Rais Magufuli tambua kwamba huwezi maliza rushwa Tanzania Jitafakari unaharibu

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Kama miongoni mwa watanzania siwezi kukubaliana na huyu rais mkurupukaji mwenye nongwa,kauli mbaya na masimango dhidi ya wananchi na watumishi.

Magufuli umeropoka kwamba huongezi mishahara kwa watumishi wa Umma hadi pale uzalishaji utakapoongezeka. Hapo ujue unakaribisha rushwa na wananchi wako ambao wanategemea Huduma za watumishi wa umma wanazidi kuteseka.

Unajipambanua kwamba umechaguliwa na wanyonge ili uwatumikie je hao watumishi wa Umma sio wanyonge? Kumbuka hawa unaowadharau na kuwakejeli ndo waliokupa kura.

Magufuli wewe umezuia ajira kwa vijana,hutaki kupandisha mishahara kwa watumishi wa Umma. Kuzuia kwako ajira kwa vijana au kutoa ajira nusu nusu hiyo sio tija tambua Hawa vijana unaowasakama Leo ndio viongozi wa kesho.

Wewe mwenyewe unasema daily eti ulisukumizwa kuwa rais kwa hiyo ndo umeamua kutesa wananchi kisa kusukumizwa kwako? Kiukweli unaboa na kutuchefua watanzania wengi mno hasa vijana na wale wanaCCM Wenzako wanaojielewa.

Umefungua mahakama ya mafisadi hadi Leo hujapata watuhumiwa kwa sababu unajijua wee mwenyewe fisadi umeuza nyumba za serikali kwa bei chee,umesababisha madeni lukuki kwa nchi mfano nzuri ndege ya bombardier iliyoshikiliwa Canada ,jiulize kama alikopa JK kwa nini haikung'ang'aniwa kipindi chake !!? Hii ni kuonesha wewe pombe una matatizo jitafakari
Sitaki kuongea mengi ila sikupendi na unanichefua sana kwenye huu utawala wako,kuna mengi yamenikuta ndani ya utawala wako.

NB: Mimi sio mtuhumiwa wa vyeti feki wale 12 elfu
 
Kama miongoni mwa watanzania siwezi kukubaliana na huyu rais mkurupukaji mwenye nongwa,kauli mbaya na masimango dhidi ya wananchi na watumishi
Magufuli umeropoka kwamba huongezi mishahara kwa watumishi wa Umma hadi pale uzalishaji utakapoongezeka
Hapo ujue unakaribisha rushwa na wananchi wako ambao wanategemea Huduma za watumishi wa umma wanazidi kuteseka
Unajipambanua kwamba umechaguliwa na wanyonge ili uwatumikie je hao watumishi wa Umma sio wanyonge? Kumbuka hawa unaowadharau na kuwakejeli ndo waliokupa kura
Magufuli wewe una roho mbaya umezuia ajira kwa vijana,hutaki kupandisha mishahara kwa watumishi wa Umma,
Kuzuia kwako ajira kwa vijana au kutoa ajira nusu nusu hiyo sio tija tambua Hawa vijana unaowasakama Leo ndio viongozi wa kesho
Wewe mwenyewe unatokwa povu daily eti ulisukumizwa kuwa rais kwa hiyo ndo umeamua kutesa wananchi kisa kusukumizwa kwako?
Kiukweli unaboa na kutuchefua watanzania wengi mno hasa vijana na wale wanaCCM Wenzako wasiojielewa
Umefungua mahakama ya mafisadi hadi Leo hujapata watuhumiwa kwa sababu unajijua wee mwenyewe fisadi umeuza nyumba za serikali kwa bei chee,umesababisha madeni lukuki kwa nchi mfano nzuri ndege ya bombardier iliyoshikiliwa Canada ,jiulize kama alikopa JK kwa nini haikung'ang'aniwa kipindi chake !!? Hii ni kuonesha wewe pombe una matatizo jitafakari
Sitaki kuongea mengi ila sikupendi na unanichefua sana kwenye huu utawala wako,kuna mengi yamenikuta ndani ya utawala wako

NB: Mimi sio mtuhumiwa wa vyeti feki wale 12 elfu ambao pombe anawatolea povu wanamtukana
Mimi ni raia mwema ila simpendi huyu magufuli yafaa 2020 tumpige chini kabisa akakae kwao huko na roho yake mbaya
hilo povu lenu wanaCCM mkafulie chupi na wake waume zenu
Kumpinga tunaweza ila atapita kwa nguvu na rushwa juuu
 
Kama miongoni mwa watanzania siwezi kukubaliana na huyu rais mkurupukaji mwenye nongwa,kauli mbaya na masimango dhidi ya wananchi na watumishi
Magufuli umeropoka kwamba huongezi mishahara kwa watumishi wa Umma hadi pale uzalishaji utakapoongezeka
Hapo ujue unakaribisha rushwa na wananchi wako ambao wanategemea Huduma za watumishi wa umma wanazidi kuteseka
Unajipambanua kwamba umechaguliwa na wanyonge ili uwatumikie je hao watumishi wa Umma sio wanyonge? Kumbuka hawa unaowadharau na kuwakejeli ndo waliokupa kura
Magufuli wewe una roho mbaya umezuia ajira kwa vijana,hutaki kupandisha mishahara kwa watumishi wa Umma,
Kuzuia kwako ajira kwa vijana au kutoa ajira nusu nusu hiyo sio tija tambua Hawa vijana unaowasakama Leo ndio viongozi wa kesho
Wewe mwenyewe unatokwa povu daily eti ulisukumizwa kuwa rais kwa hiyo ndo umeamua kutesa wananchi kisa kusukumizwa kwako?
Kiukweli unaboa na kutuchefua watanzania wengi mno hasa vijana na wale wanaCCM Wenzako wanaojielewa

Where there Many People You Can Not Stop Stealing Instead Control
Read here>Kleptomania - causes, DSM, therapy, person, people, used, personality, theory, health
 
Usimpigie kura 2020, problem solved!
 
Mods kwa heshima ya hili jukwaa, watu wenye adabu, hekima, watu wenye akili timamu, viongizi, wanafunzi wanaopenda kujifunza kutoka kwetu sisi tuliostaraabika, waheshimiwa na ndugu wanajamii forum. Tunaomb huu Uzi uondolewe haraka Kwani unatushushia hadhi sisi kama wanajamii kwenye forum. Ahsanteni sana

Sent from my W3 using JamiiForums mobile app
 
Kama miongoni mwa watanzania siwezi kukubaliana na huyu rais mkurupukaji mwenye nongwa,kauli mbaya na masimango dhidi ya wananchi na watumishi.

Magufuli umeropoka kwamba huongezi mishahara kwa watumishi wa Umma hadi pale uzalishaji utakapoongezeka.

Hapo ujue unakaribisha rushwa na wananchi wako ambao wanategemea Huduma za watumishi wa umma wanazidi kuteseka.

Unajipambanua kwamba umechaguliwa na wanyonge ili uwatumikie je hao watumishi wa Umma sio wanyonge? Kumbuka hawa unaowadharau na kuwakejeli ndo waliokupa kura.

Magufuli wewe una roho mbaya umezuia ajira kwa vijana,hutaki kupandisha mishahara kwa watumishi wa Umma.

Kuzuia kwako ajira kwa vijana au kutoa ajira nusu nusu hiyo sio tija tambua Hawa vijana unaowasakama Leo ndio viongozi wa kesho.

Wewe mwenyewe unatokwa povu daily eti ulisukumizwa kuwa rais kwa hiyo ndo umeamua kutesa wananchi kisa kusukumizwa kwako?

Kiukweli unaboa na kutuchefua watanzania wengi mno hasa vijana na wale wanaCCM Wenzako wanaojielewa.

Umefungua mahakama ya mafisadi hadi Leo hujapata watuhumiwa kwa sababu unajijua wee mwenyewe fisadi umeuza nyumba za serikali kwa bei chee,umesababisha madeni lukuki kwa nchi mfano nzuri ndege ya bombardier iliyoshikiliwa Canada ,jiulize kama alikopa JK kwa nini haikung'ang'aniwa kipindi chake !!? Hii ni kuonesha wewe pombe una matatizo jitafakari
Sitaki kuongea mengi ila sikupendi na unanichefua sana kwenye huu utawala wako,kuna mengi yamenikuta ndani ya utawala wako.

NB: Mimi sio mtuhumiwa wa vyeti feki wale 12 elfu ambao pombe anawatolea povu wanamtukana.

Mimi ni raia mwema ila simpendi huyu magufuli yafaa 2020 tumpige chini kabisa akakae kwao huko na roho yake mbaya.

hilo povu lenu wanaCCM mkafulie chupi na wake waume zenu
Aiseeee
 
Mkuu nenda taratibu. Hasira ni hasara!
 
Huu uzi wa kikuda sana huu, kuanzia mtoa mada hadi wachangiaji wengi wameishia kutukanana tu, sasa namna hii kweli!:cool:
 
Back
Top Bottom