MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,466
- 20,212
Huyu dogo aliposhindwa uchaguzi alitua mzigo mkubwa sana,sasa hivi hana hofu tena ya kukatwa mil 1 kila mwezi kwenda kwenye maendeleo Hai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi nyie vijana Mr Slowly anawatoa kijijin wapi mana hizi ni akili za walevi wa pombe za kienyeji.Huyu dogo aliposhindwa uchaguzi alitua mzigo mkubwa sana,sasa hivi hana hofu tena ya kukatwa mil 1 kila mwezi kwenda kwenye maendeleo Hai
Huo ushauri hataki kuusikia japokuwa hilo lingempatia credentials he wanted so much,but he dont have such guts apart from it being what is needed be done.Kwako Rais wetu mpendwa, tunajua kazi unayoifanya na malengo yako makubwa katika kuendeleza nchi yetu, pamoja na jitahada zote unazozifanya nipende kukuambia tu unakata matawi ukiondoka yataota tena na hali itarudi palepale, nikuombe tu kabla hujaondoka tuachie katiba ya Warioba ili tuwajibishane sisi wenyewe na hii itasaidia kuongeza ukweli , uwazi na uwajibikaji, Aksante.
Upo sawa kabisa kupata wasiwasi kwa sababu hatuna dira kama Taifa.Kila anayepata Urais hata akifanya madudu utaambiwa anatekeleza ilani.Reason behind is that party manifesto can easly be maipulated.That is why they can't afford New Constitution.Inanipa wasi wasi mkuubwa na mwenendo chama tawala wa kila ajae ankuwa na sera yake binafsi na kuanzisha prgram mpya na kuziacha zile za mwenzake alietangulia.
HI KWELI CCM INA DIRA?
Kama Taifa,eti kila raisi hudai kuwa anatekeleza ilani ya chama ,Inakuwaje chama hiki kila siku kinatowa ilani Inayokinzna na iliyotangulia, HII NDIO DIRA?
Ni mamilioni ya shilling yalipotea kuanzisha mchakatohuu,Hivi Magufuli Ni mwana CCM kweli? na hili la katiba lilikuwemo kwenye ilani ya kikwete, leo yeye anasema katiba si kipa umbele chake Inasomekaje hapa?
Miminawashuku hawa CCM ,huenda wanapinduana ndani kwa ndani,na wanapingana chini kwa chini,hi kweli Taifa hili Litafika safari yake?
MWISHO NAPENDA KUWEKA WAZI NI NANI ANAYESTAHIKI KUSEMA HIVYO SIVYO ENDAPO MKUU ANAKWENDA APENDAVYO?
WASALAM
Yani mzee kama ulikua unanisoma akili yangu vile. Baada ya miaka hii minne raisi wetu kukaa madarakani ningetetemea kwamba mpaka sasa angejua chamgamoto kubwa iliofanya taifa letu kupanda na kuwa hapa lilipo.Kwako Rais wetu mpendwa, tunajua kazi unayoifanya na malengo yako makubwa katika kuendeleza nchi yetu, pamoja na jitahada zote unazozifanya nipende kukuambia tu unakata matawi ukiondoka yataota tena na hali itarudi palepale, nikuombe tu kabla hujaondoka tuachie katiba ya Warioba ili tuwajibishane sisi wenyewe na hii itasaidia kuongeza ukweli , uwazi na uwajibikaji, Aksante.
Kwako Rais wetu mpendwa, tunajua kazi unayoifanya na malengo yako makubwa katika kuendeleza nchi yetu, pamoja na jitahada zote unazozifanya nipende kukuambia tu unakata matawi ukiondoka yataota tena na hali itarudi palepale, nikuombe tu kabla hujaondoka tuachie katiba ya Warioba ili tuwajibishane sisi wenyewe na hii itasaidia kuongeza ukweli , uwazi na uwajibikaji, Aksante.
Sasa Kama kiongozi mwenyewe wa Bunge amelala usingizi wa pono akiamka na kusifu kwa mapambio asiyojua beat zake.Unategemea Jiwe afanyaje?Magufuli kweli ni Mtawala asiye na DIRA wala UTASHI wa kuongoza nji hii...!!! Huyu jamaa Ni sawa na mvuta bhang tu. Hivi unasemaje "SITATENGA FEDHA YA KATIBA MPYA" kisa ATI watu wataenda kula pesa ya posho....ebho??
Hivi Magufuli hajui kuwa hiyo Fedha ni KODI ZETU? Yeye Nnani anayepanga bajeti na matumizi ya nchi? BAJETI hupangwa na BUNGE LA BAJETI siyo Rais.
Magifuli lazima afundishwe namna ya kuheshimu UTAWALA WA SHERIA.....!!!
Katiba inampa nguvu na uwezo wa kuamua chochote kwa masilahi mapana ya nchiMagufuli kweli ni Mtawala asiye na DIRA wala UTASHI wa kuongoza nji hii...!!! Huyu jamaa Ni sawa na mvuta bhang tu. Hivi unasemaje "SITATENGA FEDHA YA KATIBA MPYA" kisa ATI watu wataenda kula pesa ya posho....ebho??
Hivi Magufuli hajui kuwa hiyo Fedha ni KODI ZETU? Yeye Nnani anayepanga bajeti na matumizi ya nchi? BAJETI hupangwa na BUNGE LA BAJETI siyo Rais.
Magifuli lazima afundishwe namna ya kuheshimu UTAWALA WA SHERIA.....!!!
Hatuko kutetea ujinga hapa...!Sasa Kama kiongozi mwenyewe wa Bunge amelala usingizi wa pono akiamka na kusifu kwa mapambio asiyojua beat zake.Unategemea Jiwe afanyaje?