Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa!

Hayo ni maoni yako, wengine waliona nyerere, wengine mkapa na sasa kikwete, huyo jpm ni msukuma mwenzako lazma uandike ujinga ili akukumbuke
Kama MEKO hakumkumbuka 2015 anaanzae 2020 hii. huyu atabakia humuhumu JF tunae mpaka kakake anamaliza UTOPOLO wake 25
 
Wanabodi

Kwanza tukubalieni, hakuna mkamilifu isipokuwa Mungu pekee na malaika wake!. Pili Rais Magufuli ni binadamu, na sio malaika, hivyo pia sio mkamilifu!, hivyo pamoja na madhaifu yake yote ya kibinadamu, kama binaadamu mwingine yoyote, anaweza kufanya makosa ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, ambayo rais Magufuli na serikali yake wanaweza kuwa wametenda, kwa mawazo, kwa maneno, kwa matendo, au kwa kutokutimiza wajibu wao, lakini kwa mazuri na mema ambayo Rais Magufuli na serikali yake, wanayatenda kwa taifa hili, hata yale mabaya na maovu yaliyostahili adhabu kali ya karma, hiyo karma inakuwa reversed kwa mema makubwa zaidi kuliko ule ubaya au uovu, hivyo
nasema kiukweli kabisa kutoka ndani ya nafsi yangu na kwa dhati ya moyo wangu kuwa, pamoja na yote yanayolalamikiwa, lakini bado rais Magufuli na serikali yake, watabarikiwa kwa mema yao wanayolitendea taifa hili, na hata kama kuna uovu, maana yeye sio malaika, uovu huo unaweza kufunikwa na mema yakizidi huo uovu!.

Mungu mbariki Magufuli, Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Wanabodi, mimi ni miongoni mwa wana jf, tuliandika mengi kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo kipindi hiki cha maombolezo, napitia baadhi ya mabandiko kwa ajili ya kumuaga rasmi.

Japo umetangulia, lakini kauli zako, maono yako na kile ulichokiamini, kitabaki na sisi Milele.
Sisi tulikupenda, lakini Mungu amekupenda zaidi.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele, Umuangazie, Apumzike kwa Amani...Amina x3.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Buriani ya kuonana...
Paskali

Mzee utakuwepo kwenye mazishi leo jioni? Pole sana kwa kuondokewa na Jemedari wako ambaye hukuogopa kumchallenge kwa swali gumu pale Ikulu siku ile mliyo alikwa, lakini pia kwa mabandiko mbalimbali hapa jukwaani.
 
hayo
Wanabodi, mimi ni miongoni mwa wana jf, tuliandika mengi kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo kipindi hiki cha maombolezo, napitia baadhi ya mabandiko kwa ajili ya kumuaga rasmi.

Japo umetangulia, lakini kauli zako, maono yako na kile ulichokiamini, kitabaki na sisi Milele.
Sisi tulikupenda, lakini Mungu amekupenda zaidi.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele, Umuangazie, Apumzike kwa Amani...Amina x3.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Buriani ya kuonana...
Paskali
Wanabodi, mimi ni miongoni mwa wana jf, tuliandika mengi kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo kipindi hiki cha maombolezo, napitia baadhi ya mabandiko kwa ajili ya kumuaga rasmi.

Japo umetangulia, lakini kauli zako, maono yako na kile ulichokiamini, kitabaki na sisi Milele.
Sisi tulikupenda, lakini Mungu amekupenda zaidi.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele, Umuangazie, Apumzike kwa Amani...Amina x3.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Buriani ya kuonana...
Paskali
Hayo ni mawazo yako. Kwa mtazamo wangu he was the worst president this country has ever had. Alikuwa na ubaguzi mkubwa wa kiitikadi. Kauli kama ":Nimekuteua, nakulipa mshahara, nakupa gari halafu utangaze kuwa mpinzani ameshinda...." au " nyie watu wa ........ mmejichanganya sana kwa kuchagua wapinzani. Siwezi kuwaletea barabara...." au " .... mkichagua mpinzani (kwa uchaguzi wa 2020) mtaishi kwa taabu kwa miaka 5 ijayo......" Hatujawahi kuwa na Rais mbaguzi kama huyu. Mungu atusaidie tusipate kama huyu tena.
 
Wanabodi

ANGALIZO:

Naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo, kuna watu humu wana allergy kila rais Magufuli akisifiwa na kupongezwa kila ananapofanya jambo zuri, au jambo jema lolote, wao wanakasirika, hivyo rais Magufuli akipongezwa kwa mazuri yoyote au mafanikio yoyote, wao wananuna, wanaumia, wanakasirika na kubeza kwa sababu wanatamani rais Magufuli na serikali yake, ashindwe ili wakosoe, wabeze na kutukana. Ukimpongeza tuu rais Magufuli kwa lolote, utawasikia kuwa huku sii kupongeza bali ni kujipendekeza, kujikomba kuusaka uteuzi, u-DC, au kusaka shavu au mara hizi ni njaa tuu za jina la Mayalla!!. Kama wewe ni mtu wa kundi hili, nakuomba uishie hapa ili nisije kukuharibia siku yako ya Jumapili ya leo na kuianza Jumatatu ya kesho kwa kisirani.

Pongezi za Kweli na za Dhati.
Kiukweli tunapompongeza rais wetu Magufuli, sio wote ni praise team, ndio maana pongezi zetu ni pale anapofanya mambo mazuri, ni pongezi genuine sio za kujikomba au kufukuzia uteuzi, mtu anayesaka uteuzi kazi yake itakuwa ni kupongeza tuu, lakini mimi napongeza kwa mazuri na kwenye mabaya nakosoa.

Kwanza tukubalieni, hakuna mkamilifu isipokuwa Mungu pekee na malaika wake!. Pili Rais Magufuli ni binadamu, na sio malaika, hivyo pia sio mkamilifu!, hivyo pamoja na madhaifu yake yote ya kibinadamu, kama binaadamu mwingine yoyote, anaweza kufanya makosa ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, ambayo rais Magufuli na serikali yake wanaweza kuwa wametenda, kwa mawazo, kwa maneno, kwa matendo, au kwa kutokutimiza wajibu wao, lakini kwa mazuri na mema ambayo Rais Magufuli na serikali yake, wanayatenda kwa taifa hili, hata yale mabaya na maovu yaliyostahili adhabu kali ya karma, hiyo karma inakuwa reversed kwa mema makubwa zaidi kuliko ule ubaya au uovu, hivyo
nasema kiukweli kabisa kutoka ndani ya nafsi yangu na kwa dhati ya moyo wangu kuwa, pamoja na yote yanayolalamikiwa, lakini bado rais Magufuli na serikali yake, watabarikiwa kwa mema yao wanayolitendea taifa hili, na hata kama kuna uovu, maana yeye sio malaika, uovu huo unaweza kufunikwa na mema yakizidi huo uovu!.

Trends readings zangu zinanielekeza kuwa rais Magufuli, so far, so good, might end up being one the best presidents this country has ever had, save for Baba wa Taifa kutupatia uhuru!. Rais Magufuli ni msikivu sana, ana upendo sana wa kweli, upendo wa dhati, upendo wa ajabu. Ni mtu mwema, mwenye huruma sana, huruma ya kweli na huruma ya ajabu, japo sio kwa wote!, hivyo akiendelea hivi, atabarikiwa sana na Mungu!, Tanzania itabarikiwa!.

Mungu Mbariki Rais Wetu Dr John Pombe Joseph Magufuli. Mungu Ibariki Tanzania,
karibu bandiko hili.

Kwanza msikilize Rais Magufuli hapa

Kisha anzia hapa

Bandiko hili ni la Septemba 4, 2018.
Ili kuwasaidia wavivu wa kusoma links, nawawekea na specific quote

Kisha tembeleeni bandiko hili
Bandiko hili ni la 18 September 2019.

Kwa faida ya wengine ambao hawawezi kusoma links, nakuwekea quote yenyewe

Baada ya hizo quotes mbili, Wakuu Wanabodi wenzangu , naomba uzisome kwa makini hizo quotes
Tukiwaambia rais Magufuli ni mtu msikivu, mwenye huruma, upendo wa kweli na upendo wa dhati, kuna watu humu walikuwa hawaamini.

Naamini by now wengi mmeishasikia rais Magufuli ametangaza nini.

Kiukweli kwa tangazo hili, rais Magufuli atabarikiwa sana, na Tanzania pia itabarikiwa, amini usiamini, this man might end up being one the best president this country has ever had, iwapo tukimpa kipindi cha pili, na akaamua kutuletea katiba mpya na kuisuka upya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa Tume huru zaidi na inclusive.

Hongera sana rais wetu Magufuli, you are changing for the better!.
Big up! and God bless you.

Viva Magufuli!.
Viva Tanzania!,
Mungu mbariki Magufuli, Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.

Double Agent umepotea...
Haya sasa, amekufa Jiwe labda utarudi kwenye shughuli zako za misheni town Samora Ave
Milango itafunguka....
 
Nadhan Wana CCM Kuna Jambo la kujifunza hapa, mnapochagua mtu wa kumpa kiti Cha Uraisi, zingatieni utashi wa mtu mwenyewe, sio kuleta mtu anayesimamia misimamo yake hata Kama haina tija, sio kuteuwa mtu ambaye atakomoa upande wa pili wa Vyama pinzani nakati wote ni wanadamu safar yetu ni moja.
Pamoja na yote, kama Mungu asingemtwaa JPM, jee unajua angefika 2025, angekuwa the best president this nation had ever had, angetuachia katiba mpya!.
Nisome hapa

Kiukweli kwa tangazo hili, rais Magufuli atabarikiwa sana, na Tanzania pia itabarikiwa, amini usiamini, this man might end up being one the best president this country has ever had, iwapo tukimpa kipindi cha pili, na akaamua kutuletea katiba mpya na kuisuka upya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa Tume huru zaidi na inclusive.

Hongera sana rais wetu Magufuli, you are changing for the better!.
Big up! and God bless you.

Viva Magufuli!.
Viva Tanzania!,
Mungu mbariki Magufuli, Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.

P
 
Hebu acha unafiki Pascal Mayalla . Katiba ipi na Maghufuli yupi ?!

Mtu wa kuleta katiba mpya hawezi kupora uchaguzi wote .
 
Pamoja na yote, kama Mungu asingemtwaa JPM, jee unajua angefika 2025, angekuwa the best president this nation had ever had, angetuachia katiba mpya!.
Nisome hapa

P
:D:D:D:D
Ndugu kwa kuondokewa na huyo mpendwa wako. mie sina machozi kabisa, hata ya kukamua.
AMEN
 
Pamoja na yote, kama Mungu asingemtwaa JPM, jee unajua angefika 2025, angekuwa the best president this nation had ever had, angetuachia katiba mpya!.
Nisome hapa

P
Hivi pasco ni umri umeenda ama una shida gani humo kichwani?
 
Wanabodi

ANGALIZO:

Naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo, kuna watu humu wana allergy kila rais Magufuli akisifiwa na kupongezwa kila ananapofanya jambo zuri, au jambo jema lolote, wao wanakasirika, hivyo rais Magufuli akipongezwa kwa mazuri yoyote au mafanikio yoyote, wao wananuna, wanaumia, wanakasirika na kubeza kwa sababu wanatamani rais Magufuli na serikali yake, ashindwe ili wakosoe, wabeze na kutukana. Ukimpongeza tuu rais Magufuli kwa lolote, utawasikia kuwa huku sii kupongeza bali ni kujipendekeza, kujikomba kuusaka uteuzi, u-DC, au kusaka shavu au mara hizi ni njaa tuu za jina la Mayalla!!. Kama wewe ni mtu wa kundi hili, nakuomba uishie hapa ili nisije kukuharibia siku yako ya Jumapili ya leo na kuianza Jumatatu ya kesho kwa kisirani.

Pongezi za Kweli na za Dhati.
Kiukweli tunapompongeza rais wetu Magufuli, sio wote ni praise team, ndio maana pongezi zetu ni pale anapofanya mambo mazuri, ni pongezi genuine sio za kujikomba au kufukuzia uteuzi, mtu anayesaka uteuzi kazi yake itakuwa ni kupongeza tuu, lakini mimi napongeza kwa mazuri na kwenye mabaya nakosoa.

Kwanza tukubalieni, hakuna mkamilifu isipokuwa Mungu pekee na malaika wake!. Pili Rais Magufuli ni binadamu, na sio malaika, hivyo pia sio mkamilifu!, hivyo pamoja na madhaifu yake yote ya kibinadamu, kama binaadamu mwingine yoyote, anaweza kufanya makosa ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, ambayo rais Magufuli na serikali yake wanaweza kuwa wametenda, kwa mawazo, kwa maneno, kwa matendo, au kwa kutokutimiza wajibu wao, lakini kwa mazuri na mema ambayo Rais Magufuli na serikali yake, wanayatenda kwa taifa hili, hata yale mabaya na maovu yaliyostahili adhabu kali ya karma, hiyo karma inakuwa reversed kwa mema makubwa zaidi kuliko ule ubaya au uovu, hivyo
nasema kiukweli kabisa kutoka ndani ya nafsi yangu na kwa dhati ya moyo wangu kuwa, pamoja na yote yanayolalamikiwa, lakini bado rais Magufuli na serikali yake, watabarikiwa kwa mema yao wanayolitendea taifa hili, na hata kama kuna uovu, maana yeye sio malaika, uovu huo unaweza kufunikwa na mema yakizidi huo uovu!.

Trends readings zangu zinanielekeza kuwa rais Magufuli, so far, so good, might end up being one the best presidents this country has ever had, save for Baba wa Taifa kutupatia uhuru!. Rais Magufuli ni msikivu sana, ana upendo sana wa kweli, upendo wa dhati, upendo wa ajabu. Ni mtu mwema, mwenye huruma sana, huruma ya kweli na huruma ya ajabu, japo sio kwa wote!, hivyo akiendelea hivi, atabarikiwa sana na Mungu!, Tanzania itabarikiwa!.

Mungu Mbariki Rais Wetu Dr John Pombe Joseph Magufuli. Mungu Ibariki Tanzania,
karibu bandiko hili.

Kwanza msikilize Rais Magufuli hapa

Kisha anzia hapa

Bandiko hili ni la Septemba 4, 2018.
Ili kuwasaidia wavivu wa kusoma links, nawawekea na specific quote

Kisha tembeleeni bandiko hili
Bandiko hili ni la 18 September 2019.

Kwa faida ya wengine ambao hawawezi kusoma links, nakuwekea quote yenyewe

Baada ya hizo quotes mbili, Wakuu Wanabodi wenzangu , naomba uzisome kwa makini hizo quotes
Tukiwaambia rais Magufuli ni mtu msikivu, mwenye huruma, upendo wa kweli na upendo wa dhati, kuna watu humu walikuwa hawaamini.

Naamini by now wengi mmeishasikia rais Magufuli ametangaza nini.

Kiukweli kwa tangazo hili, rais Magufuli atabarikiwa sana, na Tanzania pia itabarikiwa, amini usiamini, this man might end up being one the best president this country has ever had, iwapo tukimpa kipindi cha pili, na akaamua kutuletea katiba mpya na kuisuka upya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa Tume huru zaidi na inclusive.

Hongera sana rais wetu Magufuli, you are changing for the better!.
Big up! and God bless you.

Viva Magufuli!.
Viva Tanzania!,
Mungu mbariki Magufuli, Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.

Wewe kweli ni "Journalist... "

Maana unaichambua habari na viambatanisho vyake hata kama ni ya kipropaganda ya kuwanasa wasiotafakari vyema kilicho ndani ya maandiko yako...!!

Hongera, you are truly a Journalist..

Tatizo lako ni moja tu, una ushirika na ma - CCM ambalo ndilo tatizo la Tanzania yetu ya leo....!!
 
Pamoja na yote, kama Mungu asingemtwaa JPM, jee unajua angefika 2025, angekuwa the best president this nation had ever had, angetuachia katiba mpya!.
Nisome hapa

P
This is a joke Mr Paschal...

How Can Jiwe be the best president ever in our country??

By muzzling dissent...?

Banning opposition rallies hence created unequal political ground??

Revoking NGO's licences??

And mostly by on how he downayed the pandemic???

How can Jiwe make a good president as far as i am a concerned Citizen of the URT i can imagine the political tantrum he created by misusing the public funds in forming useless initiatives such as MATAGA Project who acted as the praise team for him..

A bunch of lunatics who where cheering the despotic regime to secure their basic necessities...

I can't imagine how the national debt began skyrocketing since his first term...

I can see now you are losing! This is too low from you
 
Duuh..
vipi Total na vi ads ulivyokuwa una tupia Linkedin...au?
Ungeanzishaga blogu yako kama MICHUZI miaka ile......ungekuwa unaokoteza za vijitangazo na clickbait
Hivi ulikosaje uteuzi kwa Mwendazake??
 
Wanabodi

Trends readings zangu zinanielekeza kuwa rais Magufuli, so far, so good, might end up being one the best presidents this country has ever had, save for Baba wa Taifa kutupatia uhuru!. Rais Magufuli ni msikivu sana, ana upendo sana wa kweli, upendo wa dhati, upendo wa ajabu. Ni mtu mwema, mwenye huruma sana, huruma ya kweli na huruma ya ajabu, japo sio kwa wote!, hivyo akiendelea hivi, atabarikiwa sana na Mungu!, Tanzania itabarikiwa!.

amini usiamini, this man might end up being one the best president this country has ever had, iwapo tukimpa kipindi cha pili, na akaamua kutuletea katiba mpya na kuisuka upya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa Tume huru zaidi na inclusive.
Paskali.
Wanabodi, nilipoyasema haya mlinibeza sana!. Leo nimesoma bandiko hili Swali Fyatu la Mwezi: Wakimpa Sifa Zake, Watapunguza za Kwao?
Na. M. M. Mwanakijiji

Jina la Joseph Pombe Magufuli, kinara wa marais wote waliowahi kutokea Tanzania, shujaa wa uthubutu, na mbunifu wa maono ya maendeleo ya haraka lilitajwa kana

Niandikie:klhnews@gmail.com
Nimeupenda na kufarijika sana na huo mstari, nitakuandikia.
Miongoni mwa makala ninazo zimisi kwenye local media yetu ni gazeti la Cheche, na makala za MM Mwanakijiji na Lula wa Ndali Mwananzela.

Hivyo hoja za bandiko hili are still valid!.
Wale mnaoo beza, sii ruksa kuendelea kubeza mtu ambaye hawezi kujitetea!.

Asante sana Mkuu Mzee Mwanakijiji

P
 
Alafu utakuta miongoni ya wanaobeza wanapiga picha na Ile dreamline kule uarabuni ukweli ni kwamba magufuli ni zaidi ya Marais wote waliowahi kupatikana nchi hii
 
Katika kulazimisha kumkumbuka mwenda zake, tukunbushanebttukio la kukumbwa na moshi kule kusini, ali "recover" baada ya pale au ndiyo ilikuwa "chalega"?
 
Back
Top Bottom