Rais Magufuli ondoa uonevu Twiga Bancorp

m2020

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
979
1,353
Watumishi wananyanyaswa hovyo tayari watu 16 wamesimamishwa kazi bila sababu za msingi. Wanatuhumiwa bila kuelezwa tuhuma zao ni zipi. Unawezaje kutuhumu mtu juu juu tu bila ya kutaja msingi wa tuhuma au kosa lake ni Nini.

Magufuli ingilia kati suala hili na ikibainika watumishi wanaonewa, hatua za kinidham zichukuliwe haraka kwa uongozi wa benki husika.

Hatuwezi kukubali mtu mmoja anapewe dhamana ya kusimamia rasilimali ya nchi halafu aanze kuonea watu kwa maslahi binafsi.

Hapa Kazi tu.
 
Back
Top Bottom