Rais Magufuli: Nitaondoka madarakani kwa mujibu wa Kanuni na Katiba ya CCM na Katiba Nchi

Njia nzuri ya kumpa heshima yake yote, aache uchaguzi mkuu 2020 uwe huru kabisa. Ahimize Tume ya Uchaguzi ifanye kazi yake bila ya kushinikizwa na yeyote.

Wananchi wakiamua aendelee, sina neno kabisa na uwepo wake.
 
Kwa sisi Wakristo, tungetamani Yesu Kristo Abaki Duniani hadi leo tukiendelea kuishi naye.
Aliinjilisha kwa miaka mitatu na akaondoka kwenda kwa Baba Mbinguni (hii ni imani yetu na haitakiwi kuhojiwa au kuthibitishwa).
Aaaha, mkuu 'NJOLO', unajua?
Kama angekuwepo hadi leo hii, si ajabu hata wewe ungekuwa unamtupia mawe!
 
"Aondoke hata kesho nimeshamchoka mimi maana ni muongo kweli anachosema sicho anachomanisha"

Urais mgumu kwani nani alimpeleka kwa nguvu kuchukua form?

Urais ungekuwa mgumu si angeacha kubana wapinzani wake wakina Lissu ili na wao wapate nafasi ya kuongoza?
Hapana hawezi kuwaachia watu wasio na mapenzi mema na hii nchi,hilo ni miongoni mwa jukumu lake
 
Hivi unapoandika rais "amedai kuwa" unamaanisha nini? Hii ni lugha ya dharau. Rais hajadai kitu bali rais ametamka/ameeleza mbele ya kikao kuwa ataondoka kwa mujibu wa sheria za chama na nchi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom