Musoma Yetu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 2,629
- 2,288
Rais John Magufuli alisema atahamia jijini Dodoma kabla mwaka 2018 haujamalizika kama alivyoahidi serikali yake kuhamia huko.
Rais Magufuli alisema hayo wakati akizungumza katika hafla fupi ya kuwakabidhi hati za viwanja kwa mabalozi wa nchi mbalimbali na wawakilishi wa mashirika ya kimataifa, Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumatatu Julai 30.
Alisema "hadi sasa viongozi wengi wa serikali wameshahamia Dodoma akiwamo Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, mawaziri na viongozi mbalimbali wa kitaifa na kwamba Dar es Salaam amebaki yeye tu"
“Nimebaki mimi tu hapa. Nimepanga kabla mwaka huu (2018) haujamalizika nitahamia Dodoma, nilitaka nisihamie huko nikawaacha ndugu zangu wanaowakilisha nchi zao hapa Dar es Salaam, ndiyo mana nikahakikisha mnapata hati"
My take! Rais anapotoa kauli inapaswa kutekelezwa Mara moja, ina maana serikali ilishindwa kutekeleza ahadi ya Rais, kama alivyokuwa amepanga?