Rais Magufuli nusuru njozi yako ya kufufua ATCL

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
700
851
JPM NUSURU NJOZI YAKO YA KUFUFUA ATCL.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa amemsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi mkuu wa shirika la ndege Tanzania ATCL Captain Jonson Mfinanga na Mkurugenzi wa uendeshaji Captain Sadick Muze kwa kosa la kuchagua rubani mmoja asiye na sifa kati ya marubani watano wanaotarajia kuondoka hapo kesho kwenda nchini Canada kwa ajili ya mafunzo ya kurusha ndege mpya zinazotarajiwa kuwasili nchini katikati ya mwezi Septemba.

Akizungumza na waandishi wa habari mkoani Mbeya Pro.Mbarawa amesema baada ya kukamilisha malipo ya awali ya ununuzi wa ndege mbili mpya kwa ajili ya shirika la ndege Tanzania ATCL alitoa maelekezo kwa kaimu Mkurugenzi Mkuu huyo kuwachagua marubani watano wenye sifa ili waende nchini Canada kwa ajili ya mafunzo ya kurusha ndege hizo pindi zitakapo wasili jambo ambalo amesema miongoni mwa marubani hao watano waliochaguliwa mmoja hajatimiza vigezo hivyo kuamua kumsimamisha kazi kwa kosa la uzembe.

UKWELI WENYEWE NI HUU.
1.Ni ukweli kuwa serikali ya awamu ya tano, imenunua ndege mbili kubwa Bombardier DHC 8 Q 400 kutoka Toronto Canada,na katika mkataba wa manunuzi ya ndege hizo pamoja na mambo mengine walikubaliana kuwapa mafunzo ma-pilot wetu 16 kwa maana ma-pilot 8 kwa kila ndege.

Kwahiyo swala la Waziri kusema alitoa maelekezo kwa Kaimu Mkurugenzi kuwachagua watu 5 kwenda mafunzo Canada haikuwa sawa na geni kwa uongozi wa ATCL kwani lilikuwa makubaliano ya kimkataba kati ya kampuni ya wauza ndege na ATCL.

RATIBA YA MAFUNZO ILIYOTOLEWA NA KAMPUNI YA BOMBARDIER DHC 8 Q400
Phase 1. Toronto- Canada { from 8 August, 2016 to 2 September, 2016} nafasi 4
Phase 2. Fanborough- UK { from 22 August, 2016 to 16 September, 2016} nafasi 4
Phase 3. Toronto- Canada { from 12 September, 2016 to 7 October, 2016} nafasi 6
Phase 4. Toronto- Canada { from 14 October 2016, to 11 November, 2016} nafasi (bado hazijapangwa).
Phase 5. Difference course- date to be notified.

Note: walioitajika kwenda kwenye mafunzo haya ya ndege mpya Bombardier DHC 8 Q400 walipaswa wawe na vigezo vikubwa 2
Wawe wamerusha ndege masaa yasiyopungua 500 yaani kwa uchache.
Na katika masaa hayo 500 ya urushaji ndege yawe ni ya ndege yenye injini mbili.

Safari ya mafunzo ya kwanza kwenda Toronto-Canada tar 8 August 2016 mpaka 2 September 2016 yaani siku 25,makapteni wafuatao waliteuliwa kuhudhuria

John Mturi. Rank Captain B737-200 miaka 58, flight hrs 12,500 (training cpt)
Taibali Taher. First Officer B.737-200 miaka 39, flight hrs 3500
Farhad Kadu. First Officer Dash8 Q300 miaka 43, flight hrs 8600
Ahmed khamis Ahmed. Captain, miaka 60, flight hrs 13800.

Ikumbukwe kuwa ktk tasnia hii ya URUBANI kustaafu ni miaka 65

Note: Makapteni wote hawa 4 wanatambuliwa na TANZANIA CIVIL AVIATION AUTHORITY ( TCAA) na AIR TANZANIA COMPANY LIMITED Kama makapteni wao. Aidha pia makapteni wote hawa 4 leseni zao za kurusha ndege zimekwisha( lapsed license) kwa sababu kuu mbili 1. Hapakuwa na ndege za serikali za kurusha 2. ATCL hawakuwa na fedha za mafunzo ya ma-pilot kwani hata zingekuwepo wangepoteza kwani hawakuwa na ndege wala mpango wa karibuni wa kununua ndege.

Sheria ya CIVIL AVIATION ( personnel licencing ) Regulations 2011, as amended and the Advisory Circular CAA-AC-PEL001B.
To renew the lapsed lincences, the requirement are;
Above one year up to five years

(a) If the pilot has no flying experience during that period, he has to fly 6 hours including six take offs and landings as pilot in command
(b) Pass a proficiency flight check out on the aircraft rated on.
(c) Pass the knowledge test in CPL/ATPL Air law.

Kutokana na ukweli kuwa ma-pilot 4 leseni zao zilikuwa zimeisha HAZIWAONDOLEI SIFA YA URUBANI bali wanakosa SIFA ya kurusha ndege mpaka hapo watakapo kuwa wamefanya mafunzo mapya na kwenda TANZANIA CIVIL AVIATION AUTHORITY kufanya mtihani ili sasa leseni zao ziwe HAI ili warushe ndege.

Ndio maana sasa wanaenda training ya siku 25 Toronto Canada kwa minajili hiyo ili sasa wakirudi wamalizie TCA mitihani warushe ndege mpya za BOMBARDIER DHC 8 Q400.

MASWALI MUHIMU KWA WAZIRI
Atutajie majina ya marubani 5 ambao walikuwa kwenye orodha ya kusafiri ilihali walikuwa 4 kulingana na nafasi zilizopatikana za kwenda mafunzo Toronto Canada na ndio walioombewa visa na ndio WALIOSAFIRI na nimewataja hapo juu huyo mmoja ni nani?

Aliyepelekea kuwasimamisha viongozi waanadamizi wa ATCL kwa kuwa alikuwa HANA SIFA. Na wanakuwa 4 kwa pair yaani captain na first officer.

Mh Waziri atutajie wasifu wa walioenda mafunzo na aliyeachwa kutoka na kukosa SIFA ili sasa tuondoe sintofahamu iliyotokea ambayo siyo tu inaviashiria vyote VYA UONEVU,VIASHIRIA VYA DHULUMA na NIA OVU YA KUHUJUMU MRADI MPYA WA NDEGE kwa kuwaondoa watu muhimu walioshiriki katika kufanikisha njozi ya mh Raisi ya kufufua shirika la ndege

ZINGATIO
Mh Waziri akijibu haya nitaendelea kueleza kilichojificha nyuma ya pazia.
 
Nimesoma na kuelewa maelezo yako. Sina kitu chochote cha kusema.
Ninachofahamu kwa sasa tuko kwenye awamu ya Hapa Kazi Tu, ambapo style ya kufanyakazi ni kufukuza tu, Waziri ametekeleza wajibu wake wa kufukuza, na rais atampa pongezi kwa hilo. Then maisha yanaendelea kama kawaida. Huruhusiwi kuhoji chochote, wewe shangilia tu. Ukihoji tu, utaitwa ni jipu na utakuwa unamjaribu 'mfalme'.
 
JUMA JUMA AKA DOUBLE J

HAO MAPILOT WA B737-200 WALIKUWA WAPI KUENDESHA DASH 8...NDEGE YA ATCL WAKATI MWINGINE PENGINE HUKUJUA AMA HUJUI IMEKUWA NA DELAY SABABU YANMASAA YA MARUBANI....pilot I AWALIJUI..ABIRIA AKIRUDI NYT LTE ANA MASAA YAKE KADHAA YA KUREST ELSE AKITUMIKIA HUKOMBELE KUNA UWEZEKANO AKAPEWA MORE OFF..DASH 8 PILOTS KUMEKUWA NA UPUNGUFU WA MARUBANI SIKUZOTE TANGU ZIWEPO MBILI HAO MARUBANI WA B737-200 WALIKUWA WAPI WASIPELEKWE SHULE YA DASH 8 KUOKOA JAHAZI .TUWE EAWAWAZI AWAITAJIKI WATU KUNYWA DOMPO ...KUELEWA HILI.........NA AMBACHO MNASHINDWA KUELEWA KWANINI WAPELEKWE WAZEE WALIOKAA NYUMBAN ZAIDI YA MIAKA 6 ALAFU MUWAACHE WALIOHANGAIKA NA DASH 8 AMBAO WANA UWEZO ......

YUKO WAPI CAPT LILLA

YUKO WAPI CAPT AHMED

YUKO WAPI FO "S WALIOSAFA NA DASH 8 ALL THE DAYS MNAENDA BEBA WAZEE ACHENI COMEDY PLS
 
JUMAJUMA AKA DOUBLE J

WELL SAID ILA WASIOJUA HILI WANAWEZA KUFIKIRI UMEANDIKA KWA NIA NJEMA AMA MBAYA ...LA HASHA KILA MTU NA UFAHAMU ....
Japo uandishi wako haueleweki vizuri lakini naona main point yako ime-base kwenye umri! i.e. wamechaguliwa wazee ambao kwa maoni yako ''wanakaribia kufa au kustaafu'' na kuwaacha vijana! Au sio?
 
Mtoa mada amelezea vizuri sana kwa kuongezea pamoja na kuuleta uzi huu hapa kwanini usingeiaddress kwa katibu mkuu kiongozi ninaimani ingemfikia mkuu wa kaya na kufanyiwa kazi.
 
Tulikubaliana kuwa ili shirika hili la ndege lifufuke ni lazima hao mnaowaita viongozi wastafishwe wote na kisha tuanze upya maana waliopo wameharibiwa na mfumo mbovu wa rushwa na ufanisi mdogo. Ningekuwa mimi kwa sasa ningeajiri marubani wapya kutoka nje ya mfumo wa serikali ambao watakuwa na hayo masaa yaliyotajwa ili watumike kutoa mafunzo kwa marubani vijana watakaoliendesha shirika hili.
 
Juma Juma...Mimi sio mfuasi sanaaaa wa hii serikali katika maana ya "kuminya demokrasia" na mambo yake!
Lakini ni mfuasi wa Prof Mbarawa!Kwanza huyu bwana sio muoneaji,haonei mtu wala hana hiyana na mtu.Peof wa watu mwenye huruma na moyo wa Kipemba hana kisasi na mtu.
Ukweli naoujuwa mimi...Kwa mara ya mwisho ATCL kuwa na Boeing 773 ilikuwa ni mwaka 2012 nayo haikuwa yao bali walikodi toka Afrika Kusini,haikukaa sana wakashindwa mkataba maana ulikuwa wa kifisadi na Mwakyembe akairudisha ndege hiyo South Afrika.Na ukodishwaji huu haukuhusisha crew wazawa(Watanzania),hivyo Pilots walitoka huko huko South Africa.

Baadae ATCL ikakodi ndege B772 toka nchi ya Kiarabu huko,nayo mkataba ulikuwa wa kihuni na haukuhusisha marubani wa Kitanzania,bali wa nje...Hivyo utaona mara ya mwisho ATCL kumiliki B773 ni zaidi ya miaka saba au nane iliyopita.Sasa kwanini mkamchukuwe Mzee wa miaka 60 aliyekaa nyumbani miaka karibu 8 bila kurusha ndege ili aje kurusha Q400 ambayo hakuwahi kuendesha?Hii Time Rating kwanini msiwape vijana ambao wamesota na DASH8 kwa miaka mingiii.

Hoja si uzoefu wa huyo Rubani "Mzee",hoja ni kuwa mumewaacha vijana waliosota na ATCL huku ikiwa na ndege mbili tu DASH8,ile 5H-MWG iliyodondoka Kigoma na 5H-MWF ambayo ndio imebaki kwa sasa.Sasa kwanini mkasombe mtu wa miaka 60 aliyebakiza miaka 5(panapo majaliwa) kustaafu na kuacha kutengeneza kizazi kijacho kwa nafasi hizo chache?Hoja ya Waziri nafikiri si huyo hana sifaa kwa maana hiyo,bali kwa sbb mwenye 65 anataka Time Rating ya Q400 wakati kuna watu wamesota na ndege moja ya ATCL kwa uchovu na kusimangwa??

Ilifikia kipindi mpaka ATCL inakuwa na delay zisizo na maana kwa sbb marubani wapo wachache na wanarusha ndege mpaka masaa yanayotakiwa wao kuwa hewani yanaisha,wanaenda kupumzika na abiria wanaenda kulazwa hotelini.Naona kuna Wazee hapo ATCL kwa kushirikiana na Wakongwe wa TCAA wanataka kumzunguka waziri kwa "maneno ya kitaalamu" ili kuuficha ukweli.
 
JUMAJUMA AKA DOUBLE J

WELL SAID ILA WASIOJUA HILI WANAWEZA KUFIKIRI UMEANDIKA KWA NIA NJEMA AMA MBAYA ...LA HASHA KILA MTU NA UFAHAMU ....

NAOMBA NIWEWEKE WAZI BR JUMA NI UPUUZI NA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA KUCHUKUA PILOT WA B737-200 NA KUWAACHA WA DASH 8 AMBAO WANASIFA...

NDUGU JUMA HUJUI NA PENGINE UNAJUA NAOMBA NIKUULIZE MARA YA MWISHO NDEGE YA B737-200 KURUKA NA ATCL...

KAMA UNAJUA UNAHAJA GANI KUWACHUKUA PILOTS WA BOEING NA KUWAACHA HAWA WALIOSAFA NA ATCL TANGU WATU WANASEMA NDEGE INAKUFA KAMPUNI INAKUFA WANAKUFA WAO KAMPUNI BADO IPO...

NISAIDIE MAJINA AMBAYO PILOTS WA DASH 8 AWANA SIFA NA WAMEACHWA NIKUJUZE KWA NN WAMEFANYA MISTAKE

N UPUUZI UWEZI CHUKUA PILOTS WA 58-60 NA KUWAACHA MIAKA YOTE HIO PILOTS WENYE SIFA NA WANA MIAKA CHINI YA 50

NIKUJUZE HAO PILOTS WALIOKWENDA AMA WAPO ULIOWANDIKA WALIKUWEPO MAJUMBANI WAKATI NDEGE YA DASH 8 IKIJA TANZANIA..ITS VERY STUPIDITY MOTE THAN 5-6 YRS UNAWAACHA PILOTS MDA WOTE HUO KUWATUMIA DASH 8 UNAKUJA KUWAPA LESENI YA Q400...

UNAPOONGELEA MIAKA 58-60 UNAONGELEA KUNA MAGONJWA KADHA YANAANZA KUWAPATA SIO LAZIMA WAFIKE 65 YRS OLD N SWALA LA ELIMU JAMII WALA AIITAJI ELIMU YA UDSM AMA OUT...TUFIKE WAKATI KAMPUNI MUIANGALIE MIAKA KADHAA IJAYOO ITAKUWA WAPI...

SHIDA KUBWA ILIOPO AMBAYOO UNAIONGELEA NIPAMOJA NA ENGN..KITENGO KILICHOJAZA WAZEE AMBAO WAANAKARIBIA KUFA AMA KUSTAAFU MWISHO MNAWAJAZA KWENYE POSN ZA MANAGEMENTBWANASHINDWA KWENDA NA WAKATI NA MWISHO KUONDOLEWA KAMA ILIVYO KWA CEO

MMEWEKA MTU AMBAE ALIKUWA AMEMALIZA CHUO HANA HATA MWAKA KUWA MWANASHERIA WA KAMPUNI BAADAE MKAMWONDOA...SASA MKAWEKA CEO NAE KAONDOLEWA...IFIKE WAKATI WAJAZE NA VIZAZI VIPYA SIO ATCL YA KUFAA NA KUFAANA....YOUNG BLOOD MUHIMU PIA KWENYE MAISHA YA MAENDELEO YA KAMPUNI....
Mpwa Pdidy umemaliza kila kitu!!Kujuwana kwingi snaa kwa wazee wa ATCL na TCAA
 
Mtoa mada amelezea vizuri sana kwa kuongezea pamoja na kuuleta uzi huu hapa kwanini usingeiaddress kwa katibu mkuu kiongozi ninaimani ingemfikia mkuu wa kaya na kufanyiwa kazi.
Akili za wapi hizi Angeipeleka kwa KATIBU MKUU sisi tungeionaje au..wee ndio Waziri...mwenyewe unataka mkayamalize kimya kimya
 
Hii awamu ya mwendokasi wewe mleta mada njoo uku tulime mpunga mambo ya ndege muachie uchwara. Hizo ndege wataendesha wanyaruanda nyie hamna sifa NJOO TULIME MSIPOTEZE MUDA WENU BURE
 
JUMA JUMA, inawezekana kukawa na punje ya ukweli kwenye hoja yako! Nasema punje kwa sababu kwa kiasi kikubwa kuna maswali mengi katika utetezi wako yasiyo na majibu. Kwa mtu mwenye uelewa wa maswala ya aviation swali litakuwa hivi, iweje muanze na captains wa B737-200 badala ya captains wa Dash8 Q300 ambao nafikiri wako current, kwani mnazo bado ndege hizo, ila ni transitional training tu ndio wanahitaji? Au hamkuwa na captains kwenye Dash8 Q300 maana naona yuko tu first officer mmoja. Je gharama za mafunzo ili wawe current baada ya hiyo training ni nani angeibeba kwa hao ambao hawako current, insigekuwa busara mkatengeneza set mbil za kwanza (16) kwa kutumia marubani walio current? Je kama umri haukutajwa katika requirements za training mlizopewa na Bombardier, kwa mtazamo wako mko sahihi kupeleka mtu yeyote bila kuangalia value for your money na continuity katika shirika lenu? Huo ni uwekezaji kama mlivyonunua ndege ndugu yangu!

Mtakuwa na set moja kwa kila ndege baada ya mafunzo ya hao marubani 16, je, prioirity katika uchaguzi wa marubani kwa ajiri ya training ilikuwa ni nini? Kupata watu wa kuanza operations immediatelly baada ya delivery ya ndege au mtengeneze watu wengi iwezekenavyo bila priority yoyote? Nimesema kuna punje ya ukweli kwa sababu nafikiri huna kabisa ufahamu wa uendeshaji na uongozi wa biashara na ndio maana umejikita katik kutoa utetezi kwa kuangalia nini muuzaji anataka na siyo nini nitafaidika na ununuzi huu. Mmekuwa katika matatizo ya kiuendeshaji kwa ATCL nafikiri ni kutoka na hili swala la uwezo wa mameneja wenu katika uendeshaji na uongozi wa biashara. kumbuka jamaa akishakuuzia tu hizo ndege, ni juu yako kuiangalia kwa makini hiyo operationg costs ili uendelee kuishi!

Kama kuna hoja nyingine, kama ulivyoahidi, toa lakini hili la umri na poor planning/selection ya candidates wa trainng iliyofanywa na hao wakurugenzi wako liko wazi ingawa inawezekana sio kwa makusudi bali ni kukosa ufahamu wa uendeshaji na uongozi wa biashara.

JPM NUSURU NJOZI YAKO YA KUFUFUA ATCL.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa amemsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi mkuu wa shirika la ndege Tanzania ATCL Captain Jonson Mfinanga na Mkurugenzi wa uendeshaji Captain Sadick Muze kwa kosa la kuchagua rubani mmoja asiye na sifa kati ya marubani watano wanaotarajia kuondoka hapo kesho kwenda nchini Canada kwa ajili ya mafunzo ya kurusha ndege mpya zinazotarajiwa kuwasili nchini katikati ya mwezi Septemba.

Akizungumza na waandishi wa habari mkoani Mbeya Pro.Mbarawa amesema baada ya kukamilisha malipo ya awali ya ununuzi wa ndege mbili mpya kwa ajili ya shirika la ndege Tanzania ATCL alitoa maelekezo kwa kaimu Mkurugenzi Mkuu huyo kuwachagua marubani watano wenye sifa ili waende nchini Canada kwa ajili ya mafunzo ya kurusha ndege hizo pindi zitakapo wasili jambo ambalo amesema miongoni mwa marubani hao watano waliochaguliwa mmoja hajatimiza vigezo hivyo kuamua kumsimamisha kazi kwa kosa la uzembe.

UKWELI WENYEWE NI HUU.
1.Ni ukweli kuwa serikali ya awamu ya tano, imenunua ndege mbili kubwa Bombardier DHC 8 Q 400 kutoka Toronto Canada,na katika mkataba wa manunuzi ya ndege hizo pamoja na mambo mengine walikubaliana kuwapa mafunzo ma-pilot wetu 16 kwa maana ma-pilot 8 kwa kila ndege. Kwahiyo swala la Waziri kusema alitoa maelekezo kwa Kaimu Mkurugenzi kuwachagua watu 5 kwenda mafunzo Canada haikuwa sawa na geni kwa uongozi wa ATCL kwani lilikuwa makubaliano ya kimkataba kati ya kampuni ya wauza ndege na ATCL.

RATIBA YA MAFUNZO ILIYOTOLEWA NA KAMPUNI YA BOMBARDIER DHC 8 Q400
Phase 1. Toronto- Canada { from 8 August, 2016 to 2 September, 2016} nafasi 4

Phase 2. Fanborough- UK { from 22 August, 2016 to 16 September, 2016} nafasi 4
Phase 3. Toronto- Canada { from 12 September, 2016 to 7 October, 2016} nafasi 6
Phase 4. Toronto- Canada { from 14 October 2016, to 11 November, 2016} nafasi (bado hazijapangwa).
Phase 5. Difference course- date to be notified.

Note: walioitajika kwenda kwenye mafunzo haya ya ndege mpya Bombardier DHC 8 Q400 walipaswa wawe na vigezo vikubwa 2
Wawe wamerusha ndege masaa yasiyopungua 500 yaani kwa uchache.
Na katika masaa hayo 500 ya urushaji ndege yawe ni ya ndege yenye injini mbili.

Safari ya mafunzo ya kwanza kwenda Toronto-Canada tar 8 August 2016 mpaka 2 September 2016 yaani siku 25,makapteni wafuatao waliteuliwa kuhudhuria
John Mturi. Rank Captain B737-200 miaka 58, flight hrs 12,500 (training cpt)
Taibali Taher. First Officer B.737-200 miaka 39, flight hrs 3500
Farhad Kadu. First Officer Dash8 Q300 miaka 43, flight hrs 8600
Ahmed khamis Ahmed. Captain, miaka 60, flight hrs 13800.
Ikumbukwe kuwa ktk tasnia hii ya URUBANI kustaafu ni miaka 65
Note: Makapteni wote hawa 4 wanatambuliwa na TANZANIA CIVIL AVIATION AUTHORITY ( TCAA) na AIR TANZANIA COMPANY LIMITED Kama makapteni wao. Aidha pia makapteni wote hawa 4 leseni zao za kurusha ndege zimekwisha( lapsed license) kwa sababu kuu mbili 1. Hapakuwa na ndege za serikali za kurusha 2. ATCL hawakuwa na fedha za mafunzo ya ma-pilot kwani hata zingekuwepo wangepoteza kwani hawakuwa na ndege wala mpango wa karibuni wa kununua ndege.
Sheria ya CIVIL AVIATION ( personnel licencing ) Regulations 2011, as amended and the Advisory Circular CAA-AC-PEL001B.
To renew the lapsed lincences, the requirement are;
Above one year up to five years
(a) If the pilot has no flying experience during that period, he has to fly 6 hours including six take offs and landings as pilot in command
(b) Pass a proficiency flight check out on the aircraft rated on.
(c) Pass the knowledge test in CPL/ATPL Air law.

Kutokana na ukweli kuwa ma-pilot 4 leseni zao zilikuwa zimeisha HAZIWAONDOLEI SIFA YA URUBANI bali wanakosa SIFA ya kurusha ndege mpaka hapo watakapo kuwa wamefanya mafunzo mapya na kwenda TANZANIA CIVIL AVIATION AUTHORITY kufanya mtihani ili sasa leseni zao ziwe HAI ili warushe ndege. Ndio maana sasa wanaenda training ya siku 25 Toronto Canada kwa minajili hiyo ili sasa wakirudi wamalizie TCA mitihani warushe ndege mpya za BOMBARDIER DHC 8 Q400.
MASWALI MUHIMU KWA WAZIRI
Atutajie majina ya marubani 5 ambao walikuwa kwenye orodha ya kusafiri ilihali walikuwa 4 kulingana na nafasi zilizopatikana za kwenda mafunzo Toronto Canada na ndio walioombewa visa na ndio WALIOSAFIRI na nimewataja hapo juu huyo mmoja ni nani? Aliyepelekea kuwasimamisha viongozi waanadamizi wa ATCL kwa kuwa alikuwa HANA SIFA. Na wanakuwa 4 kwa pair yaani captain na first officer.
Mh Waziri atutajie wasifu wa walioenda mafunzo na aliyeachwa kutoka na kukosa SIFA ili sasa tuondoe sintofahamu iliyotokea ambayo siyo tu inaviashiria vyote VYA UONEVU,VIASHIRIA VYA DHULUMA na NIA OVU YA KUHUJUMU MRADI MPYA WA NDEGE kwa kuwaondoa watu muhimu walioshiriki katika kufanikisha njozi ya mh Raisi ya kufufua shirika la ndege

ZINGATIO
Mh Waziri akijibu haya nitaendelea kueleza kilichojificha nyuma ya pazia.
 
JUMAJUMA AKA DOUBLE J

WELL SAID ILA WASIOJUA HILI WANAWEZA KUFIKIRI UMEANDIKA KWA NIA NJEMA AMA MBAYA ...LA HASHA KILA MTU NA UFAHAMU ....

NAOMBA NIWEWEKE WAZI BR JUMA NI UPUUZI NA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA KUCHUKUA PILOT WA B737-200 NA KUWAACHA WA DASH 8 AMBAO WANASIFA...

NDUGU JUMA HUJUI NA PENGINE UNAJUA NAOMBA NIKUULIZE MARA YA MWISHO NDEGE YA B737-200 KURUKA NA ATCL...

KAMA UNAJUA UNAHAJA GANI KUWACHUKUA PILOTS WA BOEING NA KUWAACHA HAWA WALIOSAFA NA ATCL TANGU WATU WANASEMA NDEGE INAKUFA KAMPUNI INAKUFA WANAKUFA WAO KAMPUNI BADO IPO...

NISAIDIE MAJINA AMBAYO PILOTS WA DASH 8 AWANA SIFA NA WAMEACHWA NIKUJUZE KWA NN WAMEFANYA MISTAKE

N UPUUZI UWEZI CHUKUA PILOTS WA 58-60 NA KUWAACHA MIAKA YOTE HIO PILOTS WENYE SIFA NA WANA MIAKA CHINI YA 50

NIKUJUZE HAO PILOTS WALIOKWENDA AMA WAPO ULIOWANDIKA WALIKUWEPO MAJUMBANI WAKATI NDEGE YA DASH 8 IKIJA TANZANIA..ITS VERY STUPIDITY MOTE THAN 5-6 YRS UNAWAACHA PILOTS MDA WOTE HUO KUWATUMIA DASH 8 UNAKUJA KUWAPA LESENI YA Q400...

UNAPOONGELEA MIAKA 58-60 UNAONGELEA KUNA MAGONJWA KADHA YANAANZA KUWAPATA SIO LAZIMA WAFIKE 65 YRS OLD N SWALA LA ELIMU JAMII WALA AIITAJI ELIMU YA UDSM AMA OUT...TUFIKE WAKATI KAMPUNI MUIANGALIE MIAKA KADHAA IJAYOO ITAKUWA WAPI...

SHIDA KUBWA ILIOPO AMBAYOO UNAIONGELEA NIPAMOJA NA ENGN..KITENGO KILICHOJAZA WAZEE AMBAO WAANAKARIBIA KUFA AMA KUSTAAFU MWISHO MNAWAJAZA KWENYE POSN ZA MANAGEMENTBWANASHINDWA KWENDA NA WAKATI NA MWISHO KUONDOLEWA KAMA ILIVYO KWA CEO

MMEWEKA MTU AMBAE ALIKUWA AMEMALIZA CHUO HANA HATA MWAKA KUWA MWANASHERIA WA KAMPUNI BAADAE MKAMWONDOA...SASA MKAWEKA CEO NAE KAONDOLEWA...IFIKE WAKATI WAJAZE NA VIZAZI VIPYA SIO ATCL YA KUFAA NA KUFAANA....YOUNG BLOOD MUHIMU PIA KWENYE MAISHA YA MAENDELEO YA KAMPUNI....

Nakubaliana nawe kuhusu kuwaacha makapteni na wasaidizi wao ambao wana uzoefu wa kurusha Bombardier Dash-8 hao ndio wangekwenda kwenye batch ya kwanza.

Sikubaliani nawe kwa madai mengine - sijui wewe ni mtu wa fani gani lakini nataka kukufahamisha kwamba moja ya sifa muhimu katika kurusha/endesha ndege ni flying hours ulizo wahi ku clock ukiwa angani, mengine ni secondary - mapilot walio wahi kurusha Boeing 737 Series 200 hawezi kubabaika kuendesha ndege yoyote - anacho itaji ni kupewa wiki chache za mazoezi basi, kwa nini ujiulizi inakuwaje ma pilot wa ndege za vita wanajiliwa kirahisi kuendesha ndege za abiria bila kujali muhundo wa ndege.

Kitu kingine kama umewahi kusafiri kwa ndege za makumpuni makubwa Duniani unaweza kutueleza Makaptien wa ndege hizo wana umri gani - kumbuka kwamba marubani wote bila ya kujali umri wao ucheckiwa afya zao mara kwa mara - sasa wewe ni kitu gani kinakufanya kuwabeza beza marubani wenye umri mkubwa - una tatizo gani nao?
 
JPM NUSURU NJOZI YAKO YA KUFUFUA ATCL.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa amemsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi mkuu wa shirika la ndege Tanzania ATCL Captain Jonson Mfinanga na Mkurugenzi wa uendeshaji Captain Sadick Muze kwa kosa la kuchagua rubani mmoja asiye na sifa kati ya marubani watano wanaotarajia kuondoka hapo kesho kwenda nchini Canada kwa ajili ya mafunzo ya kurusha ndege mpya zinazotarajiwa kuwasili nchini katikati ya mwezi Septemba.

Akizungumza na waandishi wa habari mkoani Mbeya Pro.Mbarawa amesema baada ya kukamilisha malipo ya awali ya ununuzi wa ndege mbili mpya kwa ajili ya shirika la ndege Tanzania ATCL alitoa maelekezo kwa kaimu Mkurugenzi Mkuu huyo kuwachagua marubani watano wenye sifa ili waende nchini Canada kwa ajili ya mafunzo ya kurusha ndege hizo pindi zitakapo wasili jambo ambalo amesema miongoni mwa marubani hao watano waliochaguliwa mmoja hajatimiza vigezo hivyo kuamua kumsimamisha kazi kwa kosa la uzembe.

UKWELI WENYEWE NI HUU.
1.Ni ukweli kuwa serikali ya awamu ya tano, imenunua ndege mbili kubwa Bombardier DHC 8 Q 400 kutoka Toronto Canada,na katika mkataba wa manunuzi ya ndege hizo pamoja na mambo mengine walikubaliana kuwapa mafunzo ma-pilot wetu 16 kwa maana ma-pilot 8 kwa kila ndege. Kwahiyo swala la Waziri kusema alitoa maelekezo kwa Kaimu Mkurugenzi kuwachagua watu 5 kwenda mafunzo Canada haikuwa sawa na geni kwa uongozi wa ATCL kwani lilikuwa makubaliano ya kimkataba kati ya kampuni ya wauza ndege na ATCL.

RATIBA YA MAFUNZO ILIYOTOLEWA NA KAMPUNI YA BOMBARDIER DHC 8 Q400
Phase 1. Toronto- Canada { from 8 August, 2016 to 2 September, 2016} nafasi 4

Phase 2. Fanborough- UK { from 22 August, 2016 to 16 September, 2016} nafasi 4
Phase 3. Toronto- Canada { from 12 September, 2016 to 7 October, 2016} nafasi 6
Phase 4. Toronto- Canada { from 14 October 2016, to 11 November, 2016} nafasi (bado hazijapangwa).
Phase 5. Difference course- date to be notified.

Note: walioitajika kwenda kwenye mafunzo haya ya ndege mpya Bombardier DHC 8 Q400 walipaswa wawe na vigezo vikubwa 2
Wawe wamerusha ndege masaa yasiyopungua 500 yaani kwa uchache.
Na katika masaa hayo 500 ya urushaji ndege yawe ni ya ndege yenye injini mbili.

Safari ya mafunzo ya kwanza kwenda Toronto-Canada tar 8 August 2016 mpaka 2 September 2016 yaani siku 25,makapteni wafuatao waliteuliwa kuhudhuria
John Mturi. Rank Captain B737-200 miaka 58, flight hrs 12,500 (training cpt)
Taibali Taher. First Officer B.737-200 miaka 39, flight hrs 3500
Farhad Kadu. First Officer Dash8 Q300 miaka 43, flight hrs 8600
Ahmed khamis Ahmed. Captain, miaka 60, flight hrs 13800.
Ikumbukwe kuwa ktk tasnia hii ya URUBANI kustaafu ni miaka 65
Note: Makapteni wote hawa 4 wanatambuliwa na TANZANIA CIVIL AVIATION AUTHORITY ( TCAA) na AIR TANZANIA COMPANY LIMITED Kama makapteni wao. Aidha pia makapteni wote hawa 4 leseni zao za kurusha ndege zimekwisha( lapsed license) kwa sababu kuu mbili 1. Hapakuwa na ndege za serikali za kurusha 2. ATCL hawakuwa na fedha za mafunzo ya ma-pilot kwani hata zingekuwepo wangepoteza kwani hawakuwa na ndege wala mpango wa karibuni wa kununua ndege.
Sheria ya CIVIL AVIATION ( personnel licencing ) Regulations 2011, as amended and the Advisory Circular CAA-AC-PEL001B.
To renew the lapsed lincences, the requirement are;
Above one year up to five years
(a) If the pilot has no flying experience during that period, he has to fly 6 hours including six take offs and landings as pilot in command
(b) Pass a proficiency flight check out on the aircraft rated on.
(c) Pass the knowledge test in CPL/ATPL Air law.

Kutokana na ukweli kuwa ma-pilot 4 leseni zao zilikuwa zimeisha HAZIWAONDOLEI SIFA YA URUBANI bali wanakosa SIFA ya kurusha ndege mpaka hapo watakapo kuwa wamefanya mafunzo mapya na kwenda TANZANIA CIVIL AVIATION AUTHORITY kufanya mtihani ili sasa leseni zao ziwe HAI ili warushe ndege. Ndio maana sasa wanaenda training ya siku 25 Toronto Canada kwa minajili hiyo ili sasa wakirudi wamalizie TCA mitihani warushe ndege mpya za BOMBARDIER DHC 8 Q400.
MASWALI MUHIMU KWA WAZIRI
Atutajie majina ya marubani 5 ambao walikuwa kwenye orodha ya kusafiri ilihali walikuwa 4 kulingana na nafasi zilizopatikana za kwenda mafunzo Toronto Canada na ndio walioombewa visa na ndio WALIOSAFIRI na nimewataja hapo juu huyo mmoja ni nani? Aliyepelekea kuwasimamisha viongozi waanadamizi wa ATCL kwa kuwa alikuwa HANA SIFA. Na wanakuwa 4 kwa pair yaani captain na first officer.
Mh Waziri atutajie wasifu wa walioenda mafunzo na aliyeachwa kutoka na kukosa SIFA ili sasa tuondoe sintofahamu iliyotokea ambayo siyo tu inaviashiria vyote VYA UONEVU,VIASHIRIA VYA DHULUMA na NIA OVU YA KUHUJUMU MRADI MPYA WA NDEGE kwa kuwaondoa watu muhimu walioshiriki katika kufanikisha njozi ya mh Raisi ya kufufua shirika la ndege

ZINGATIO
Mh Waziri akijibu haya nitaendelea kueleza kilichojificha nyuma ya pazia.
Umeandika vizuri mkuu , ngoja tungoje majibu, hatutaki mtu kuonewa
 
Bukyanagandi,ni vizuri ukatofautisha matakwa ya ATCL kibiashara kwa sasa na hayo mashirika makubwa kuhusu umri wa marubani. Issue siyo kuwa hawana uwezo wa kuruka bali unahitajika gharama kiasi gani ili waruke? Na je utaendelea nao kwa muda gani na gharama ya replacement ni kiasi gani? Sifa ya masaa, ebu owanisha na umri pia. Lakini muhimu ni watakuwa na effect gani kwenye gharama zako za uendeshaji? Pili una mpango wa kuwatumia wote waliopo au kuna wengine utapunguza kukidhi matakwa ya biashara ya ATCL mpya? Kama jibu ni ndio, then kuna walakini na huenda management ilikuwa inafanya makusudi ili kuendeleza status quo ya kuwa na marubani kibao ambao unawalipa huku hawazalishi.

Back
Top Bottom