Rais MAGUFULI sikiliza Mbunge na waziri wako anachokisema kuhusu TISS

Maisha bwana sio mchezo. Sasa hao TISS waliomtekaga Bashe wamegeuka kuwa walinzi wake.
Wale TISS waliokuwa wanafatilia simu za Makamba na Nape sasa hivi hawana kazi wanasoma tu files ofisini.

SIASA NI SAYANSI TISS JIKITENI KWENYE UJASUSI WA KIUCHUMI TUTOKE KWENYE UMASKINI.

HIVI LEO HAO CHADEMA WOTE WAKIRUDI CCM TISS MTAFANYA KAZI GANI???!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa watatekana wao kwa wao
 
Hahahahahaaaaa,Bashe hawezi kuyasema tena hayo!Ashapewa tonge basi anakula buyu!
Sasa aseme tena ya nini? Ujumbe umefika,nashukuru nafasi aliyoteuliwa, imesaidia serikali kutoingilia bei ya mazao, naamini anashauri vizuri, kuliko wakimwacha yule Asunga naamini shida ingongezeka!
Nasubiri wasizuie mazao kwenda nje tu, itakuwa poa!
 
Back
Top Bottom