Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

Ameyasema hayo leo akiwa Bagamoyo kwenye uzinduzi wa barabara.

"Kwenye utawala wangu siko tayari kuruhusu ujinga kama huu, kama wanaona inafaa basi wafungue shule za wazazi ili huku wakiendelea na masomo waendelee kunyonyesha watoto wao."

Ameongeza kuwa hizo NGOs ndio zimeleta mambo ya ajabu ajabu hadi wanaume kwa wanaume kuingiliana, wanawake kwa wanawake kuingiliana.

"Hata wanyama hawafanyi hivyo mbuzi Ng'ombe huwezi kuwaona wakikosea ile sehemu...Wachungaji si mpo hapa mmewahi kuwaona mbuzi wakikosea au ng'ombe wakikosea"....aliongeza Magufuli.
Duh! Mkuu katema cheche za maana. Kwa namna yoyote ile kama kuna mtoto alishaanza kufurahi kudonolewa amenywea. Safi!
 
Sometimes mwanamke kabakwa wengine ni mazingira magum ndo yanawapelekea kuingia kwenye vishawish
 
ni kweli haya maneno yametoka kwenye mdomo wa my president?yeye ni nani anayeweza kuhukumu ?
 
Back
Top Bottom