Rais Magufuli "Sugu oyeee, moyo wake ni kama CCM"

hapo tulia hajafurahi maana anatoa takrima nyingi Mbeya Mjini ili aupate ubunge Wa Mbeya Mjini 2020
 
m

Mimi nilitaka nikuamini kuwa katika takataka za Lumumba wewe uko reasonable and fact finding man, kumbe bure! Sasa hapo kuna safi sana ipi? Unafiki mtupu hapo? Unadhani sugu ni juha? Hajitambui? Sugu hajasahau kuwa kuwekwa kwake ndani ni amri ya huyu huyu mtu! Huyu ni Nyoka si wa kumwamini!
Sugu leo: Nakupenda Magufuli nakuunga mkono kwa 100%
 
Hahahaa......... Nakupenda Magufuli na nakuunga mkono kwa 100% by Sugu!
Siasa ya vyama vingi tulizikubali wakati akili zetu bado changa,ndo maana Kama taifa tunashughulika na petty issue Kama hizi.sasa sijui wewe ulitarajia aseme vipi na je ni issue gani ilikuwa inaongelewa hapo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom