Ja60Nyamuru
Member
- Jul 14, 2019
- 9
- 15
Kama ni ngumu mwakani asichukuwe fomu ili wanayoiweza kazi ya urais wafanye
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi kusema hapa kwamba Magufuli hawezi kuongeza muda, kwa sababu kashasema kazi ni ngumu na kachoka.
Naona karudia hili.
Wapiga jaramba mtu wenu kachoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie asiibe kura 2020.. tuna tuketi yake ya air tanzania ya kukpeleka chato kilimani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sie watu gani?Nyie watu huwa hamna positive hata angesema anaongeza mngekuja na jingine nani hawajui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katiba ya CCM sisi haituhusuMkuu umesoma vizuri??
Amesema katiba ya CCM na Inchi!!
lowassa: ‘kumi mheshimiwa’
ndo maanake!
Ni vema ili pia aende The Hague maana hajaenda ulaya miaka mingi!Aman iwe nanyi wakuu
Rais Magufuli amedai kuwa licha ya mashinikizo mengi kutoka kila pande lakini yeye ataondoka madarakani kwa mujibu wa katiba ya CCM na nchi wala hataongeza miaka maana kazi ya urais ni ngumu sana.
Amedai kuna watanzania wengi tu ndani ya CCM wenye kuweza kuongoza nchi hivyo yeye atapisha atakapomaliza mda wake.
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni kilaza mkubwa hebu onyesha wapi alisema hata ondoka
Haya maelezo yako yanaonesha kuwa kweli hajawahi kusema ataongeza muda
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app