Rais Magufuli niteuwe nikusaidie kukata miti

Manelezu

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
1,907
2,769
Mh. Rais naamini hizi taarifa zitakufikia sehemu yoyote ile ulipo. Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu number moja hapa Tanzania mwenye shahada ya uzamili na ninaamini binafsi ni uwezo mkubwa wa kulitumikia taifa langu.

Nimeona kwenye ziara yako Mkoani mara ukilalamika kuwa na viongozi wasiochukuwa hatua kwa mambo ya hovyo yanayoendelea kwenye maeneo mbalimbali, kwa kushindwa kuchukuwa hatua. Imefika mahali ukasema uko tayari kukata mti na kupanda mwingine, basi mimi niko tayari kupandwa na ninakuhakikishia sitakatwa.

Kila la kheri Mh. Rais katika ziara yako kanda ya ziwa.

Mungu ibariki Tanzania na Rais wetu.
 
Haya tumekusikia. Sasa nenda kakojoe, ulale. Umewatia aibu kanda maalumu. Hiyo siyo kanda ya kulialia kama jinga fulani. Ni kanda ya wanaume.
 
Kama uko tayari kupandwa,kukatwa si ndiyo rahisi kabisa! Utakatwa tu,na lazima ukatike
 
Back
Top Bottom