channel ya namna ya watu kumfikia au kutengeneza team ya innovators; nchi hii izalishe ajira.

Sio kila mtu anaweza kujiajiri na huwezi kujenga sustainable economy kwa ajira za mtu mmoja mmoja,lazima kujenga sustainable working system za kuzalisha kazi.

Watanzania wenye akili tupo; we just need govt backup hasa kwenye uwekezaji.
Umeongea point mkuu
 
Mkuu mimi saizi silembi

Kuna siku mzee nilimpa makavu, yeye ni mwanachama Wa CCM, nilimchana live bila kujali nitalala wapi akinifukuza!

Alikuwa anauliza maswali Kama hayo, na mimi niko na hasira, baada ya kuona majina ya hovyo ya kujirudia rudia tamisemi .!

Mzee alihisi nimechanganyikiwa ikabidi atulie tu!
Kumbe nawewe ajira huna? Pole sana
 
Shillingi laki mbili ni mtaji unaotosha kufanya nini kichwa nazi ?
Kwa wenye vyeti vya degree (siyo wenye degree au qualifications ya kielm yoyote) wana waza Kama wew ndo maana unaweza kuta jitu linasema Lina degree halafu linakula kwa mama na Lina almost 30yrs old, Kama kwel umesoma na unauwezo mzr wa kudadavua mambo huwez sema upuuz huo, mm nilimaliza chuo na nlianza ki business na 200k only na saiz mtaj mkubwa tyu afu wenye vyet vya ualim wa kiswahili ( Kuna wahitimu wengine wasioajilika) ndo mnapiga makelele Sanaa😂😂
 
Ulimaliza chuo gani halafu bado unaandika "tyu"?
Acha taarabu,biashara gani unaweza kuifanya kwa mtaji wa shillingi laki mbili? Hujajibu swali bado.
Kwa wenye vyeti vya degree (siyo wenye degree au qualifications ya kielm yoyote) wana waza Kama wew ndo maana unaweza kuta jitu linasema Lina degree halafu linakula kwa mama na Lina almost 30yrs old, Kama kwel umesoma na unauwezo mzr wa kudadavua mambo huwez sema upuuz huo, mm nilimaliza chuo na nlianza ki business na 200k only na saiz mtaj mkubwa tyu afu wenye vyet vya ualim wa kiswahili ( Kuna wahitimu wengine wasioajilika) ndo mnapiga makelele Sanaa
 
Kwa nini mtu mwenye cheti cha ualimu wa Kiswahili haajiriki?
Kwa wenye vyeti vya degree (siyo wenye degree au qualifications ya kielm yoyote) wana waza Kama wew ndo maana unaweza kuta jitu linasema Lina degree halafu linakula kwa mama na Lina almost 30yrs old, Kama kwel umesoma na unauwezo mzr wa kudadavua mambo huwez sema upuuz huo, mm nilimaliza chuo na nlianza ki business na 200k only na saiz mtaj mkubwa tyu afu wenye vyet vya ualim wa kiswahili ( Kuna wahitimu wengine wasioajilika) ndo mnapiga makelele Sanaa
 
Ulimaliza chuo gani halafu bado unaandika "tyu"?
Acha taarabu,biashara gani unaweza kuifanya kwa mtaji wa shillingi laki mbili? Hujajibu swali bado.
MUST mwaka huuhuu (2020), afu ety typing error unaikosoaa Kama vile kosa la jinai😂😂😂, ndo uwezo wako wa kudadavua mambo umeishia kuonana typing error br?
 
Kwa nini mtu mwenye cheti cha ualimu wa Kiswahili haajiriki?
N mfano tuu, nilimaanisha n coz ambayo ina competition kubwa sana maana Kuna wahitimu wengine mitaani, that's why viajira vya ualimu kipindi cha nyuma ilikuw walm Wa math , phys, chem& bios haswa(# kuhusu wasioajilika ni wale wenye vyeti na syo elm husika, mfano mtu anasema ana degree ya Mechanical engineering halafu kwenye hiyo field yake hajui hata ABC ya v2 Kama CNC( computer numerical control)& PLC(programmable logic control) wakat ndo vinatumika mostly kwenye viwanda nowdays#)
 
Wazazi wanachoamini utadhani chuo mlikuwa kumi basi, kumbe kada tu ya ualimu ngaz zote (certificate, diploma na degree) mwaka mmoja tu mnamaliza zaid ya 60k, sasa imagine miaka imepita mitano no ajira zidisha mara 60k graduates for the average unapata wanafunz kwenye 300k+ wapo kitaa, alafu mtu anaajiri 13k, mm nimekimbia maswali ya wazazi nipo huku sumbawanga sijui ata cha kufanya sina ata mia, nawaza niuze hii cm nipate ata mtaji wa karanga
Ndo inabidi kuwaambia hao wazazi ukweli huu.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Dah Kaka imetosha sasa , usiendelee kuandika tafadhali unatuumiza Sana graduates,
Naamini hakuna unachokijua
😢😢😢😢😢

sasa hakuna nnachokijua kwani mm sjawahi graduate? kama unataka kuendelea kutesa na haya maisha maamuzi ni yako sasa
 
Ninataka kuwaambia vijana wenzangu ambao kwakias flani mumeshupaza shingo zenu mkisubir ajira chini ya jemedar stone. Hakika umasikin wa kutupwa unawasubiri. Mm ni mhanga wa hizo ajira tangu 2015 ila nilipomaliza nilikaa miez 3 maskan nikaaga nilianza kupanga mtaan chumba ya elfu 20, mkoan nikasugua mwaka nikaona huu utani nikakata tiket nikajitosa Dar jiji linampokea yyote yule nikachukua vyet nikaweka chini ya uvungu nimehangaika sana ila mpaka ninaandika hapa mm ninasikia mtaan wakisema mshua kapita nipo kwangu nyumba yangu kiwanja kubwa square mita 1100 maenea ka bunju sasa ninajua shida ipo ila sahau kuhusu ajira utanishukuru baadae. Wasalamu.
 
sasa hakuna nnachokijua kwani mm sjawahi graduate? kama unataka kuendelea kutesa na haya maisha maamuzi ni yako sasa
Nipe Siri mkuu, maana nimefanya michongo mingi imefeli, napata hela ya kusurvive tu! Dah! Nikiri tu nlisoma ili niajiriwe niweze kujiajiri, Mana mtaji pia ni vigumu Sana kupata
 
Back
Top Bottom