Rais Magufuli ripoti za CAG zifanyiwe kazi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,584
Mkiweza ifanyia kazi hizi mtajua mapema nani wakuondoà nani wa kubaki.
Si hivyo tu hata wao nao wasiamamiwe na TAKUKURU wakiwa wanafanya ukaguzi nao ni binadamu wana roho pia.

Tunaomba na ripoti zijazo zisimamiwe zifanyiwe kazi. Haya majipu unayoyaona leo hii in majipu yaliokuwepo kwenye serikali iliopita ambayo ukiangalia leo yanatumbuka sababu mtu mmoja akufanya nafasi yake.

My raising hawa jamaa waheshimiwe na wasimamiwe pia tunahitaji Tanzania mpya.Nani Anakumbuka kamati ya Mrema imeenda Tanga imekutana na wizi wa million sijui 300+ wale jamaa walihamishiwa sasa unabebaje dhambi kama hii ya kuhamisha.

Tubadilike hon. president na wa kutubadilisha ni wewe tu tumbua uwezavyo toa na usiache usaha yanarudi hayo.
 
Back
Top Bottom