Rais Magufuli punguza upole kidogo

Kawe Alumni

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
8,685
11,988
Bado hujagusa vile vitu nyeti mzee wetu tunataka walioiba mali ya umma wazirudishe mapema sana

Tunataka hii Nchi iwe ya watu wote na sio kikundi cha watu wachache

Sisi tuliopo huku vijijini tunataka lami umeme,maji,shule na zahanati zifike kila kijiji hatutaki milion 50 zitasababisha tulogane tu

Usiogope raia sisi wananchi tunajivunia wewe tutakulinda usiku na mchana

Halafu nimesikia kuna wazee wanakutukana hao waitwe Kwenye chama wapewe adhabu Kali iwe fundisho kwa wengine

Punguza upole mzee mafisadi yarudishe mali yalizopora kuanzia mali za chama mpaka za umma

Ni mimi mkulima wa korosho toka kusini
 
Toka asubuhi ndio umewaza utumbo huu usio na ndizi 😂, infact nikwamba hata ukioa mwanamke ukampaa kila kitu haimzui kukwambia unajikojolea maana yeye ndiye anayehusika ktk hayo. Hata wakiloni walijenga reli,barabara,hospital n.k,ila babu zetu bado wakitaka kuwa huru.

Tunahitaji uhuru wakujieleza na kuhoji juu ya Nchi yetu, hivi vinavyofanyika ni kodi zetu na sio PESA za mtu!.
 
Ni kweli mkuu vijiji huko hali ya barabara ni mbaya sana hazipitiki hasa kipindi cha mvua na huko ndipo uzalishaji mkubwa ulipo maana viwanda vilivyopo mjiini hutegeme malighafi kutoka vijijini.

Ila naimani na JPM anaweza kupiga lami barabara zote zinazounganisha wilaya na kata kwa kiwango cha lami na kiwango cha changarawe barabara zote za vijiji hili litawezekana tumuombe kwa kwa Mungu atawale muda . Ikiwa ameweza kununua ndege, kujenga bawa la umeme kujenga reli ya kisasa na madaraja makubwa ndani ya muda mfupi miradi inayogharimu takribani trilion 15 zote fedha za ndani hawezi shindwa hili.
 
Bado hujagusa vile vitu nyeti mzee wetu tunataka walioiba mali ya umma wazirudishe mapema sana

Tunataka hii Nchi iwe ya watu wote na sio kikundi cha watu wachache

Sisi tuliopo huku vijijini tunataka lami umeme,maji,shule na zahanati zifike kila kijiji hatutaki milion 50 zitasababisha tulogane tu

Usiogope raia sisi wananchi tunajivunia wewe tutakulinda usiku na mchana

Halafu nimesikia kuna wazee wanakutukana hao waitwe Kwenye chama wapewe adhabu Kali iwe fundisho kwa wengine

Punguza upole mzee mafisadi yarudishe mali yalizopora kuanzia mali za chama mpaka za umma

Ni mimi mkulima wa korosho toka kusini

Who cares akiwa mkali au mpole!??

Tunachotaka ni good decision making!

Ukali au upole ni yeye na mkewe huko nyumbani kwake!
 
Toka asubuhi ndio umewaza utumbo huu usio na ndizi 😂, infact nikwamba hata ukioa mwanamke ukampaa kila kitu haimzui kukwambia unajikojolea maana yeye ndiye anayehusika ktk hayo. Hata wakiloni walijenga reli,barabara,hospital n.k,ila babu zetu bado wakitaka kuwa huru.

Tunahitaji uhuru wakujieleza na kuhoji juu ya Nchi yetu, hivi vinavyofanyika ni kodi zetu na sio PESA za mtu!.
Mbulula wee! Kodi zetu? Mbona miaka yoote havikufanyika? Vimefanyika kwa usimamizi mahiri was JPM na anastahili pongezi! Nenda kazungushe na kudeki lami CHADEMA wee! Nani kakukataza kujieleza na kutoa maoni badala yake mnatukana?
 
Bado hujagusa vile vitu nyeti mzee wetu tunataka walioiba mali ya umma wazirudishe mapema sana

Tunataka hii Nchi iwe ya watu wote na sio kikundi cha watu wachache

Sisi tuliopo huku vijijini tunataka lami umeme,maji,shule na zahanati zifike kila kijiji hatutaki milion 50 zitasababisha tulogane tu

Usiogope raia sisi wananchi tunajivunia wewe tutakulinda usiku na mchana

Halafu nimesikia kuna wazee wanakutukana hao waitwe Kwenye chama wapewe adhabu Kali iwe fundisho kwa wengine

Punguza upole mzee mafisadi yarudishe mali yalizopora kuanzia mali za chama mpaka za umma

Ni mimi mkulima wa korosho toka kusini
Mwambie aanze na fisadi papa Rostam yupo nae huko CCM napiga deal daily
 
Kumwita magufuli fisadi Ni kumvunjia heshima
Hizo ni propaganda zinaenezwa kumchafua Rais tu
Kwenye ufisadi hata yeye haponi, sio kwamba hataki kuchukua hatua, bali hata yeye ni mfaidika wa hilo shamba la bibi.
 
Back
Top Bottom