Rais Magufuli tunaomba Katiba mpya..

Dukani

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
1,122
1,635
Kampeni ya CCM mwaka 2020 itakuwa rahisi iwapo watanzania watapa Katiba Mpya,,,watanzania wengi wana kiu ya kupata katiba mpya.
 
Kampeni ya ccm mwaka 2020 itakuwa rahisi iwapo watanzania watapa katiba mpya,,,watanzania wengi wana kiu ya kupata katiba mpya.
Sasa huyo unayemuomba katiba mpya wakati a zamani haitaki, a yu siriaz
 
CCM imeacha njia sahihi kufikia

1. Maendeleo yakweli

2. Umoja, uhuru na mshikamano wakweli

3. Demokrasia ya kweli

4. Haki stahiki, sahihi kwa wote yakweli

Nikatiba mpya tu itakayotuhakikishoa Tanzania mpya yenye matumaini mpya katika mambo ya msingi manne hapo juu.

Tunahitaji katiba mpya kwa maslahi mapana na manufaa kwetu sote.
 
Majinga ya uvccm yatakuja kupinga,Tanzania mpya bila katiba mpya ni ngumu
 
Huu sio wakati wa kudai katiba mpya. Mtaletewa katiba inayoondoa ukomo wa kugombea urais.Pia mtaletewa katiba inayomruhusu Rais kutoa hukumu bila mahakama kuhusika.
 
Huu sio wakati wa kudai katiba mpya. Mtaletewa katiba inayoondoa ukomo wa kugombea urais.Pia mtaletewa katiba inayomruhusu Rais kutoa hukumu bila mahakama kuhusika.
Katiba ya warioba.
Alafu Mkuu inaonekana unakaaa mtaa wa Lumumba wewe,watu wa Lumumba wengi hamna akili
 
Kampeni ya ccm mwaka 2020 itakuwa rahisi iwapo watanzania watapa katiba mpya,,,watanzania wengi wana kiu ya kupata katiba mpya.
Katiba mpya iwe na kipi ambacho hakipo kwenye katiba ya sasa hivi au isiwe na kipi ambacho kipo sasa hivi kwenye katiba iliyopo?

Maana kutaka katiba mpya bila kuwa na sababu ya katiba mpya ni kama toto linalodeka kwa bibi yake linalilia lisichokihitaji mradi lideke tu.
 
Katiba mpya ipunguze mamlaka ya rais

Rais asiteue majaji

Rais asiteue viongongozi wa tume ya uchaguzi

Rais asiteue wakuu wa mikoa ( wachaguliwe)

Mwisho kabisa katiba mpya ifute Kinga ya rais (Kushtakiwa) kwani kufanya hivyo ni kumpa mamlaka ya Kimungu.
Katiba mpya iwe na kipi ambacho hakipo kwenye katiba ya sasa hivi au isiwe na kipi ambacho kipo sasa hivi kwenye katiba iliyopo?

Maana kutaka katiba mpya bila kuwa na sababu ya katiba mpya ni kama toto linalodeka kwa bibi yake linalilia lisichokihitaji mradi lideke tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom