comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dr John Magufuli amesema baada ya malalamiko mengi kutoka kwa wawakilishi wa wafanyakazi kuhusu athari zuio la fao la kujitoa kwa watumishi wa umma, Aidha Dr Magufuli amesema ameona hilo litaleta athari kwa wastaafu kuhangaika kusubiri hadi kufikisha miaka 55 hadi 60 ndipo walipwe mafao yao kutoka mifuko ya pensheni serikali sasa inaandaa bima ya ajira ambayo itawalipa watumishi haraka punde anapostaafu badala ya kuzunguushwa na mifuko ya pensheni.Vilevile serikali inapitia upya sheria za ukokotoaji wa mafao ya wastaafu maana taratibu hizo zinapishana kutoka mfuko moja hadi mwingine
TBC
TBC