Rais Magufuli, tukumbuke na sisi Katavi na Rukwa

astranaut

JF-Expert Member
Jul 30, 2018
1,276
1,021
Ni wazi kwamba tangu mh.Rais wetu aingie madarakani amekua na upendo usiorezeka kwa nchi yetu ikiwa ni pamoja na kutokusafiri kwenda kutalii nje badala yake amekua akiwatembelea wananchi wake na kuwatatulia kero mbali mbali zilizoko ndani ya uwezo wake zinazowakabili wananchi.

Lakini pamoja na hayo sisi mikoa ya nyanda za juu kusini ikiwa ni pamoja na katavi tunaona kama mh.rais umetusahau kidogo.

Mh.rais tunakuomba utukumbuke na sisi pale utakapokua unapanga ziara zako mikoani na sisi utukumbuke,wananchi wa mikooa hii tunakero mbali mbali ambazo zinahitaji busara zako mh.rais kuzitatua.

Wananchi wa mikoa hii miwili tumekua wanyonge sana tunapoona mikoa mingine yatembelewa hiyo inatufanya kua na maswali mengi vichwani mwetu.

Hivyo basi na sisi mh.tunaomba utukumbuke tuna mengi ya kukueleza pale tutakapo pata nafasi ya kuongea na wewe mheshimiwa.
 
Yaani tuache kujenga Uwanja chato tuje huko katavi??
Kwanza Kwenye ilani yetu ya ccm hakuna ahadi ya kuiendeleza katavi nyie subirini kutupigia Kura tu
 
Ni wazi kwamba tangu mh.Rais wetu aingie madarakani amekua na upendo usiorezeka kwa nchi yetu ikiwa ni pamoja na kutokusafiri kwenda kutalii nje badala yake amekua akiwatembelea wananchi wake na kuwatatulia kero mbali mbali zilizoko ndani ya uwezo wake zinazowakabili wananchi.

Lakini pamoja na hayo sisi mikoa ya nyanda za juu kusini ikiwa ni pamoja na katavi tunaona kama mh.rais umetusahau kidogo.

Mh.rais tunakuomba utukumbuke na sisi pale utakapokua unapanga ziara zako mikoani na sisi utukumbuke,wananchi wa mikooa hii tunakero mbali mbali ambazo zinahitaji busara zako mh.rais kuzitatua.

Wananchi wa mikoa hii miwili tumekua wanyonge sana tunapoona mikoa mingine yatembelewa hiyo inatufanya kua na maswali mengi vichwani mwetu.

Hivyo basi na sisi mh.tunaomba utukumbuke tuna mengi ya kukueleza pale tutakapo pata nafasi ya kuongea na wewe mheshimiwa.
Mnamtaka aje afanye nini huko? Kwani hamna wakuu wa mikoa na wilaya? Au ndio mnataka aje ili mumlishe umbea awatumbue hao viongozi mlio nao?

Acheni umbea, fanyeni kazi kwa bidii. Achaneni na mawazo ya kijinga kuwa rais ndiye anatakiwa aje atatue kero. Hata hao viongozi aliowateua wanaweza pia.
 
Mbona wapo Wateule wake wanatosha kutatua kero zenu,Mh.Rais ana mambo mengi ya kufanya jamani.
 
Nimefanya kazi hiyo mikoa, Ina barabara nzuri mnooo..mkumbukwe kwa lipi kiaje? Kwanini hamko specific? Ziara tu why ziara? Mna Joachim wangabo na Juma homera, mnataka nn? Sumbawanga Ni kuzuri kimiundombinu kuliko singida town center, silipendi jiwe lakini kwahili hebu mtoa mada jiheshimu! Halafu ww Ni mwanahabari !
Wakati jiwe anapangua Safu ya wakuu wa wilaya nilikua muhusika kwa kiasi flani, sijui unataka Nini..nimefika wilaya ya mlele kuzuri na kunaboreshwa, ziara Ni anasa tu heshimuni kidogo mnachopata..namanyere hakukua na lami Leo inakaribia!

Ma DC hawakua na hela wakati Simbachawene Ni waziri, tumekaa nyumba Zina milio ya nyoka eti Ikulu- ndogo..we jamaa wewee! Possibly una umri wa mama yangu..dahh
 
A kumbe niko vizuri kama umeniita mwanahabari basi nina imani ombi langu litafika sehemu husika
 
Mnamtaka aje afanye nini huko? Kwani hamna wakuu wa mikoa na wilaya? Au ndio mnataka aje ili mumlishe umbea awatumbue hao viongozi mlio nao?

Acheni umbea, fanyeni kazi kwa bidii. Achaneni na mawazo ya kijinga kuwa rais ndiye anatakiwa aje atatue kero. Hata hao viongozi aliowateua wanaweza pia.
mkuu uko sahihi sana huku kuna malalamiko ya kipuuzi sana naona hata homera yatamshinda (anachukua hatua za haraka bila kusikiliza wahusika ili kuwafurahisha wananchi)

yaani jamaa anataka achongee watu na vile anajua jiwe mpenda sifa basi atawala vichwa tu
 
Mnamtaka aje afanye nini huko? Kwani hamna wakuu wa mikoa na wilaya? Au ndio mnataka aje ili mumlishe umbea awatumbue hao viongozi mlio nao?

Acheni umbea, fanyeni kazi kwa bidii. Achaneni na mawazo ya kijinga kuwa rais ndiye anatakiwa aje atatue kero. Hata hao viongozi aliowateua wanaweza pia.
Kwani mikoa mingine hao wateule wake wameshindwa au hawapo mbona anaenda? Shughulisha ubongo au wewe ni moja ya mteule ulieko huko katavi waogopa kutumbuliwa?
 
Nimefanya kazi hiyo mikoa, Ina barabara nzuri mnooo..mkumbukwe kwa lipi kiaje? Kwanini hamko specific? Ziara tu why ziara? Mna Joachim wangabo na Juma homera, mnataka nn? Sumbawanga Ni kuzuri kimiundombinu kuliko singida town center, silipendi jiwe lakini kwahili hebu mtoa mada jiheshimu! Halafu ww Ni mwanahabari !
Wakati jiwe anapangua Safu ya wakuu wa wilaya nilikua muhusika kwa kiasi flani, sijui unataka Nini..nimefika wilaya ya mlele kuzuri na kunaboreshwa, ziara Ni anasa tu heshimuni kidogo mnachopata..namanyere hakukua na lami Leo inakaribia!

Ma DC hawakua na hela wakati Simbachawene Ni waziri, tumekaa nyumba Zina milio ya nyoka eti Ikulu- ndogo..we jamaa wewee! Possibly una umri wa mama yangu..dahh
Kukaa nyumba zenye milio ya nyoka sindo kusahaulika kwenyewe hela zinatolewa zinaishia kwenye mifuko ya watu flani kama nyie mnaotumia nguvu nyingi saizi kuzuoa asije ili maovu yenu yasijulikane.
 
Hiyo wakati utawala huu unaingia, mbn Sasa Mambo Ni hivii?!
 
Kweli aje barabara za katavi utazani zinaenda machimbo ya dhahabu kumbe mkoa daa
 
Mikoa hiyo kuna miradi mikubwa ya barabara, maji, stand zinajengwa. Nina uhakika lazima atafika kuja kuzindua. Kuna barabara ya kutoka Rukwa kwenda Katavi, kutoka Katavi kwenda Kigoma, kutoka Katavi kwenda Tabora, kutoka Tabora Kigoma, kutoka Tabora Dodoma, kutoka Kigoma kwenda nyakanazi hadi Rusumo then geita. Miradi yote hii iko katika hatua mbalimbali. So atakuja kuzindua. So mkae mkao wa kula atakaa nanyi hadi mmchoke. Coz anapenda sana kutembea kwa barabara ili kujionea ubora wa barabara zenyewe. Ndo maana Katavi kabadili mkuu wa mkoa ambaye ni mfuatiliaji ili kuendana na kasi. Ambaye ni Mheshimiwa Homera.

So kuweni na subira.

Mikoa yote hiyo hajafika niliyoitaja. Na lazima atafika. Kigoma ameshafika bado Rukwa, Katavi na Tabora.
Ni wazi kwamba tangu mh.Rais wetu aingie madarakani amekua na upendo usiorezeka kwa nchi yetu ikiwa ni pamoja na kutokusafiri kwenda kutalii nje badala yake amekua akiwatembelea wananchi wake na kuwatatulia kero mbali mbali zilizoko ndani ya uwezo wake zinazowakabili wananchi.

Lakini pamoja na hayo sisi mikoa ya nyanda za juu kusini ikiwa ni pamoja na katavi tunaona kama mh.rais umetusahau kidogo.

Mh.rais tunakuomba utukumbuke na sisi pale utakapokua unapanga ziara zako mikoani na sisi utukumbuke,wananchi wa mikooa hii tunakero mbali mbali ambazo zinahitaji busara zako mh.rais kuzitatua.

Wananchi wa mikoa hii miwili tumekua wanyonge sana tunapoona mikoa mingine yatembelewa hiyo inatufanya kua na maswali mengi vichwani mwetu.

Hivyo basi na sisi mh.tunaomba utukumbuke tuna mengi ya kukueleza pale tutakapo pata nafasi ya kuongea na wewe mheshimiwa.
 
Mikoa hiyo kuna miradi mikubwa ya barabara, maji, stand zinajengwa. Nina uhakika lazima atafika kuja kuzindua. Kuna barabara ya kutoka Rukwa kwenda Katavi, kutoka Katavi kwenda Kigoma, kutoka Katavi kwenda Tabora, kutoka Tabora Kigoma, kutoka Tabora Dodoma, kutoka Kigoma kwenda nyakanazi hadi Rusumo then geita. Miradi yote hii iko katika hatua mbalimbali. So atakuja kuzindua. So mkae mkao wa kula atakaa nanyi hadi mmchoke. Coz anapenda sana kutembea kwa barabara ili kujionea ubora wa barabara zenyewe. Ndo maana Katavi kabadili mkuu wa mkoa ambaye ni mfuatiliaji ili kuendana na kasi. Ambaye ni Mheshimiwa Homera.

So kuweni na subira.

Mikoa yote hiyo hajafika niliyoitaja. Na lazima atafika. Kigoma ameshafika bado Rukwa, Katavi na Tabora.
Safi sana mkuu kidogo ww umetoa matumaini ahsant sana
 
Back
Top Bottom