Rais Magufuli punguza mlundikano wa maofisa kwenye ofisi za halmashauri

ibesa mau

JF-Expert Member
Sep 17, 2015
2,109
1,697
Watu wamerundikana huku halmashauri hakuna kazi wanazofanya maofisini , washushwe chini wakahudumie wananchi wanyonge.
 
Back
Top Bottom