Rais Magufuli: Ole wake atakayeandamana, kama kuna baba zao wanawatuma, watakwenda kuwasimulia vizuri

Unaelewa unachoongea ww? Mtu kalazwa ICU ya hospital kubwa ya KCMC...sasa angekua msanii hao madaktari walimpelekaje ICU so unataka kusema kua madaktari wa KCMc wametumiwa kufanikisha usanii wa mbowe kwa kumuingiza icu?

Jifunze kua na logic reasoning
Mimi nimestuka, sijamuhusisha mwingine sawa? Halafu kwani usanii Hadi ukalazwe Mwenge Dispensary? Nasisitiza Mimi ndiye niliyestuka, kwa heri
 
Katiba iliyotumika kuapisha ndo hiyohiyo inayoruhusu maandamano Ila Kwa Kuwa wengine ni Kama visungura mbele ya Tembo ndio maana wanaonekana Kuwa hawanahaki ya kutumia haki yao kikatiba.
 
Hahah nna uhakika hakuna hata 1 atakayeandamana nchi hii,kama kuna anayebisha aseme hapa.
Mimi NABISHA!
HALI TETE,NCHI IMETAHARUKI,WATU WAMECHOKA,WAMEJITOA MHANGA,
KUNA WATU WATAMGEUKA before 26/4
MARK MY WRITING!
also kuna watu wanaifanya hii NCHI iendelee kuwa na AMANI
hao ni wale ambao wanakesha kuombea AMANI YA NCHI
But hata MUNGU KARUHUSU YATOKEE!!
PS:ELEWA HIVYO
 
Mambo Ya Mtandaon Rais Kuyazungumza Ni Udhaifu Wa Rais Na Taasisi Yake


Rais ndiye aliye na DHAMANA juu ya AMANI na USALAMA waTANZANIA kwa tishio lolote liwe DOGO au KUBWA kwa mtazamo wowote, hivyo SIDHANI kama kuna TATIZO yeye kutoa TAHADHARI .Sasa wanao sikia wasikie , watakao kaidi kazi kwao
 
Sisi tulio wengi tuliompa kura tunaunga mkono kauli take na akurudi kuomba kura tutampa
Wewe nani si libogus flani tu!..hata mtt wako akikohoa utasemaa..ooh nipo hapa mheshimiwa!..inaonesha ni jinsi gani upo effected kisaikolojia!..utakuwa ndio mheshimiwa hadi kaburini na huta upa nafasi ubongo wako upembue whats bad and good...si ajabu utawaambukiza hadi watoto wako!...shame on you..Laana itakuandama mchumia tumbo wewe!
 
Niliwahi ambiwa na mzee mmoja wa kibondo kuwa mkuu sio mtanzania ,nilibisha tena nilipewa na jina la utotoni nadhani ,ila kipindi hicho nampenda kinyama yaani ulikuwa ukimgusa huyu jamaa umenigusa mimi ,nakununia wiki,mhh ila haya ya kutekana ,kuminya demokrasia,kubaka bunge,kulawiti mahakama e.t.c nikajitoa simchukii ila namuogopa kinyanyama hata nikienda ofisi za umma nikiangalia picha yake nasikia neno...'' watch it ....'' juzi kahutubia kwa tv nusu nihari.she ,Kwa niaba ya wa TZ am sorry JK
 
Kaongea kwa ukali akapoza mie naona wanachangamsha tu akuna maandamano wala nini ila 2020 ndio itakuwa kazi kazi
 
Patamu sana tusubiri kuona....

Nahisi itakua ni zaidi ya enzi za CUF ile ya ngangari na ngunguri

Sema na nyie waandamanaji safari hii mfanye kweli isije kua mnapiga tu JAMBA JAMBA halafu hamuandamani ikifika iyo tarehe....

Kiukweli msipoandamana iyo tarehe 26/4 mtatuangusha sana Watanzania tunaotaka mabadiliko mana tunawategemea nyinyi waandamanaji muikomboe nchi yetu.

Inshallah!
Mbona naona kama vile wewe unamahamasisha wenzio tuu?
 
Mimi NABISHA!
HALI TETE,NCHI IMETAHARUKI,WATU WAMECHOKA,WAMEJITOA MHANGA,
KUNA WATU WATAMGEUKA before 26/4
MARK MY WRITING!
also kuna watu wanaifanya hii NCHI iendelee kuwa na AMANI
hao ni wale ambao wanakesha kuombea AMANI YA NCHI
But hata MUNGU KARUHUSU YATOKEE!!
PS:ELEWA HIVYO
Sijaelewa chochote boss.Naomba jibu 1

Watu wata andamana au hawata andamana?
 
Hahah nna uhakika hakuna hata 1 atakayeandamana nchi hii,kama kuna anayebisha aseme hapa.
We ni mjinga unawaza tu maandamano hujui kama kuna kupinduliwa pia na hao hao anaofikiri wanamlinda kwa sasa!
 
Hapa ndio amelikoroga kwelikweli
Imekereketa mpaka ameamua kumwaga nyongo
Hajazungumzia lililompeleka kaishia kuzungumzia maandamano
Serikali ijaribu kutumia busara zaidi kuliko vitisho
Uongozi una mwisho mtakuwa vituko mtakapomaliza muda wenu lakini WaTz watabaki kuwa ni walewale
Maandamano ni haki ya kila mwananchi kuzuia maandamano mnatengeneza genge la kuvunja amani
Mnategemea askari polisi na jeshi? Hawa nao ni WaTz mbona mnasahau?
Mange umepewa promo na mkulu kuya pande hii
 
Wabunge wa upinzani walipigiwa kura zaidi ya million 5 ndio naongelea hao malaki ukiachana na vijana wa kijiweni ambao hawakupiga kura....ni mamilion muhim msizuie maana ni maandamano ya amani utakuja kuniambia kma atabaki mtu nyumbani
Toa hao waliowakimbia
 
Hivi mtu na akili yako timamu unaacha kufanya kazi zako za kukuingizia kipato eti unaenda kuandamana ili kumfurahisha Mbowe ????
 
Back
Top Bottom