Siyo kwamba anakipenda kiswahili. Baada ya kuona cha malkia hakipandi akaamua kujifanya anakipenda Sana kiswahili kama chaka la kufichia udhaifu wake.Anapenda kiswahili sema lafudhi yake ya Kisukuma ndio inamwangusha.

Hilo halina ubishi Mkuu. Funika kombe mwanaharam apite.Siyo kwamba anakipenda kiswahili. Baada ya kuona cha malkia hakipandi akaamua kujifanya anakipenda Sana kiswahili kama chaka la kufichia udhaifu wake.
Rejea maelezo ya uzi
Nimependa sana anavyojiamini, hata akiwa na mgeni badala ya kuwa mtumwa wa lugha amekuwa shujaa wetu.
Salamu zimfikie prof Ndalichako, kile kiingereza cha kumhoji mkarandarasi kilitudhalilisha sana.Sitaki kuongea mengi ila toka ameingia 2015 mpaka kufikia hotuba yake ya jana ni dhahiri huyu mzee amekuza Kiswahili sana.
Nimependa sana anavyojiamini, hata akiwa na mgeni badala ya kuwa mtumwa wa lugha amekuwa shujaa wetu.
Tumpongeze kwa hilo tafadhali. Zamani, Watanzania wengi walifichwa mambo mengi kwenye lugha ya Kiingereza. Mf. Ukienda ofisi ya uma kueleza shida yako unaweza jibiwa kwa neno ambalo hulielewi na hapo hutakiwa na cha kuuliza tena.
Vivyo hivyo unakuta mtumishi wa serikali anazungumzia jambo basi kingereza 60% na Kiswahili 40%
Hata mahakamani sasa itakuwa Kiswahili hili jambo jema.