Rais Magufuli tunaomba Katiba mpya..

Katiba mpya ipunguze mamlaka ya rais

Rais asiteue majaji

Rais asiteue viongongozi wa tume ya uchaguzi

Rais asiteue wakuu wa mikoa ( wachaguliwe)

Mwisho kabisa katiba mpya ifute Kinga ya rais (Kushtakiwa) kwani kufanya hivyo ni kumpa mamlaka ya Kimungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama mpo wengi mnaotaka hayo kwanini msishinikize kwenye sanduku la kura na kuchagua viongozi wanaokubaliana nanyi au wewe mwenyewe ugombee uongozi.

Binafsi ningependa kuona Tanzania inakuwa na Mfalme au Sultani
 
Unamaanisha sanduku la kura kama walivyofanya uchaguzi wa serikali za mitaa?

Kuwa na mfalme au sultani ni maamuzi pia tusichotaka ni kuwa na Rais "mungu mtu" anayeongoza nchi kwa utashi na matakwa yake binafsi bila kufuata sheria na katiba aliyoapa kuilinda na kuitetea.
Sasa kama mpo wengi mnaotaka hayo kwanini msishinikize kwenye sanduku la kura na kuchagua viongozi wanaokubaliana nanyi au wewe mwenyewe ugombee uongozi.

Binafsi ningependa kuona Tanzania inakuwa na Mfalme au Sultani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom