Rais Magufuli: Ole wake atakayeandamana, kama kuna baba zao wanawatuma, watakwenda kuwasimulia vizuri

Nimeweka Mada ya kuuliza juzi kimetokea nini hapo Lugalo na kueleta purukushani imeondolewa haraka Sana kama ilivyo ada siku hizi
Hii inaonyesha waliosema itolewe wanajua kuna tatizo , sio hali ya kawaida
Ndio maana wengi tunaojua kuchambua mambo tuliwaambia muwe Makini Sana haya maandamano ni diversion strategy tu ... na hayaratibiwi na watu wa kawaida ni watu well connected in the system

Waliondoa topic kama siku ilipowekwa topic ya Upanga ilipondolwa haraka

Najiuliza na Huo ufa humo Ndani mkiwaingiza Mitaaani wadhibiti hali ,hawatawajeuka???
Na hao Polisi discipline Yao na morali ndio iko chini kuliko wote !!!!
Comment yako haileweki unachanganya mambo
 
Hii issue ya kutokea vurugu Upanga HQ camp iliyopelekea askari MT109795 Ramadhani mlaku kuuwa kwa risasi askari aliyekua anamdhibiti asiltekeleze alilokusudia aitwae MT 79512 Sgt munyama ndio limewekwa waZi jana baada ya Ramadhani kufikishwa mahakamani
Ramadhani alidhbitiwa kwa kukanyagwa na kifaru cha dereya miguuni

Sasa tunasubiri miezi sita ijayo kuwekwa wazi kilichotokea lugalo juzi@jf where we dare speak openly

Ndio maana tunasema things are wrong somewhere let’s pray for this country

IMG_1255.JPG
IMG_1256.JPG
 
Hivi anadhani ana roho mbaya zaidi ya ile waliomfanyia Tundu Lisu au Ben???!!! Mbona maisha yamekwenda na TL amesimulia na watu wameyaona rangi zao.
 
Hii issue ya kutokea vurugu Upanga HQ camp iliyopelekea askari MT109795 Ramadhani mlaku kuuwa kwa risasi askari aliyekua anamdhibiti asiltekeleze alilokusudia aitwae MT 79512 Sgt munyama ndio limewekwa waZi jana baada ya Ramadhani kufikishwa mahakamani
Ramadhani alidhbitiwa kwa kukanyagwa na kifaru cha dereya miguuni

Sasa tunasubiri miezi sita ijayo kuwekwa wazi kilichotokea lugalo juzi@jf where we dare speak openly

Ndio maana tunasema things are wrong somewhere let’s pray for this country

View attachment 715265View attachment 715266
Personal issues za mwanajeshi hizo hazina uhusiano na mambo ya kitaifa ndani ya nchi acha uzushi wako.
 
sawa ni uzushi......
Umesoma Daily News Leo walivyo jaribu kuifanyia spinning , kama bado tafuta soma ....alafu uendelee kusema ni personal .
Huyo jamaa aliyeua komandoo ana matatizo yake kiakili ndo maana nimekuambia ni more personal that official issues kama unavyofikiri.
 
Ngoja tuandamane ili tukasimulie vizuri afu na yeye aende the hague
The Hague sio issue sana. Issue ni sisi tunawasubiri kwa hamu ili tuvunje hiyo miguu, tuna morali ya kufa mtu. Hakuna atakaemini kitakachotokea. Jidanganyeni na Hague yenu hiyo.
 
Back
Top Bottom