Rais Magufuli pitia upya mkataba wa KQ na Tanzania

Ni kwel lakin wanapeleka vitu vyao kisomi sio kama sisi wasomi wameweka akil zao kwenye vyet wanasifia ili wanufaishe matumbo yao na sio ya wanachi wanaowatumikia.
Hopeless kabisa una akili za kisaliti tu!
 
Wana uelewa wangeachia ardhi imilikiwe na familia chache?Watu zaidi ya Milioni wanaishi Kwa slums za kibera na mathare..uelewa wao umewasaidia nini?
Mkuu kwani hapa Tz ni watanzania wangapi wanamiliki ardhi?
 
Naona uzalendo unakua sana miongoni mwa asilimia kubwa ya vijana wa Tz...kudos!
Tanzania ikiguswa watu wanasahau tofauti zao wanaitetea kwanza.
Huo ndiyo ukweli were suppose to be proud TANZANIA ni yetu wenyewe
 
"SiSI" kwa sababu watanzania wote ni waoga. Haiwezekan katiba mara kibao inavurugwa na sisi wananchi tumekaa tu kimya. Kenya huo upuuz haupo. Sisi hadi mahakama inaingiliwa lakin tupo kimya kama mtungi wa maji. Mtu mmoja anaongoza nchi kama familia yake tupo tuu. Alaf unataka niseme ni mm na sio sisi.
Subiri tumalize kazi ya kuitetea Tanzania kwanza ndio uje na hizi hoja zako.

Tanzania ni zaidi ya kila kitu na kila mtu.
 
Inamaana miaka yote mitano alikuwa anafanya nini? Kwenye mikutano hakwenda hivyo alikuwa na muda wa kutosha kabisa
Unaumia sana ukiona hizo spana wanazopigwa hao bwana zako siyo?
 
Hahaha Magufuli huwa mnamnanga lkn linapokuja swala la kazi na utendaji ninyi wenyewe ndani ya nafsi zenu mnajua kabisa kwamba ndiye pekee anayeweza kutenda na kutekeleza kwa vitendo kupigania maslahi ya Tanzania yetu, hao wengine ni wasanii tu, ...

Chagua Magufuli kwa Afya na Ustawi wa Taifa letu, Magu tena 2020/35!
Mambo haya Lisu atayawezea wapi mkuu? Ndio kwanza kule alikokuwa japo alikwenda kwa matatizo lakini wameshamuambukiza na ile tabia nyingine mbaya kabisa duniani
 
Dunian kote lazma kuwe na tajir na maskin ili mambo yaende. Hamnaga usawa. Sasa sisi tunamilik ardhi lakin mbona weng bado wanakaa kwenye slums tu
Unajiita unaakili huku ruling class ya Kenyata ikimiliki karibu robo ya ardhi ya nchi huku wasomi wa Kenya wakikosa hata eneo la kulima sukuma wiki! Huo ni usomi au umavi?
 
Sasa ww ndo wale wakiohamishia akili kwenye mikund* na mkund* ukauleta kichwan maana ndo mnabaki kusifia tu.
Yaani naogopa kupigwa ban tu ningekupa za kichwa mpaka ......... uwe na adabu.
 
Magufuli please upitie upya mkataba wa KQ na Tanzania...
Wakati wa JK .. waziri Samuel Sitta aligundua huo mkataba Una matatizo mengi ikiwemo KQ kuzidisha namba ya safari za kuja Tz kinyume na mkataba..

Naomba Rais Magufuli aupitie mkataba upya...ili twende sawa..
Kwa hasara yetu wenyewe! Kunapokosekana ushindani kinachofuata ni monopoly ya soko
Tiketi zinapanda bei hovyo!
 
Hahaha Magufuli huwa mnamnanga lkn linapokuja swala la kazi na utendaji ninyi wenyewe ndani ya nafsi zenu mnajua kabisa kwamba ndiye pekee anayeweza kutenda na kutekeleza kwa vitendo kupigania maslahi ya Tanzania yetu, hao wengine ni wasanii tu, ...

Chagua Magufuli kwa Afya na Ustawi wa Taifa letu, Magu tena 2020/35!
Lakini unatambua kuwa huwa tuna rais mmoja kila wakati.
 
Naona uzalendo unakua sana miongoni mwa asilimia kubwa ya vijana wa Tz...kudos!
Tanzania ikiguswa watu wanasahau tofauti zao wanaitetea kwanza.
Na hiki ndicho kinatakiwa, Taifa letu likiguswa, tunaweka chini U CCM Na U CDM tunamshughulikia adui kwa pamoja, akisha ondoka tunaendeleza mengine
 
Sasa umeanza kuwa Mtanzania halisi. Hongera sana kwa kurudi kwenye kundi la watz halisi.
Kuwa Mtanzania halisi ni kuipenda na kuilinda Tanzania, pia nikumpinga na kumchukia yeyote asiyeheshimu katiba na sheria za Tanzania hata kama ni Mtanzania.

Magu kama anapambana na adui wa nje WELL AND GOOD. Lakini kama bado akigeuka nyuma anawachoma singe pia Watanzania hapo NO, tutapambana naye kama adui mwingine yeyote bila woga na kumchomoa hapo alipo.

Hatumtunzi vizuri na familia yake, kumlinda na kumpa utukufu wote huo kwa ajili ya kupambana na Kenya tuu huku akiwakanyaga na kuwakwamisha maisha bora Watanzania.

Ndio tunataka heshima ya nchi yetu itunzwe huko nje, lakini na Utu wa Mtanzania ndani ya nchi yao uthaminiwe vinginevyo Octoba out!
 
Kwa hasara yetu wenyewe! Kunapokosekana ushindani kinachofuata ni monopoly ya soko
Tiketi zinapanda bei hovyo!
KQ wana advantage dhidi ya ndege za nchi zingine kama Ethiopian airlines na South Afrika au hata Rwandan air..sizungumzii dhidi ya ATC
Nazungumza mkataba utazamwe Kwa ujumla wake..

Hasa wanapokuwa kila mara wanatutishia kujifanya wako strong economically kutuzidi
While sisi ndo tuna wapa nguvu hao KQ wasi collapse
 
Watakwambia hiyo ni mikataba hovyoo utadhani imepitishwa na TLP au NCCR
Magufuli please upitie upya mkataba wa KQ na Tanzania.

Wakati wa JK .. waziri Samuel Sitta aligundua huo mkataba una matatizo mengi ikiwemo KQ kuzidisha namba ya safari za kuja Tanzania kinyume na mkataba.

Naomba Rais Magufuli aupitie mkataba upya...ili twende sawa..
 
Back
Top Bottom