Rais Magufuli "Sugu oyeee, moyo wake ni kama CCM"

Hizo ndo siasa lakini isiwe ni sababu ya kuona jamaa bado ana nguvu sana ndo kaamua hivyo,Sugu amwachie tu mungu waty wake waliamua kumweka ndani miezi yote ile leo anacheka nae sema watu wanasamee sijui kama yeye anaweza,Mungu anazidi kuonyesha ukuu wake
 
Sugu anaifanya serikali na bunge "Tulia" kutolala.. Wanalisaka hilo jimbo kwa udi na uvumba.
Eti maendelo hayana chama, sasa hizo sarakasi kuhusu sugu sinatoka wapi, wakati maendeleo sugu anayaleta. Kama hayana chama kwanini wanalitamani sana hilo jimbo?

Sugu oyeeeee. ✌️
 
Hawezi hana moyo huo alishasema
 
Siku nyingne usije fanya hvyo, just be indepependent,kwa nn nasema hvyo,hapo naona kama kampa adhabu ya kupanda ngaz ya kwene gar il ampe mkono au mike, so next time he should follow since u are at ur home and he has to bring hs microphone to u and not to follow hm! Finally Sugu u have to show your stance on political believe and wch party has risen to be there not like Mwita Waitara who hypocricy and betrayal
 
Sugu anaifanya serikali na bunge "Tulia" kutolala.. Wanalisaka hilo jimbo kwa udi na uvumba.
Eti maendelo hayana chama, sasa hizo sarakasi kuhusu sugu sinatoka wapi, wakati maendeleo sugu anayaleta. Kama hayana chama kwanini wanalitamani sana hilo jimbo?

Sugu oyeeeee.
Ndimi mbili hawa watu
 
English ina matege sana, rudi kwny kiswahili kumenoga
siku nyingne usije fanya hvyo, just be indepependent,kwa nn nasema hvyo,hapo naona kama kampa adhabu ya kupanda ngaz ya kwene gar il ampe mkono au mike, so next time he should follow since u are at ur home and he has to bring hs microphone to u and not to follow hm! Finally Sugu u have to show your stance on political believe and wch party has risen to be there not like Mwita Waitara who hypocricy and betrayal
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom